Saturday, 30 March 2013

Re: Re: [wanabidii] TATIZO LA ZITTO ZUBERI KABWE NI NINI ?

Jacob Ruvilo, Kigoma

nadhani si vibaya tena nikajitokeza kuhusu nilivyo changia awali na
kadri mnavyopokea maoni yangu

Zitto kabwe namjua ananijua,

kwa wasionifahamu by proffesional ni mwandishi wa habari wa Chanel ten
Kigoma lakini kwa uhalisi huwa sina woga kwa kile ninacho kiamini
lakini pia sifa yangu nyingine kuwa ni flexible hasa pale napoona
mchango wa mwenzangu una manufaa na cha ziada hata kama mtu namchukia
ila katika kusema ukweli unaomuhusu nasema ilivyo

sasa Tukubali tusikubali narudia Zitto Kabwe ni jembe, ana uwezo
mkubwa kwa mujibu wa umri wake na anayo yafanya

lakini nachobaki kusema nikwamba Zitto kabwe anayomapungufu lazima
tukubali na uzuri yeye mwenyewe ana kili hilo.

ila nachojua mapungufu ya Zitto ni madogo ukilinganisha na faida yake
kikubwa inapotokea watu wanamkosoa wengine wasikasilike hasa
inaposemwa ukweli kwa sisi tunao mfahamu Zitto anayo maudhi kweli
yakibinadamu ambayo ni huruka tu hayahusiki sana na utendaji kazi
lakini yana athari kidogo.

Naisistiza anahitaji kutulia katika chama Mungu akipanga amepanga atoe
ushirikiano wanachama na wapenzi tunafuatilia ukweli tunautambua

nadhani aendelee kuweka maslahi ya chama mbele badala ya chochote
aidha urais au uongozi hii itaendelea kumtenganisha na watu wanaotumia
kigezo cha yeye kutka urais na uhusiano wa kuvuruga chama

narudia anafaa lakini sio

WITO KWA ZITTO
Kwanza nampongeza tena kwa hatua ya kutangaza nia ya kutogombea ubunge
tena, hatua hiyo ni muhimu japo natambua hadi sasa akigombea kokote
anaweza kushinda

ila umuhimu wa kutogombea tena kwa sasa ni mkubwa na hasa iwapo
atakuwa na nia ya kujipanga katika Urais

na hasa kama awamu hii atakubaliana na matokeo ya kura za maoni kama
atashinda vizuri, akishindwa asaidie chama kwani nadhani atakuwa na
nafasi kubwa ya urais katika awamu ya 2020 au 2025 iwapo atatulia
katika chama hata kama hatashinda

lakini suala la kutofautiana mitazamo katika vikao vya chama na
vongozi wenzake hasa wa juu ni la kawaida nadhani akomalie hapo ili
wasibweteke ila tahadhari mambo hayo yaishie katika vikao kama
inavyotambulika

ninayo mengi nadhani ntaendelea kuchangia ila wito wangu Zito ana
mapungufu kadhaa tena mengine ni ya makusudi tu akiacha itamjengea
hadhi kubwa

tusiwe na hofu ya urais kwa huyu kijana kwani urais ni taaisis
hatakuwa peke yake

asante

By Jacob Ruvilo
0717260088 na 0759260088


On 3/27/13, ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:
> Ndugu yangu Ngupula, najua mnachopenda kusikia ni kuwa ZK ana mapungufu.
> Hoja kama hizo zikitolewa mnapata nafuu. Lakini ukweli uliowazi ni kwamba
> mapungufu yake ZK hayawezi ndio mafanikio ya wale mnaodhani kuwa wanamzidi.
>
> Hivi kwa nini ukweli huu hamtaki kuuona ndugu zangu, ukweli utawaweka huru
> na bila hivyo mtazidi kujiweka katika hali ngumu ya ufungwa wa mawazo.
>
> Sent from Yahoo! Mail on Android
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment