Ujumbe ni watu kujikuzia uchumi wao binafsi kwenye mifuko yao.
Kwani watu kufahamu kuhusu Virusi vya UKIMWI ni Hadi wakusanyike pamoja kitaifa, tena na mbwembww za shughuli za siku mzima?
Mbona sherehe za siku ya wanawake duniani, kwa Tanzania, hukutanika kila baada ya miaka mitano.Je. hakuna maendeleo ya wanawake kwa kuwa hawaadhimishi kitaifa kila mwaka? Wote tunajua kuwa yapo!
SB
On Nov 26, 2015 12:14 PM, 'heri rashid' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Binafsi naunga mkono hatua ya Mh rais kufuta maadhimisho ya sherehe hizi (UKIMWI na uhuru wa Tanganyika) kwa mwaka huu. Nadhani yanahitaji tafakari ili kuendelea na sherehe hizi au kuzifuta kabisa siku zijazo. Ni vyema ikabainishwa katika sheria badala kiongozi kwa mamulaka tu kujiamua akiwa madarakani. Hata hivyo bado nina maswali ya kujiuliza.Hivi maadhimisho ya sherehe hizi yalikuwa yanalenga nini?, yalikuwa na ujumbe gani?. Je malengo na jumbe zilizokuwa zinatolewa kwa maadhimisho haya yatafikiwa? Hivi walioasisi sherehe hizi hawakufikiria madhara tunayoyaona sasa hivi au kulikuwa na njia nyingine walizokuwa wanatumia kupunguza madhara haya? Ni mawazo yangu tu.Heri RashidOn Thursday, November 26, 2015 11:52 AM, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:
Naamini watanzania hatuta juta kwa kumchagua tingatinga na mabadiliko yanaweza kupatikana ndani ya ccm.On Nov 26, 2015 11:47 AM, "'salhabakari' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:---------- Forwarded message ----------From: salhabakari <salhabakari@yahoo.com>Date: Nov 26, 2015 11:38 AMSubject: RE : Hakuna maadhimisho ya siku ya UKIMWI, ,01.Disemba, 2015 - Hapa kazi tuuuuu!To:--
Cc:Nimepokea kwa moyo safi uamuzi wa Rais Dokta John Pombe Magufuli wa kutokuwa na maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani katika nchi ya Tanzania. Maadhimisho hayo, yaliyokuwa yameshaanza kufanyika mkoani Singida kwa mwaka huu, sasa badala yake ameamua pesa zielekezwe kununua dawa za kupunguza makali ya Virusi vya UKIMWI (ARV). Kiukweli, nimepokea uamuzi huo kwa moyo kwatu!
Watu serikalini wamezidi kula, bila kufikiria mambo ya kuyaps kipau mbele. Wanasherekea maadhimisho ya UKIMWI kwa kutumia mamilioni ya pesa, ikiwemo wao kujilipa mapesa, huku nchi ikielekea kwenye upungufu wa ARV, hadi kufikiria kuwepo na mfuko wa UKIMWI, kama sheria iliyopitishwa kwenye Bunge la 10.
I salute you Dokta Pombe!
SB
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Subscribe to: Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment