Saturday 15 April 2017

[wanabidii] Kampuni ya TTCL Yatoa Msaada wa Pasaka kwa Yatima

Kampuni ya TTCL yatoa msaada wa Pasaka kwa yatima


[caption id="attachment_78629" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-78629" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/04/IMG_3608.jpg" alt="" width="800" height="516" /> Meneja Uhusiano wa TTCL, Nicodemas Mushi (wa pili kulia) akimkabidhi Mama Mlezi Mkuu wa Kituo cha Valentino Children Home, Lucy Lipenga sehemu ya msaada wa vyakula na vinywaji vilivyotolewa na TTCL kwa ajili ya siku kuu ya Pasaka kwa watoto.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_78628" align="alignnone" width="800"]<img class="size-full wp-image-78628" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/04/IMG_3603.jpg" alt="" width="800" height="499" /> Meneja Uhusiano wa TTCL, Nicodemas Mushi (kulia) akimkabidhi mbuzi Mratibu wa Kituo cha Watoto Wetu Kimara Suka, Musa Mgenzi (kulia) ikiwa ni sehemu ya msaada wa vyakula na vinywaji vilivyotolewa na TTCL kwa ajili ya siku kuu ya Pasaka kwa watoto.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_78631" align="alignnone" width="800"]<img class="size-full wp-image-78631" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/04/IMG_3617.jpg" alt="" width="800" height="472" /> Meneja Uhusiano wa TTCL, Nicodemas Mushi (kulia) akiwakabidhi baadhi ya watoto wa Kituo cha Watoto Wetu Kimara Suka kiroba cha sukari ikiwa ni sehemu ya msaada wa vyakula na vinywaji vilivyotolewa na TTCL kwa ajili ya siku kuu ya Pasaka kwa watoto hao.[/caption]

&nbsp;

<strong>KAMPUNI</strong> ya Simu Tanzania (TTCL) imetoa msaada wa vyakula mbalimbali na vinywaji katika vituo vya watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu kwa ajili ya kusherekea Siku Kuu ya Pasaka. Msaada huo wenye thamani ya shilingi milioni nne umetolewa leo Makao Makuu ya TTCL jijini Dar es Salaam ikiwa ni utaratibu wa kampuni hiyo kurejesha sehemu ya faida kwa jamii hasa inayoitaji msaada.

Miongoni mwa vyakula vilivyotolewa ni pamoja na Unga wa sembe, mchele, sukari, chumvi, mafuta ya kula, maji, soda na mbuzi wawili kwa ajili ya watoto kufurahiya siku kuu hiyo. Akizungumza mara baada ya kukabidhi bidhaa hizo, Meneja Uhusiano wa TTCL, Nicodemas Mushi alisema vituo vilivyonufaika na msaada huo ni Kituo cha Watoto wetu cha Kimara Suka na Valentino Children Home cha Buza vyote vya jijini Dar es Salaam.

&nbsp;

[caption id="attachment_78627" align="alignnone" width="800"]<img class="size-full wp-image-78627" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/04/IMG_3600.jpg" alt="" width="800" height="466" /> Viongozi wa Kituo cha Watoto Wetu Kimara Suka na Valentino Children Home cha Buza wakiwa pamoja na Meneja Uhusiano wa TTCL, Nicodemas Mushi katika picha ya pamoja huku wakipokea sehemu ya msaada uliyotolewa na TTCL kwa ajili ya siku kuu ya Pasaka.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_78632" align="alignnone" width="800"]<img class="size-full wp-image-78632" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/04/IMG_3629.jpg" alt="" width="800" height="509" /> Meneja Uhusiano wa TTCL, Nicodemas Mushi (wa tatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto wa kituo cha Watoto Wetu Kimara Suka mara baada ya kuwakabidhi sehemu ya msaada wa vyakula na vinywaji vilivyotolewa na TTCL kwa ajili ya siku kuu ya Pasaka kwa watoto.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_78633" align="alignnone" width="800"]<img class="size-full wp-image-78633" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/04/IMG_3633.jpg" alt="" width="800" height="501" /> Meneja Uhusiano wa TTCL, Nicodemas Mushi akiwa na Mama Mlezi Mkuu wa Kituo cha Valentino Children Home, Sista Lucy Lipenga katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto wa kituo hicho walipopokea sehemu ya msaada wao.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_78634" align="alignnone" width="800"]<img class="size-full wp-image-78634" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/04/IMG_3638.jpg" alt="" width="800" height="519" /> Meneja Uhusiano wa TTCL, Nicodemas Mushi (kulia) akigonganisha kinywaji na baadhi ya watoto wa Kituo cha Valentino Children Home cha Buza mara baada ya kupokea sehemu ya msaada uliotolewa na TTCL kwa ajili ya siku kuu ya Pasaka.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_78630" align="alignnone" width="800"]<img class="size-full wp-image-78630" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/04/IMG_3611.jpg" alt="" width="800" height="503" /> Meneja Uhusiano wa TTCL, Nicodemas Mushi (kulia) akiwagawia vinywaji baadhi ya watoto wa Kituo cha Valentino Children Home cha Buza mara baada ya kupokea sehemu ya msaada uliotolewa na TTCL kwa ajili ya siku kuu ya Pasaka.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_78626" align="alignnone" width="800"]<img class="size-full wp-image-78626" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/04/IMG_3590.jpg" alt="" width="800" height="517" /> Meneja Uhusiano wa TTCL, Nicodemas Mushi (katikati) akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi msaada wa vyakula na vinywaji vilivyotolewa na TTCL kwa ajili ya siku kuu ya Pasaka kwa watoto wa vituo vya Watoto Wetu Kimara Suka na Valentino Children Home.[/caption]

Akizungumza na wanahabari mara baada ya kukabidhi msaada huo kwa niaba ya Kaimu Ofisa Mtendaji wa TTCL, Waziri Kindamba, Mushi alisema huo ni utaratibu wa kawaida wa kampuni hiyo kusaidia vikundi mbalimbali vinavyoitaji msaada hasa kipindi hiki cha sikuu kuu. Alisema TTCL imekuwa ikirejesha sehemu ya faida yake kwa jamii kwa kusaidia makundi mbalimbali ili kuendeleza mahusiano mazuri na wateja wake.

&nbsp;

[caption id="attachment_78635" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-78635" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/04/IMG_3620.jpg" alt="" width="800" height="451" /> Sehemu ya msaada wa vyakula na vinywaji vilivyotolewa na TTCL kwa ajili ya siku kuu ya Pasaka kwa watoto.[/caption]




KAWAIDA:--




Meneja Uhusiano wa TTCL, Nicodemas Mushi (wa pili kulia) akimkabidhi Mama Mlezi Mkuu wa Kituo cha Valentino Children Home, Lucy Lipenga sehemu ya msaada wa vyakula na vinywaji vilivyotolewa na TTCL kwa ajili ya siku kuu ya Pasaka kwa watoto.


Meneja Uhusiano wa TTCL, Nicodemas Mushi (kulia) akimkabidhi mbuzi Mratibu wa Kituo cha Watoto Wetu Kimara Suka, Musa Mgenzi (kulia) ikiwa ni sehemu ya msaada wa vyakula na vinywaji vilivyotolewa na TTCL kwa ajili ya siku kuu ya Pasaka kwa watoto.


Meneja Uhusiano wa TTCL, Nicodemas Mushi (kulia) akiwakabidhi baadhi ya watoto wa Kituo cha Watoto Wetu Kimara Suka kiroba cha sukari ikiwa ni sehemu ya msaada wa vyakula na vinywaji vilivyotolewa na TTCL kwa ajili ya siku kuu ya Pasaka kwa watoto hao.


KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imetoa msaada wa vyakula mbalimbali na vinywaji katika vituo vya watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu kwa ajili ya kusherekea Siku Kuu ya Pasaka. Msaada huo wenye thamani ya shilingi milioni nne umetolewa leo Makao Makuu ya TTCL jijini Dar es Salaam ikiwa ni utaratibu wa kampuni hiyo kurejesha sehemu ya faida kwa jamii hasa inayoitaji msaada.

Miongoni mwa vyakula vilivyotolewa ni pamoja na Unga wa sembe, mchele, sukari, chumvi, mafuta ya kula, maji, soda na mbuzi wawili kwa ajili ya watoto kufurahiya siku kuu hiyo. Akizungumza mara baada ya kukabidhi bidhaa hizo, Meneja Uhusiano wa TTCL, Nicodemas Mushi alisema vituo vilivyonufaika na msaada huo ni Kituo cha Watoto wetu cha Kimara Suka na Valentino Children Home cha Buza vyote vya jijini Dar es Salaam.


Viongozi wa Kituo cha Watoto Wetu Kimara Suka na Valentino Children Home cha Buza wakiwa pamoja na Meneja Uhusiano wa TTCL, Nicodemas Mushi katika picha ya pamoja huku wakipokea sehemu ya msaada uliyotolewa na TTCL kwa ajili ya siku kuu ya Pasaka.


Meneja Uhusiano wa TTCL, Nicodemas Mushi (wa tatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto wa kituo cha Watoto Wetu Kimara Suka mara baada ya kuwakabidhi sehemu ya msaada wa vyakula na vinywaji vilivyotolewa na TTCL kwa ajili ya siku kuu ya Pasaka kwa watoto.


Meneja Uhusiano wa TTCL, Nicodemas Mushi akiwa na Mama Mlezi Mkuu wa Kituo cha Valentino Children Home, Sista Lucy Lipenga katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto wa kituo hicho walipopokea sehemu ya msaada wao.


Meneja Uhusiano wa TTCL, Nicodemas Mushi (kulia) akigonganisha kinywaji na baadhi ya watoto wa Kituo cha Valentino Children Home cha Buza mara baada ya kupokea sehemu ya msaada uliotolewa na TTCL kwa ajili ya siku kuu ya Pasaka.


Meneja Uhusiano wa TTCL, Nicodemas Mushi (kulia) akiwagawia vinywaji baadhi ya watoto wa Kituo cha Valentino Children Home cha Buza mara baada ya kupokea sehemu ya msaada uliotolewa na TTCL kwa ajili ya siku kuu ya Pasaka.


Meneja Uhusiano wa TTCL, Nicodemas Mushi (katikati) akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi msaada wa vyakula na vinywaji vilivyotolewa na TTCL kwa ajili ya siku kuu ya Pasaka kwa watoto wa vituo vya Watoto Wetu Kimara Suka na Valentino Children Home.

Akizungumza na wanahabari mara baada ya kukabidhi msaada huo kwa niaba ya Kaimu Ofisa Mtendaji wa TTCL, Waziri Kindamba, Mushi alisema huo ni utaratibu wa kawaida wa kampuni hiyo kusaidia vikundi mbalimbali vinavyoitaji msaada hasa kipindi hiki cha sikuu kuu. Alisema TTCL imekuwa ikirejesha sehemu ya faida yake kwa jamii kwa kusaidia makundi mbalimbali ili kuendeleza mahusiano mazuri na wateja wake.


Sehemu ya msaada wa vyakula na vinywaji vilivyotolewa na TTCL kwa ajili ya siku kuu ya Pasaka kwa watoto.

--
___________________________________________________________________________________
Joachim Mushi, Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na Mhariri Mkuu wa Thehabari.com.
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470
Web:- www.thehabari.com  
          http://joemushi.blogspot.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment