Wazanzibari wengi hawajui maana ya kuungana. Mleta mada anataka kusema hamtambui Kikwete kwamba wao hawakumchagua kuwaongoza?? Wanalalama kua wanataka KUPUMUA nashangaa kwa nini mpaka sasa hawajitoi iliwapumue vizuri. Huwezi ukashirikiana na mtu anaeona daima unamnyanyasa, mara hoo wakoloni wa Tanganyika, mara ooh Nyerere alitugandamiza nk. Jitoeni mpumue wengine tumechoka pia na huu muungano.
From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, April 27, 2013 11:31 AM
Subject: Re: [wanabidii] HUJUMA ZA TANGANYIKA KATIKA SHEREHE ZA MUUNGANO
Ukisema wakipanda Marai wawili ili kuonyesha muungano una maana Rais wa Zanzibar na wa nini tena? Ninachojua Rais wa Jamhuri ya Muungano ndani yake kuna Tanganyika na Zanzibar. Sasa wewe unataka Zanzibar iwakilishwe mara mbili Rais Jamhuri na wa Zanzibar? Unajua Muungano ukivunjika ndipo wengine mtajua faida yake. And it will be too late for remedy
--- On Sat, 4/27/13, Fakhi Karume <fkarume@gmail.com> wrote:
From: Fakhi Karume <fkarume@gmail.com> Subject: [wanabidii] HUJUMA ZA TANGANYIKA KATIKA SHEREHE ZA MUUNGANO To: "wanabidii" <wanaBidii@googlegroups.com> Date: Saturday, April 27, 2013, 1:32 AM
Jamani hawa Watanganyika wataendelea na huu wizi wao wa kuwaibia Wazanzibari kila kitu hata hizi sherehe za Mungano mpaka lini? Zamani wakati wa marehemu Karume tuliona sherehe zinakuwa za pammoja yaani Mzee Karume wanapanda gari la pammoja na kukaguwa gwaride pammoja hii ilikuwa kuimanisha kuwa muungano ni wa nchi mbili na viongozi hao wa nchi mbili kuwa pammoja Sasa hawa wezi Watanganyika wameziiba sherehe za Muungano kuwa zao peke yao na kila mwaka kuziofanya nchini kwao na humuoni tena huyo rais wa Zanzibar kwenye gwaride au hata kupanga lile gari kuwa pammoja kama wakati wa uhai wake Karumeili kuwaonyesha wananchi kuwa tuko wawili ndio ishara ya muungano wa nchi mbili Isitoshe wezi hawa wanaona ni haki yao kufanya sherehe kule kwao tu .Sasa nawauliza hawaoni haya hata kidogo kuwaibia hao wanaowaita ndugu zao alau kwa kuwadanganya kwa lkila mwaka sherehe hizi zikafanyika kila upande? Wazanzibari muwajuwe hao Watanganyika si wenzenu wanataka kukuibieni tu na hata bado mtayaona wenyewe huko mbele amkeni wacheni kulala usingizi wa pono
-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
|
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment