Bashir Yakub sioni tatizo kwa KINANA,WARUFANI au mwana ccm yeyote kukata rufaa .Llililo la msingi kuliko yote ni sheria inasemaje kuhusu rufaa hiyo kuanzia hadhi ya mda ambao inarufaniwa, hadhi ya warufaniwa wenyewe na masuala yote yanayohusu uhalali wa rufaa hiyo kisheria ,. Hoja ya kumhujumu LISSU kupitia kesi si ya msingi kama rufaa inakubalika kisheria. Kama KINANA au yoyote yule ameamua kutumia njia ya shauri kumtikisa LISSU , lakini hapohapo akawa amepitia njia halali kabisa za kisheria kuibua rufaaa hiyo kwahakika si tatizo. Hoja ya umwiba wa LISSU si ya msingi kama mhkm ya rufaa itakuwa imegundua mapungufu ktk shauri hilo wakati likiwa mhkm kuu au vinginevyo. Kinachozingatiwa ni utawala wa sheria na si umwiba au umsumari DR. SLAA ni mwanasiasa na KINANA na wenzake ni wanasiasa, kama KINANA anataka kutumia mbinu ya kesi kuzima hoja za LISSU wkt wa mjadala wa rasimu, je SLAA hawezi kutoa taarifa hii ili kuzima au kutaka kuathiri maamuzi ya mhkam ikiwa ni pamoja na kutaka watanzania wasiamini kitachoamuliwa na mhkm na hata kutaka watu waandamane na kukataa kata kitakachotokea pengine baada ya kuwa wamegundua kuwa rufaaa hiyo inaweza kuwapotezea kiti chao cha ubunge ?? Ni tafakuri tu. +255784482959 --- On Fri, 31/5/13, Emmanuel Sulle <esulle17@gmail.com> wrote:
|
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment