Tuesday, 10 November 2015

[wanabidii] Katika Nyakati Hizi Msiwasahau Watu Wa Aina Ya Gerson Hosea Malangalila Lwenge ...!


Ni Injinia huyu, Mbunge wa Wanging'ombe na aliyefanya kazi kwa karibu sana na John Pombe Magufuli, yumkini yanapotajwa mafanikio makubwa ya kazi ya John Pombe Magufuli kwenye Wizara ya Ujenzi ni rahisi kumsahau Injinia Lwenge. Naziona ishara za Lwenge kuondoka kutoka kwenye Unaibu Uwaziri na kupewa Wizara Kamili kama sio kupewa jukumu la kuwa ' Tingatinga' la Magufuli, jukumu la kusimamia kazi za Serikali...

Maggid,


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment