Sunday, 30 June 2013

Re: [wanabidii] Zitto Zuberi Kabwe Kuanzisha Chama Kipya cha Siasa

Udhaifu mkubwa tulio watanzania katika mijadala ni pamoja na ukweli kwamba tukilipokea jambo hata kama halina ushahidi wowote na kabla hatujatafuta kujua ukweli hujikuta tunaanza kujadili na kutoa hukumu na hitimisho kana kwamba jambo lenyewe ni kweli. Sasa hapa napo ni hivyo hivyo watu wanajadili kana kwamba  hii habari ni kweli na imeshathibitishwa na mhusika au hata na msajili wa vyama vya siasa. Ukweli wenyewe ukishawekwa hadharani muanzisha hoja huyeyuka kimyakimya bila hata kuomba radhi au kueleza alipoitoa hiyo habari ya uongo. Hii ni mbaya na ni muhimu tukabadilika, na pa kuanzia ni kufanya bidii zaidi kujua ukweli wa jambo kabla hatujaanza kutoa mahitimisho na hukumu au sifa kwa jambo husika. 

Dr Kitila Alexander Kanyama MKUMBO
Senior Lecturer in Psychology and Education
School of Education
University of Dar es Salaam
Tanzania

Currently:  
Dean, Faculty of Education, Dar es Salaam University College of Education (DUCE) of the   University of Dar es Salaam

On 25 June 2013 13:03, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
Taarifa toka jikoni zinasema Kigogo wa CHADEMA mhe Zitto Zuberi Kabwe anatarajiwa kuanzisha chama kipya cha siasa .

Amekuwa katika mikakati mizito nchini ujerumani na nyingine za ulaya kwa ajili ya kukusanya nguvu na watu kwa ajili ya kuanzisha chama hicho cha siasa .

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment