Nadhani tunachohitaji kama alivyosema Obama ni strong institutions na si strongmen. Kama rais atatawala kinyume na matarajio yetu tukiwa na strong institutions
tutamkemea na yeye atachukua a step back aone ni wapi ameteleza. Tumekaa kimya Kikwete alipokuwa akivurunda kwa sababu hatuna strong institution ya kumkemea. Leo tunasherehekea juhudi za Magufuli kwa sababu ameanza kubomoa misingi mibovu aliyotuwekea Kikwete. What if in another 10 years we get another Kikwete?
We shall keep quiet and hope for the best? The best start is a new constitution that will tell the president in no uncertain terms he is not above the law.
em
2015-11-26 12:20 GMT-05:00 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>:
Suali ninalojiuliza, hiyo heshima ya Tanzania inarudi kutoka wapi? And why and how did we get ourselves in this mess ya heshima kupotea?And why were we so quiet about it all this time?em2015-11-26 7:51 GMT-05:00 Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>:Ni sawa kabisa Elisa, lakini hatutakiwi kuwa nyuma ya watendaji wa serikali wanao 'over do it' ili waonekane wanatekeleza kauli mbiu ya "hapa kazi tu" maana kwa kufanya hivyo watawaumiza wananchi, ambao mara nyingi hawana mtetezi.--2015-11-26 15:23 GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:Tunahitaji kuwa nyuma ya magufuli katika haya anayoyafanya na kuwa tayari ukabiliana naye pale tutakapoona haendi tunakotaka. wapi Kuweka mifumo ambayo hata akija mwingine hataifumua. Mfano katiba. lazima tanzania iwe na katiba nzuri. isiyomruhusu mathalan rais kuwa na kijiji cha mawaziri. Isiyomruhusu rais kuchagua mtu yeyote kuwa Mkuu wa EWilaya au Mkoa ili mradi amemfurahisha mama Ngina au kacheza ngoma rais akaburudika.
Katika hilo hatuhitaji kukubali kila kitu. hapo tutajua kuwa aje yeyote atalipeleka taifa linakostahili.
--------------------------------------------
On Thu, 11/26/15, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] KWA MWENDO HUU HESHIMA YA TANZANIA IKO KARIBU KURUDI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, November 26, 2015, 3:04 PM
Elisa kweli kabisa
ndio maana wengi wetu tumeipa kura ccm uchaguzi huu baada
kuona jembe limepata nafasi na tulikuwa tunampinga lowassa
kwa kujua kuwa ni mpigaji.
On Nov 26, 2015 3:01 PM,
"'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Magobe.
ko sahihi kabisa. Nadhani kazi imenza. haijamalizika. na
kichwa kinasema 'Kwa mwendo huu -----------.
Tunatarajia mifumo ifumuliwe. Ona sasa Aliyezuia kuchapisha
kadi za Xmas si Rais. Ni katibu mkuu Kiongozi. Huo ni mwendo
mzuri. Tunatarajia mambo mengine yawe kwenye katiba.
Inakuja. tukingali na safari tunahitaji kutiana moyo.
--------------------------------------------
On Thu, 11/26/15, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] KWA MWENDO HUU HESHIMA YA
TANZANIA IKO KARIBU KURUDI
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, November 26, 2015, 2:41 PM
1. Heshima ya Tanzania itarudi endapo
kinachofanyika ndicho kitakachokuwa kinafundishwa
shuleni
ili watoto wakue wakijua kuwajibika.
2. Heshima ya Tanzania itarudi endapo
sehemu zote za kazi (sekta rasmi na zisizo rasmi)
zitawezeshwa kuwa na work ethic inayoeleweka na
kufuatwa.
3. Vinginevyo, itabaki kuwa 'one man
show' na the rest watafanya tu kwa vile wanatakiwa
kufanya, lakini haitakuwa sehemu ya utamaduni wao.
2015-11-26 14:33 GMT+03:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Toka Rais
magufuli aingie madarakani amefanya mambo ambayo kama
kawaida wabezaji hawakosi. Wanasema na wakati wa JK
ilikuwa
hivyo. Huenda wanadanganya au wamesahau. anayebisha
atoe
mfano tulinganishe. Heri angemtaja Mkapa alijaribu japo
si
kama Magufuli.
Tumechoka kusaidiwa jamani na pedngine misaada
inatudhalilisha. Kuna misaada mingine iliyokataliwa na
nchi
jirani sisi tunasema leta tu.
Utasikia hata tangazo dogo la tahadhali linamalizia kwa
:
Imetolewa kwa msaada wa watu wa Marekani.
Nyerere aliwahi kusema 'Mtu kama anafikiri nje kuna
mjomba wetu amlete. akinionyesha nitachekatu'. Sasa
Tanzania yenye utajili wa ajabu namna hii lakini
inaishia
kuomba. Tanzania ina matumizi ya ajabu lakini huku
inaomba
misaada tu. hapana. hapana. hapana jamani. Tumefikia
mahala
tunaaibisha.
Sasa Ona: Kuvunja sherehe moja muhimbili hakuna mgonjwa
analala chini.
Hela alizookoa Magufuli zikipelekwa kumaliza tatizo la
madawati huenda tutaanza kutafuta madawati hayo baada
ya
miaka mitano. Inasaidia nini watu kufanya makongamano
ambayo
baadi wataondoka na ukimwi na makongamano hayo
yanashughulikia kuzuia ukimwi. Kuuzuia si elimu kwa umma
tu.
lazima aje waziri kusherehesha?
Ni kweli tarehe 9 December ni siku ya uhuru wa
tanganyika.
Watanganyika wako huru kama bado wana njaa? Kama ni
mazoezi
ya kijeshi yanaendelea tu. Kama ni wananchi kuona ulinzi
wa
nchi yao ipo siku.
Hiki ni kipindi cha dharura. Kimedumu muda mrefu.
Tulikuwa
tutaona fedha zinatumika ovyo. hatukuwa na mtu wa
kuliona
hilo. Sasa tumempata.
Tunataka siku rais wa Tanzania akienda nje watu
wakusanyike
kumuona. Sio wanaulizana nani huyo Rais wa tanzania
Ahaaa.
halafu waendelee kana kwamba ni mtu mdogo anapita. Baba
wa
Taifa alifanya ziara za kiserikali mara mbili marekani
katika myaka yake yote. Moja wakati wa Rais Kenedy na
nyingine wakati wa Rais Jimy Cater. basi. nani
hakumbuki
jinsi watu walivyokusanyika toka majimbo yote kuja
kumuona
mtu huyu waliyemsikia siku nyingi?
lakini kiongozi anakwenda mahala inafika mahala
unaambiwa
'subiri nakuja?'
Twaweza kujitegemea katika mambo mengi. Tukliomba
msaada
watajisikia fahari kutusaidia.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment