Saturday, 1 June 2013

Re: [wanabidii] TAARIFA KWA WATUMIAJI WA KASPERSKY ANTIVIRUS /INTERNET SECURITY

Ndio unaweza kufanya upgrade kwenda 2013 kama unataka au unaweza kuendelea kutumia hiyo hiyo ukanunua leseni tu ambayo itaongeza muda wa hiyo ambayo unayo kwa sasa hivi halafu baadaye ndio ukatafuta programu yenyewe .

Leseni za 2012 zinaweza kufanya kazi kwa 2013 vile vile za 2013 inaweza kufanya kazi kwenye 2012 hii ni kwa antivirus au internet security .

Tatizo lako ni wengi wanalo , unakuta yuko mbali na sehemu ambayo anaweza kupata antivirus na imeisha muda wake lakini anataka kuendelea kutumia zaidi njia rahisi ni hiyo .

Unaweza kunipigia kwa msaada zaidi 0786 806028 .

2013/6/1 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Tunashukuru sana Yona kwa ushauri wako huu.
Nina swali: Mimi computor yangu inatumia Kaspersky 2012. Upo ulazima waa kuibadili na 2013? Bado siku mimbili kuisha.
Elisa

--- On Sat, 6/1/13, Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:

From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Subject: [wanabidii] TAARIFA KWA WATUMIAJI WA KASPERSKY ANTIVIRUS /INTERNET SECURITY
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, June 1, 2013, 2:20 AM

Kumekuwa na matatizo kadhaa kwa watumiaji au wale wanaotaka kuweka
bidhaa za kaspersky kwenye kompyuta zao .

Huu ni msaada mfupi wa kukabiliana na baadhi ya matatizo .

1 – WINDOWS 8
Kwa wale wanaonunua kaspersky antivirus au internet security kwenye
maduka ya nchi za afrika mashariki wameona kwamba programu iliyopo
kwenye cd haiwezi kuingia kwenye windows 8 , matukeo yake ni kutupa cd
hizo na kutafuta antivirus nyingine .

Ni kwamba matoleo mengi ya kaspersky yaliyopo dukani sasa hivi
yalinunuliwa kabla windows 8 kutoka na hayana updates kwa ajili ya
windows 8 .

Unachotakiwa kufanya kama unaweza tembelea tovuti ya kaspersky au
tovuti yoyote yenye programu mpya ya kaspersky utaweza kudownload bure
utaingiza kwenye kompyuta yako na utaweza kutumia keys zile zile
uliyonunulia antivirus yako .

Kama una internet yenye mwendo mdogo itakusumbua , omba msaada au
niulize .

2 – MAJIRA SAHIHI
Baadhi ya watu huwa wanaweka majira ambayo sio sahihi kwenye kompyuta
zao ili kuepuka kushtukiwa kwenye masuala ya leseni kama za windows ,
Microsoft office na nyingine nyingi .
Unapokuwa na majira ambayo sio sahihi kaspersky haitoingia au
haitofanya kazi kwa usahihi kwa sababu haitoweza kupata uwezesho
sahihi kutoka kwenye server ili iweze kuwa bora zaidi .

3 – MAHITAJI SAHIHI
Kaspersky haswa hii ya 2013 ni kubwa kitogo katika kuingiza na
ufanyaji kazi , kwahiyo inahitaji kompyuta kuwa na viwango sahihi ili
kuweza kuingiza bidhaa hii na ili iweze kuwa nyepesi na ya haraka
katika kutekeleza majukumu ya kulinda kompyuta yako .

Tafadhali angalia kompyuta yako kama inaviwango vinavyotakiwa na
kaspersky ili iweze kuingiza .

Mfano RAM inatakiwa iwe zaidi ya GB 1 ,

4 – UPDATES ILI KUBORESHA

Wengi wetu huwa tunajisahau kufanya updates za mara kwa mara kwenye
kompyuta zetu haswa antivirus , matokeo yake ni kuvamiwa na virus au
kushambuliwa na kuharibika kwa programu au kompyuta yenyewe .

Tafadhali unapopata kaspersky 2013 fanya updates kwa asilimia 100 muda
huo kama unaweza , kisha uwe unaangalia updates za mara kwa mara
ambazo zinaingia moja kwa moja .

5 – KUTUMIA ANTIVIRUS MBILI AU ZAIDI
Unaweza kutumia kama unajua kile unachofanya lakini sikushauri , pia
sio antivirus zote zinakubali kuingia ambapo kuna moja nyingi
zitakuuliza kama unataka kuondoa moja ili hiyo unayoingiza iingie
nyingine hazina tatizo hilo .

Tatizo la antivirus ni kwamba hamna ambayo iko vizuri kwa asilimia
100 , nyingine zina matatizo Fulani katika utekelezaji wa baadhi ya
majukumu au ni rahisi kushambuliwa na kuacha kufanya kazi .

Kwa ushauri zaidi kuhusu kaspersky au antivirus nyingine piga
0786 806028 au oldmoshi@gmail.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

www.wejobs.blogspot.com Jobs in Africa
www.jobsunited.blogspot.com International Job Opportunities

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment