Wednesday, 27 March 2013

RE: [wanabidii] MZUNGU NA DOLA FEKI

Emmanuel,

Hiyo sheria nimeikuta hata China kwenye mji moja unaitwa Doung Guang.Nilitaka kununua vitu kwenye electronics supermarket moja walinikatalia wakaniambia niende benki nikabadilishe nipate hela ya kwao RMB.Hivi kwanini na hapa tusiweke sheria hiyo?

CMK

From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of Emmanuel Muganda
Sent: Wednesday, March 27, 2013 1:50 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] MZUNGU NA DOLA FEKI

Ninapokwenda Uingereza siruhusiwi kutumia dola zangu dukani. Shurti nizibadilishe benki kwanza nipate paundi. Kwa nini sisi
tunaruhusu matumizi ya kiholela ya dola za Marekani? Je, hiyo ni mojawapo ya sababu ya kushuka kwa thamani ya shilingi yetu?
em

2013/3/27 richard bahati <ribahati@gmail.com>

Huyu Mzungu anayesumbua na dola zake feki analeta matatizo sana katika mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam. 

Kama wiki moja iliyopita nilimzikia jirani yangu mwenye duka la nguo akilalamika kumwachia Mzungu akakimbia baada ya kununua nguo za kutoshakatika duka lake na kutoa noti za dola mia ambazo yeye alizigundua kuwa ni feki na hapo hapo mzungu huyo alitokomea haraka na tax aliyokuwa amekuja nayo.

Kwa bahati mbaya jana amekuja ofisini kwangu miida ya saa 2 usiku na kulalamika kuwa amechelea na beaural de change zote zimefungwa. Alimkuta kijana

http://goldentz.blogspot.com/2013/03/mzungu-na-dola-feki.html

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment