Saturday 15 April 2017

Re: [wanabidii] NAPE: Kijana Anayepitwa na wakati kirahisi hivi?

"Umagufuli utabaki awamu ya 5 peke yake"

EM,
Ina maana yoote anayofanya huyu kiumbe hayafai?? Wewe kama baba nyumbani, jaribu kumpa kila mtu kulingana na anavyotaka, iridhishe familia yako kwa namna zote, wasikilize kila wanachoongea na kufanya wanavyotaka wao, kwa miezi 2 hivi fanya maamuzi kwa akili zao.

Hapo utaelewa tofauti ya umagufuli unaouona na umagufuli halisi.

2017-04-14 1:05 GMT+03:00 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>:
Nadhani Umagufuli utabaki awamu ya 5 peke yake. Hatutaki rais anayejiona kuwa juu ya katiba anayefanya maamuzi kwa kushauriana na Bashite peke yake. Na kama utaendelea zaidi ya awamu hii basi Tanzania yetu imekwisha.
em

On Thu, Apr 13, 2017 at 1:22 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Uko sahihi. Shida uwezo wake kubakiza watanzania hivyo ni mdogo. Watanzania si mbali wataachana na porojo, nadhani awamu ya sita ambayo itakuwa na umagufuli mwingi watanzania wanaoendeshwa na porojo watakuwa wameisha ndicho ambacho nape hakukiona na hajakiona. Ndiyo kichwa cha mada.
--------------------------------------------
On Thu, 4/13/17, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] NAPE: Kijana Anayepitwa na wakati kirahisi hivi?
 To: wanabidii@googlegroups.com
 Date: Thursday, April 13, 2017, 7:43 PM

 Kim, sio
 sahihi kusema nape kafanya vile bila kujua hapana, nape
 katizama mbali kafanya maandalizi ya maisha ya badae,
 kumbuka nape kazunguka nchi nzima na Komredi Kinana kafahamu
 watanzania ni watu wa namna gani na wanataka nini.
 Watanzania wanataka porojo na maneno
 mengi ukifanyakazi kimya kimya hawawezi kuona umewawakilisha
 sawasawa, na ndio siasa alizochagua nape na zinamlipa kwa
 sasa.
 On Thu, Apr 13, 2017 at
 5:06 PM, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
 wrote:
 Amazing! Na hawa ndio wasomi wetu.em
 On Thu, Apr 13, 2017 at
 5:54 AM, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
 wrote:
 Hakukuwa
 na namna, maamuzi ya Rais yalikuwa sahihi. Nape ni
 kijana,

 uongozi si tu kufuata sheria na kufanya maamuzi ila kutumia
 busara

 kwa'yo. Alichokifanya NAPE ilikuwa mihemko au vile
 ninavyoitafsiri

 (kujifanya yupo fair hali anataka kucheza
 double-standard).

 HUWEZI KUTUMIKIA MABWANA WAWILI.

 JPM akiendelea hivi, 2020 atashinda kwa kishindo na
 hatafutika kwenye

 historia yetu.

 --

 *"Anyone who conducts an argument by appealing to
 authority is not using

 his intelligence; he is just using his memory." Leonardo
 daa Vinci

 *

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegr
 oups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegr
 oups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/op
 tout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@
 googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
 ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
 googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/
 optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment