Sunday, 2 June 2013

RE: [wanabidii] Rwanda’s reaction to Pres. Kikwete’s statement is shochking

Matinyi hatubishani bali tunatumia haki yetu ya msingi ambayo wewe ni mtetezi wake kujadiliana. Kama wamewatukana hivi ijumaa na jumamosi ile website ya matusi iliyokuwa chini ya Maelezo kablya kufutwa jioni ilitoka wapi kama siyo Tanzania? Kuna matusi kama yale tona toka kwa watu wa serikali ambao wanafundisha jirani yao tolerance? Kwa nini ulazimishe watu wakubali ushauri wako na wao hawataki? Kama wanapigana miaka kumi na sita na nchi yao inakwenda sawa wewe ambaye hujapigana vita tangu miaka ya thamanini mna tofauti gghani maana wote mnakwenda na bakuli kwa wakubwa kuomba vyandarua?

Kama mchambuzi tunayekuamini tunataka katika hili tumia hiyo Bongo inayonoa wazungu huko uliko kuzama kwa kina na kuachana na ujanja ujanja huu wa bongo.




------------------------------
On Sat, Jun 1, 2013 2:43 PM GMT-12:00 Mobhare Matinyi wrote:

>Hatuna haja ya kubishana au kudhani kuwa udhaifu wa chochote kile kilichopo Tanzania unaweza kuwapa watu au mtu wa Rwanda haki ya kututukana sisi kupitia kwa Mkuu wa Nchi yetu. Rwanda hawana adabu na hawana sababu wala haki ya kuropoka kama wanavyofanya sasa. Tusichanganye matatizo yetu ya ndani ama hasira zetu za mambo ya siasa za ndani mwetu ya wajibu wetu wa kulinda na kuitetea heshima ya taifa letu pale linapotukanwa na matoto matundu. Hakuna hata mtu mmoja atakayetuona kuwa tu watu wa maana kwa kuwasaidia wakorofi kulitukana taifa letu. Ni aibu kumsaidia adui kukushambulia wewe mwenyewe. Rwanda hawana adabu - kama tunataka kuwa wakweli wa yote yaliyopita; hawana adabu.
>
>Matinyi.
>
>> Date: Sat, 1 Jun 2013 19:13:01 -0700
>> From: rmgamba2000@yahoo.com
>> Subject: Re: [wanabidii] Rwanda's reaction to Pres. Kikwete's statement is shochking
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>>
>>
>>
>> Kivamwo kabla ya kuandika tafiti kwanza haya yote uliyouliza yamo mtandaoni na majibu yake ni rahisi sana siyo kama unavyofanya short cut.
>>
>> Ikiwa unadiriki kusema Kabila senior hakusaidiwa na hawa wanaoitwa waasi leo then kuna tatizo katika utafiti wako. M23 ni the same faction iliyojulikana zamani kama CNDP iliyokuwa ikiongozwa na Jean Bosco Ntanganda mpaka Machi 23 2009 walipotia sahihi makubaliano ya amani. Ntaganda msaidizi wake alikuwa Sultani Makenga

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment