Kigwangala, Shida ya Watanzania walio wengi ni kuongea sana, na kwao kauli haina maana. Leo wanaweza kusema hivi, kesho wakabadilisha, na haionekane ni kitu cha ajabu. Na viongozi wetu walio wengi wapo hivyo hivyo. Hili ni funzo kwa Rais wetu, viongozi wengine na Watanzania kwa ujumla. Tujifunze kutafakari kwa makini kabla ya kutamka chochote. Walio makini kauli ni jambo zito. Tusipindishe maneno, pamoja na kuupenda utaifa wetu, Rais wetu hakutafakari kwa umakini kabla ya kutamka. Huwezi kuwaambia viongozi wa nchi nyingine wazungumze na vikundi vilivyotajwa ni vya kigaidi wakati msimamo wa Dunia ni kutojadiliana na makundi ya magaidi. Magaidi wanatakiwa kuangamizwa siyo kujadiliana nayo, huo ndiyo msimmo wa Dunia kwa sasa. Viongozi wetu wajifunze kutafakari kwa umakini mkubwa, ikilazimu waombe hata ushauri kabla ya kutoa kauli yoyote. Wanyarwanda wamsamehe Rais wetu na Watanzania kwa ujumla juu ya kauli hiyo. Wazingatie zaidi dhamira ya Rais wa Tanzania kuliko kile kilichotamkwa. Sent from Yahoo! Mail on Android |
From: Dr. Hamisi A. Kigwangalla <hkigwangalla@gmail.com>;
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] Is Kikwete Four B'?
Sent: Sat, Jun 1, 2013 2:41:43 PM
Kagame anamkosea heshima Rais wetu, sitarajii watanzania wenzetu wamuunge mkono mtu mwenye kiburi cha namna hiyo. Hili ni jambo dogo sana lakini nashangaa sijui kwa nini wanyarwanda hawa wanalikuza kiasi hicho On Sat, Jun 1, 2013 at 5:30 PM, alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com> wrote:
-- "Vision is the ability to see the invisible!" Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA P.O.Box 22499, Dar es salaam. Tanzania. Phone No: +255 754 636963 +255 782 636963 website: www.peercorpstrust.org or www.hamisikigwangalla.com Email: hamisi.kigwangalla@peercorpstrust.org or info@hamisikigwangalla.com Skype ID: hkigwangalla Blog: blog.hamisikigwangalla.com Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. |
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment