Thursday, 26 November 2015

Re: [wanabidii] KWA MWENDO HUU HESHIMA YA TANZANIA IKO KARIBU KURUDI

Muhimbo-Kuleta mabadiliko chanya ndio kunahitaji a strong leader lakini bado unahitaji strong institutions kama asemavyo Muganda. Na bado kunahitajiwa efficient staff or workers kwenye hizo institutions na efficient leaders wajuao wajibu wao na wananchi wenye mtazamo chanya kutokana na uelewa na kuzingatia sheria na maadili for effective outputs and results or outcome. Pamoja na eletronification ya bank zetu bado utaona mashine hazina hela mpo mnasua sua nao wapo ndani wanaona huko alama inaonyesha kuwa hela zimekwisha huko ktk mashine lakini wapo wapo. Wanajua peak hour ya kazi wateja kujaa lakini wametoka kwenda lunch limebaki dirisha moja au 2. wanajua demand ya hela by dates-hapwapo kuwa efficient kuziweka kila baaya ya masaa fulani kujaza tena. Ukienda supermarket kioo cha kumuonyesha mteja hela inayoingia-Wamezima hakionyeshi. Kila siku utaacha change shs 10 au mia eti hana! Ajabu. Zidisha mia mara wateja 2,000 kwa siku x 30 days wanaiba ngapi? Wanaona, wanajua business-vipofu, hawabadiliki na hata bei za vitu kubadikwa katika racks za bidhaa-tatizo. Huko nje duniani wahisani wataona mtu kapatikana. Lakini ndani ya Taifa kunatakiwa mabadikilo kwetu kiutendaji. Eti wananchi tunashangilia Mangufuli hapa kazi tu lakini tumekaa kuuza biashara barabarani kwenye kinyesi, kumwaga uchafu hovyo mitaroni, vyakula wazi na kufurahia hela za 9 Decemba na siku ya Ukimwi hazitotumika kugharimia visivyo tija. Sawa. lakini wewe umeanza kazi ya usafi na daima hututupa takataka nje ya nyumba na ndani ya mtaro? Utakaa kufanya biashara palipo ruhusiwa sio kuhama sokoni na kukaa barabarani unauza chakuna kinajaa inzi na vumbi. Hapo mwenge Mataa kuna vijana wanavizia malori na kufungua kugida mafuta katika mifuko ya plastiki. Wote tunaona tukiwa ndani ya daladala na nje na huko buguruni pia. Jee, tutashuka ndani ya magari kukemea kuwafukuza au kuwazomea? Tunaogopa pamoja na kujua hatari yake. Tunaangalia tu.

Mfanyakazi efficient ni yule anayejua wajibu wake wa kazi na kuzingatia ethics za kazi. Hivyo hata kama una kiongozi juu au ktk taasisi ambae ni mzuri, mkali, mfuatiliaji lakini watu wake chini makanjanja-hatutofika mbali. Kama kawaida ya Mwafrika hasa Mtanzania-kuna Uswahili na ukanjanja. Ukimdhibiti au kumbana anatafuta mbinu mpya ya ukanjanja wake. Unavyobadili mbinu naye anakusoma anabadili zake. Ndivyo viongozi wengine ktk nchi za kiafrica wanakuwa madikteta na kuanchia umiliki mali, usimamizi viwanda au kazi kwa wataalamu wa kigeni ambao hupelekesha na kufukuzisha kazi kama mwajiriwa ni mzembe -kanjanja. Hulalamikiwa kuwa madikteta lakini uchumi wao huvuma na kupanda kwa muda mfupi.

Mwafrika ana tabia ya visasi na kukomoana. Ukimfuata na kumwambia ukweli, anachotafuta yeye ni kukukomoa si kuzingatia ukweli na sheria. Kama hakupati wewe atatafuta mtu wako wa karibu kukukomoa. Hii ndio imefanya usimamizi wa shughuli za taasisi na utekelezaji sheria kuwa mgumu au legelege. Kosa kubwa hapa ni pale baada ya UHURU Mh Nyere na Siasa ya Ujamaa kutaka tuchanganyike kimakazi pia Police, Bwana Afya, JWTZ, trafiki etc kuaa mtaani pamoja badala ya kuwe kambi au kota husika. Hili lilikuwa kosa kubwa la ujamaa. Pamoja na uzuri wake wa kuchanganyika-kiujamaa na wakati wa kampeni za mtu ni Afya kusafisha viwaja kufanya usafi pamoja kuishi kama majirani. Fikiria mwalimu wa shule ya msingi hakai kota wa walimu anapanga na kodi inamshinda na anapogombana na mkewe wazazi na wanafunzi wanasikia maana kapanga uswahilini. Fikiria kibaka mtaani ni mtoto wa Land Lord wake atamkamata? naye hajatoa kodi miezi kadhaa-ukata. Au huo ujirani na urafiki uliojengeka, anakunywa pombe bar hapo jirani na hao vibaka na majambazi wa mtaani-atawakamata? Akiishiwa anakopa unga hapo dukani na hapo mtoto wa mwenyeduka ndio amebaka housegirl. Kesi itakwenda inavyotegemewa na huyo police, Hakimu aishie hapo? Heshima tutairudishaje kama hatujatatua nyumba za wafanyakazi ambao ni wasimamizi wa sheria? Ndo Maana Mheshimiwa Kikwete alianza na kurudisha wanajeshi na Polisi makambini kwa kuwajengea Nyumba za maghorofa.

Economic Liberalization ilimfanya Mzee Mkapa kuwauzia majumba ya GVT waheshimiwa waliokuwa wakikaa ktk majumba ya GVT lakini kufisadi kwa matengenezo feki. Idara za serikali za matengenezo kufisadi namna hiyo. Tatizo sasa baadhi wapo Uswahilini, Vijijini wamechanganyika wamejenga huko majumba ya Oysterbay ni biashaya ya maghorofa, international schjool, supermarket etc. Wanaochaguliwa wapya kufikia Mahotelini, au kupangiwa nyumba za gharama sana. Heshima bado kurudi mapema kwani kuna mengi ya kuyataua kutokana na makosa ya huko nyuma mengine yamesababishwa na Sera za kimatifa za World Bank na IMF na Siasa zetu rahisi za Udugu na uafrika. Udugu ni pale unaona mtu amefanya makosa unamuhamisha badala ya kumfukuza kazi. Huko nako anaendelea na uovu-unamuhamisha. Akisimamishwa kazi anaingia ubunge anachaguliwa anaingia ulingoni anakula million 90. Huu ndio udugu na uafrika-African politics and politiking. Na akifanya makosa makubwa anaondolewa kazini-anasamehewa hafilisiwi mali zake. Tunaogopa kumfilisi kuogopa kisasi na kuvunja udugu-tulisoma wote, kabila la kiongozi fulani etc. Kutokana na hii politics of ze udugu and ze belly; politics of ze kulipiza kisasi kwako au kwa mwanao, ndugu ufanisi unapungua jinsi siku za kiongozi mtawala anavyozidi kwenda mbele na kusimamia kikamilifu watu ambao wanambinu za Mzukule. Tupo wazuri ktk kugundua mbinu za wizi na kukomoana kuliko za maendeleo.

Mbinu za kulindana, kuogopana na kuoneana huruma. Ndio utaona pia mtaani yupo bwana Afya na viongozi wa mtaa wanaona uchafu ulivyozagaa, walivyopunganisha vyoo mitaro wazi na utupaji taka wa wafanya biashara, malundo ya nywele na majani ya viazi saluni na migahawa inayotupa lakini hawezi kuchukua hatua. Kamati ya Mazingira ya Mtaa inayosimamia uzoaji takataka ipo. Wanakamati na wananchi na viongozi wanaona pia jisi mtu anavyoingiza taka katika Concrete Stormwater drainage channel na Kuzichoma taka humo. Hakuna anayemkemea. Matokeo mitaro hiyo hizo zege na sleti za zege zinaporomoka, erosion ya mtaro inatokea na kuanza kubomoa majumba. Ni gharama kwa serikali mitaro mipya kuporomoka. Ukiangalia TV unaona pumba tena za anayehoji kuhusu uchafu na mafuriko na maporomoko ya mtaro na barabara. Swali kuu ni-UNAIAMBIA NINI SERIKALI. Jubu ni kuwa-Serikali ije ituondolee uchafu huu, ijenge mitaro hii, huyu mtu hapa ameziba njia maji hayaendi lakini wao ndio jirani au land lord au mkwe na friend. Pamoja na uongozi uliopo hawadiriki kuchukua hatua-Serikali ije kwa yote hayo mpaka kusafisha uchafu wao wao. Tunakula hapa mainzi mengi (waliyozalisha) akili zao zimelala kuona wao ndio visababishi na anayehoji hahoji kuwadhibitishia wao ndio chanzo cha yote. Hata Sokoni kuna kamati ya usimamizi na wanachukua Asilimia Kubwa ya Usafi, takataka na miundombinu ya Soko ila wamejaa Vitumbo kula hela zinazokusanywa na asilimia kubaki kwao na hawafukuziki mwaka hadi mwaka na kutishiana uchawi unapofanya kampeni asichaguliwe fulani uchaguzi huu! Soko linakuwa chafu, taka lundo, uzoaji wamepeana kampuni haina magari ya uwezo inakodi gari mbovu-Swahili Culture ya ufanyaji na usimamiaji majukumu-Heshima itarudi vipi ambapo tunajila, tunakulana na kulindana?
Kama watanzania tutabaki kukaa kumwangalia Rais Mangufuli akikemea, kukagua hapa, kesho pale sisi tumekaa tu tunasheherekea-HATOFIKA MBALI zitakuwa MBIO za Sakafuni mwisho Ukingoni. Ndio hii ya Kupunguza Size ya Public Sector Retrenchment ili kupunguza gharama ya GVT ambayo Donors walikuwa waangharimia kwa kiasi kikubwa. Kilichozuka ni-mikataba ya kufagia maofisini kupata vikampuni vya ndugu zetu wafanyakazi wa kufagia, kupanda maua kibao wanajaa viwanja wa taasisi, wizara, kunywa maji, kunya kujaza vyoo, kuiba maofisini, michepuko, ukimwi na mpaka mfanyakazi rasmi unaweza ukafokewa na mfagiaji wa kampuni; mapambo, catering services za taasisi kumaliza hela, matengenezo ya magari na maeneo ya GVT institutions kuwa makubwa tena kwa kazi kufanywa na makampuni binafsi badara ya garage ya serikali iliyofungwa na wafanyakazi kuondolewa. Gari inakuja mpya, inatolewa vifaa, vinauzwa dreva anashirikiana na garage yenye mkataba. Airconditioners kufanyiwa service kimkataba zinatolewa inaweka ingine baada ya wiki mbovu. ULAJI kama kawa-MBONGO Kageuza Kibao. Waliopewa viwanda vya serikali wamekula mikopo hakuna viwanda wala mashamba na wamejipa wao kwa majina ya ndugu zao. Jiulize-kwa nini miaka yote hiyo hawajachukua hatua?

Wananchi hatujitambui, hatufanyi na kuchukua hatua stahiki pale penye matatizo. Baadhi ya madeski, meza mashuleni huibiwa na vijana, watu wazima kuchukua mbao kama waanvyong'oa mabomba ya hand pumps, ya plastiki. Wazazi wanaona na kuficha wakataji miti majumbani mwao na wanakula mama ntilie vijijini, mafundi vijijini wapo wanajenga majumba mazuri na wananchi wanafyatua na kuchoma tofari za udogo na kuuza. Lakini hawawezi kujitolea kujenga choo cha shule na raslimali zote zipo. Moyo wa kujitolea hakuna. Lakini kikijengwa na mhisani na eneo la shule ni kubwa hakuna uzio-wanakwenda kuwenka kinyesi (kunya) na kuzagaza kinyesi hovyo humo. Mifugo yao wananchi inakula shamba la shule, inajaa eneo la shule na kulala madarasani kwa vile hakuna milango. Hao ni wazazi na uongozi wa kijiji upo. Ukiwauliza kwa nini wanaachia hivyo-watakujibu jinsi wamlivyomfuata mwenye mbuzi, kuzikamata na kesi ikaishia; au kutishiwa uchawi!? Hakimu anakagua shamba la mtu lililoripotiwa kuliwa na mifugo akiwa peke yake bila bwana kilimo na mifugo. Katoka wilayani kuja kukagua peke yake tena muda sio wa kilimo na anaandika-amekuta pori hakuna shamba. Kesi imeishia. Rushwa, kutishiana uchawi, kukomoana unaogoma wasikuulie mwanao au kukukata mapanga wewe unayeonekana unajali haki na sheria-unatulia makali unaona waache wafu wazike wafu wao. Bongoland kuibadili ni kuanza sensitization kali kama zile enzi za ujamaa ili kuwe na kujitambua, kujithamini, kujituma efficientl and effectively-mental Revolution ni muhimu kwanza kujenga commitment sio majungu tu.

Kama tutamkemea Rais akienda kombo-mbona hatujawa na guts za kukemea maovu wafanyayo ndugu zetu ukaona mtu amefika ktk TV akaiongea kuwa ni kweli ndugu yetu alimbaka mwanae au mtoto wa kambo na kesi haijaenda hadi leo tumemkamata live na leo kuona kesi mvurugu huyu hapa tumemkamata na tunataka apewe kifungo. Badala yaeke tunamuwekea mawakili. tunaifanya sheria isifanyekazi katika kesi nyingi zenye vidhibiti. Tuanachoma Mahakama tukifahamu kuna kesi za jamaa na jirani zetu, tunachoma nyumba za mpinzani kisiasa tukifahamu ana familia. Tunaona kabisa kuwa tunelipwa fidia tubomoe nyumba, tlitegemea serikali haitokuja mapema, tumekula hela, tumelewa tupo na greda lijapo-maandamano. Au unalipwa ila wewe unamuuzia mwingine na kumpa barua za mihuri mnasainiana lakini ni kinyume umemuibia na kula hela double. UTU umepungua. Huu UTU Rais ataurudishaje bila ya sisi kubadilika?
Sasa anapofika kunyang'anya watu wenye maeneo makubwa waliyonunua kwa Customary land owners waliouza kwa hiari yao-Hapo kutatokea ugomvi mkubwa. Kuna watu wana pumba kichwani wanauza nyumba mijini na kuhamia mabondeni kunakokatazwa. Lakini kuna wenye mashamba ya ukoo-cutomary land owners kunakupita barabara mpya za lami au kokoto-wanauza ardhi kama vichaa na watu wananunua maekari na kupima kupata hati. Wakimaliza kuuza ardhi ya ukoo na kukaa ktk barabara wanakofukuzwa daily-ndio hawa wanaoandamana kuwa wenye ardhi kubwa zipunguzwe, wanateseka etc. Ndi hawa wanaopangisha maeneo yao katika Makazi mijini na miji midogo na kuweka wenye Bar hapo, welding hapa, video za matusi zinaonyeshwa katika kumbi za majumba yetu au uwani kwetu watoto kuangalia na wakubwa. Iwe DSM, Ngerengere, chalinze au Igogo Mwanza, Bunju au Kusanga na Malolo na Solar tunatumia pale ambapo hapana umeme. Very innovative katika masuala ya video. Na saluni na mama ntilie zimezunguka nyumba kwa kipato moshi wa saluni unajaa ndani ya nyumba watoto wanapumua hewa ya madawa na maji ya kemikali kumwagwa uwanjani watoto na watu wazima kukanyaga. Watoto waliozungukwa na bar na vilabu vya pombe mtaani kijijini wanaona watu wakikojoa hovyo, kutukana matusi ya nguoni kutwa kisha tunalalamikia serikali. Mila na desturi zimewekwa pembeni. Heshima itarudije kama sisi hatujiheshiomu na kubadilika?

Zuia Card za Christmas, Aeid, Mwaka Mpya etc. Lakini tufahamu kuwa kujenga mahusiano ni muhimu na hata culture za kiafrica zilikuwa na jinsi hiyo kupeana na kubadilishana vitu, mgeni akija anatembelewa na kuletewa zawadi iwe boga, ndizi, kuku, mtindi au maziwa. Akifika stage fulani anachezwa na kuzawadiwa. Mgeni akiingia naye huja na zawadi. Hii imefika kitaifa-kiofisi na kiwizara na kimataifa akina anaondoka na kinyago au mapambo ya asili. Kutakiana heri ya sikukuu na ya mwaka mpya haina ubaya kuliko Warsha za mavyakula, mapambo, sare na mikutano hiyo inafanya wakati wa siku na masaa ya kazi; posho kubwa za wabunge na safari za warsha nje ya eneo la ofisi warsha ya Wizara ya DSM kufanyika Bagamoyo au Kibaha-Morogoro. Kwa nini iwe hivyo badala ya kutumia ukumbi wa wizara/taasisi na mkiwa huko wageni wasihudumiwe upo busy? kama excuse ni usumbufu-watchman/woman si atawazuia kuwaambia upo mkutanoni hadi siku fulani ndio waje? Hizi zikomeshwe. Hata ukitaka kukusanya data na kutoa mrejesho Kikata, Wilaya, Mkoa-lazima utoe posho na mlo hata kama utafanya muda wa kazi. Ukitaka wakati wa Bunge utoe Mada kwa Wabunge-Utoe Posho juu ya posho yao. HIVI NDIO VIFE. lakini Wizara au Universitu kupeleka Card ya mwaka mpya, Sikukuu za KIdunia Ubalozi au kwa Ofisi wa Donor/Mhisani wao kuonekana si kitendo kizuri-ninaomba makali haya yapunguzwe. Hizo card ni sehemu kumtambua mhisani, kujenga mahusiano na kuonyesha shukrani-Thank you mhisani wangu tupo pamoja. Kuna miendo mibaya na mingine mizuri tusichanganye.Culture ya zawadi ipo sana katika African Culture.

Mimi nikiwa mdogo na ndugu zangu tukirudi nyumbani kwao kijijini kwa baba akiwa likizo hututoa shule turudi kwetu/kwao. Tukiona shida sana mazingira ya maporomoko na yami, niia ngumu kupanda milima kwa mguu gari hazifiki. Tukifika huko tukimcheka baba sana kuona kuwa kijijini kwao watu kama hawana akili hivi! Eti tukifika mtu anakuja na kisonzo cha ujimbi anamletea (Kangara pombe ya mtama), mwingine anajogoo nene na mchele kwenye kikapu, mwingine kaja na mayai na tembe nene la kuku wa kienyeji, huyu mkungu wa ndizi kiguruwe ulioiva, yule mzuzu, mwingine kungu refu la ndizi mtwike. Bado ajae na nyama ya nguruwe pori au kiboko kipande kinene kilichookwa. Mpaka siku 3 zipite-chumba kimejaa zawadi za kila aina mikeka na majamvi, visonzo ambavyo hamuwezi kuvibeba vyote mrudi navyo mjini mlikotoka. Sasa ndio ninaona tofauti. Kumbe mila zile za zawadi zilikuwa za kujenga mahusiano mazuri sisi watoto tulikuwa wajinga mafara tuliozaliwa na kukulia mijini. Mzee alifanyakazi nzuri kutufanya tuijue na kupenda kwenda home kwenye origin yetu na tukienda na zawadi pia-madawa ya magonjwa mbali mbali, nguo. Lakini kwa sasa tukienda-hakuna zawadi uchumi umebadilika. Ila, kila ajae anakuomba wewe hela anakueleza tatizo hili na lile mpaka unarudi huna senti na unaogopa kwenda tena likizo ijayo. Mahusiano sasa ni pesa zaidi. Pale Card zinapokubalika kujenda uhusiano si vibaya kutumika kwa hela kidogo kwani mhisani nae anahitaji kuna Thank you yetu.

Inafaa pia kabla ya kutoa tamko-kiongozi awasiliane na kushauriana na viongozi wa chini wa sekta mbali mbali wamshauri. Kukurupuka kwa matamko na action kutakuja kumgharimu halafu itakuja kuwa-majuto ni mjukuu.

KAMA KAWA.

--------------------------------------------
On Thu, 26/11/15, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] KWA MWENDO HUU HESHIMA YA TANZANIA IKO KARIBU KURUDI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, 26 November, 2015, 22:05

Pamoa na ukweli huo Mr. Muganda
lakini bado na aStrongman anahitajika. Kumbuka misingi ya
kikatiba na kikanunu ilivunjwa na A WEAK MAN. Sasa hivi
ulimwengu unaogopa kuwa kama Trump wa Republican akipita
basi vita ya tatu ni ndani ya wiki chache. Lakini
Institutions zipo. Bado behaviour ya mtu ina mchango wake
--------------------------------------------
On Thu, 11/26/15, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:

Subject: Re: [wanabidii] KWA MWENDO HUU HESHIMA YA TANZANIA
IKO KARIBU KURUDI
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, November 26, 2015, 8:26 PM

Nadhani tunachohitaji
kama alivyosema Obama ni strong institutions na si
strongmen. Kama rais atatawala kinyume na matarajio yetu
tukiwa na strong institutions tutamkemea na yeye
atachukua a step back aone ni wapi ameteleza. Tumekaa
kimya
Kikwete alipokuwa akivurunda kwa sababu hatuna strong
institution ya kumkemea. Leo tunasherehekea juhudi za
Magufuli kwa sababu ameanza kubomoa misingi mibovu
aliyotuwekea Kikwete. What if in another 10 years we get
another Kikwete?We shall keep quiet and hope for
the best? The best start is a new constitution that will
tell the president in no uncertain terms he is not above
the
law.em
2015-11-26 12:20
GMT-05:00 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>:
Suali ninalojiuliza, hiyo heshima ya Tanzania
inarudi kutoka wapi? And why and how did we get ourselves
in
this mess ya heshima kupotea?And why were we so quiet
about it all this time?em
2015-11-26 7:51
GMT-05:00 Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>:
Ni sawa kabisa Elisa, lakini hatutakiwi kuwa nyuma
ya watendaji wa serikali wanao 'over do it' ili
waonekane wanatekeleza kauli mbiu ya "hapa kazi
tu" maana kwa kufanya hivyo watawaumiza wananchi, ambao
mara nyingi hawana mtetezi.

2015-11-26 15:23
GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Tunahitaji kuwa nyuma ya
magufuli katika haya anayoyafanya na kuwa tayari
ukabiliana
naye pale tutakapoona haendi tunakotaka. wapi Kuweka
mifumo
ambayo hata akija mwingine hataifumua. Mfano katiba.
lazima
tanzania iwe na katiba nzuri. isiyomruhusu mathalan rais
kuwa na kijiji cha mawaziri. Isiyomruhusu rais kuchagua
mtu
yeyote kuwa Mkuu wa EWilaya au Mkoa ili mradi
amemfurahisha
mama Ngina au kacheza ngoma rais akaburudika.

Katika hilo hatuhitaji kukubali kila kitu. hapo tutajua
kuwa
aje yeyote atalipeleka taifa linakostahili.

--------------------------------------------

On Thu, 11/26/15, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>
wrote:



 Subject: Re: [wanabidii] KWA MWENDO HUU HESHIMA YA
TANZANIA IKO KARIBU KURUDI

 To: wanabidii@googlegroups.com

 Date: Thursday, November 26, 2015, 3:04 PM



 Elisa kweli kabisa

 ndio maana wengi wetu tumeipa kura ccm uchaguzi huu
baada

 kuona jembe limepata nafasi na tulikuwa tunampinga
lowassa

 kwa kujua kuwa ni mpigaji.

 On Nov 26, 2015 3:01 PM,

 "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>

 wrote:

 Magobe.

 ko sahihi kabisa. Nadhani kazi imenza. haijamalizika. na

 kichwa kinasema 'Kwa mwendo huu -----------.



 Tunatarajia mifumo ifumuliwe. Ona sasa Aliyezuia
kuchapisha

 kadi za Xmas si Rais. Ni katibu mkuu Kiongozi. Huo ni
mwendo

 mzuri. Tunatarajia mambo mengine yawe kwenye katiba.

 Inakuja. tukingali na safari tunahitaji kutiana moyo.



 --------------------------------------------



 On Thu, 11/26/15, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>

 wrote:







  Subject: Re: [wanabidii] KWA MWENDO HUU HESHIMA YA

 TANZANIA IKO KARIBU KURUDI



  To: "wanabidii@googlegroups.com"

 <wanabidii@googlegroups.com>



  Date: Thursday, November 26, 2015, 2:41 PM







  1. Heshima ya Tanzania itarudi endapo



  kinachofanyika ndicho kitakachokuwa kinafundishwa

 shuleni



  ili watoto wakue wakijua kuwajibika.



  2. Heshima ya Tanzania itarudi endapo



  sehemu zote za kazi (sekta rasmi na zisizo rasmi)



  zitawezeshwa kuwa na work ethic inayoeleweka na

 kufuatwa.



  3. Vinginevyo, itabaki kuwa 'one man



  show' na the rest watafanya tu kwa vile wanatakiwa



  kufanya, lakini haitakuwa sehemu ya utamaduni wao.







  2015-11-26 14:33 GMT+03:00



  'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:



  Toka Rais



  magufuli aingie madarakani amefanya mambo ambayo kama



  kawaida wabezaji hawakosi. Wanasema na wakati wa JK

 ilikuwa



  hivyo. Huenda wanadanganya au wamesahau. anayebisha

 atoe



  mfano tulinganishe. Heri angemtaja Mkapa alijaribu
japo

 si



  kama Magufuli.















  Tumechoka kusaidiwa jamani na pedngine misaada



  inatudhalilisha. Kuna misaada mingine iliyokataliwa na

 nchi



  jirani sisi tunasema leta tu.







  Utasikia hata tangazo dogo la tahadhali linamalizia
kwa

 :



  Imetolewa kwa msaada wa watu wa Marekani.







  Nyerere aliwahi kusema 'Mtu kama anafikiri nje kuna



  mjomba wetu amlete. akinionyesha nitachekatu'. Sasa



  Tanzania yenye utajili wa ajabu namna hii lakini

 inaishia



  kuomba. Tanzania ina matumizi ya ajabu lakini huku

 inaomba



  misaada tu. hapana. hapana. hapana jamani. Tumefikia

 mahala



  tunaaibisha.







  Sasa Ona: Kuvunja sherehe moja muhimbili hakuna
mgonjwa



  analala chini.







  Hela alizookoa Magufuli zikipelekwa kumaliza tatizo la



  madawati huenda tutaanza kutafuta madawati hayo baada

 ya



  miaka mitano. Inasaidia nini watu kufanya makongamano

 ambayo



  baadi wataondoka na ukimwi na makongamano hayo



  yanashughulikia kuzuia ukimwi. Kuuzuia si elimu kwa
umma

 tu.



  lazima aje waziri kusherehesha?







  Ni kweli tarehe 9 December ni siku ya uhuru wa

 tanganyika.



  Watanganyika wako huru kama bado wana njaa? Kama ni

 mazoezi



  ya kijeshi yanaendelea tu. Kama ni wananchi kuona
ulinzi

 wa



  nchi yao ipo siku.







  Hiki ni kipindi cha dharura. Kimedumu muda mrefu.

 Tulikuwa



  tutaona fedha zinatumika ovyo. hatukuwa na mtu wa

 kuliona



  hilo. Sasa tumempata.







  Tunataka siku rais wa Tanzania akienda nje watu

 wakusanyike



  kumuona. Sio wanaulizana nani huyo Rais wa tanzania

 Ahaaa.



  halafu waendelee kana kwamba ni mtu mdogo anapita.
Baba

 wa



  Taifa alifanya ziara za kiserikali mara mbili marekani



  katika myaka yake yote. Moja wakati wa Rais Kenedy na



  nyingine wakati wa Rais Jimy Cater. basi. nani

 hakumbuki



  jinsi watu walivyokusanyika toka majimbo yote kuja

 kumuona



  mtu huyu waliyemsikia siku nyingi?







  lakini kiongozi anakwenda mahala inafika mahala

 unaambiwa



  'subiri nakuja?'







  Twaweza kujitegemea katika mambo mengi. Tukliomba

 msaada



  watajisikia fahari kutusaidia.















   --















   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com















    















   Kujiondoa Tuma Email kwenda















   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 



  Utapata Email ya







   kudhibitisha ukishatuma















    















   Disclaimer:















   Everyone posting to this Forum bears the sole



  responsibility







   for any legal consequences of his or her postings,

 and



  hence







   statements and facts must be presented responsibly.



  Your







   continued membership signifies that you agree to
this







   disclaimer and pledge to abide by our Rules and



  Guidelines.















   ---















   You received this message because you are subscribed

 to



  the







   Google Groups "Wanabidii" group.















   To unsubscribe from this group and stop receiving



  emails







   from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.















   For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.















  --







  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com















  Kujiondoa Tuma Email kwenda







  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 



  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma















  Disclaimer:







  Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility



  for any legal consequences of his or her postings, and

 hence



  statements and facts must be presented responsibly.

 Your



  continued membership signifies that you agree to this



  disclaimer and pledge to abide by our Rules and



  Guidelines.







  ---







  You received this message because you are subscribed
to

 the



  Google Groups "Wanabidii" group.







  To unsubscribe from this group and stop receiving

 emails



  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.







  For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.



























  --







  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com







   







  Kujiondoa Tuma Email kwenda







  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya



  kudhibitisha ukishatuma







   







  Disclaimer:







  Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility



  for any legal consequences of his or her postings, and

 hence



  statements and facts must be presented responsibly.

 Your



  continued membership signifies that you agree to this



  disclaimer and pledge to abide by our Rules and



  Guidelines.







  ---







  You received this message because you are subscribed
to

 the



  Google Groups "Wanabidii" group.







  To unsubscribe from this group and stop receiving

 emails



  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.







  For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.







 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com







 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma







 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly. Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



 For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.











 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  



 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma



  



 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly. Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



 For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.








--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment