Friday, 13 November 2015

Re: [wanabidii] Re: URAIS WA DR. MAGUFULI, NI FUNZO TOSHA KWA WENGINE

Na watanzania waliowengi wanaridhika na hali hiyo ili mradi kupitia 'democrasia' hiyo tunaweza kuwapata viongozi makini kama Magufuli. InaWAUMIZA WALE WANAOFIKIRI TOFAUTI na wanaotaka kitu tofauti wakati kura zao hazitoshi na wanaishiwa uvumilivu. ndio watakuwa rastrated kama hawajawa bado.
--------------------------------------------
On Sat, 11/14/15, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Re: URAIS WA DR. MAGUFULI, NI FUNZO TOSHA KWA WENGINE
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, November 14, 2015, 4:16 AM

Tanzania
kuna kiini macho cha demokrasia. It is a sembance of
democracy portrayed and controlled by the ruling
party.em
2015-11-13 16:11 GMT-05:00
<milton1960.mm@gmail.com>:


Dakie Kleinson Kim,



Utekelezaji wa demokrasia ndiyo maisha halisi ya watu na
jamii; utekelezaji wa demokrasia ni utu wema na heshima kwa
watu wote wake kwa waume. Ni sawa na kusema in political
society, "KUISHI NI DEMOKRASIA" pia, DEMOKRASIA ni
KUISHI." Kwa kuwa demokrasia inatambua, inajenga na
kulinda na kudumisha haki uhuru na amani. Na haki, uhuru na
amani ni mihimili muhimu ya kujenga na kudumisha maendeleo
kwa watu wote wa mahali popote ulimwenguni.



Demokrasia ni kama "IMANI" kwa muumini. Ni kama
"OIL" katika injini ya gari. Una gari lakini bila
OIL, tena OIL safi gari haliendi. If the car is forced to
run you and I know the disastrous outcome.



 Shida kubwa, though, IKO HAPA:



Where is the voice of democracy of the woman and man of
Tanzania when democracy has been denied to themselves and
their own? Where is the voice of democracy of the Tanzanian
prophet and priest? Where is the voice of democracy of the
liberated Tanzanian? Where is the voice of democracy of the
Tanzanian soldier who liberated Tanzanians from the
brutality of the colonial dictators?



Please, show me a single independent Tanzanian, if
there's any today! The big problem is when men and women
either do not know their rights or they know but they
don't want to stand up for democracy. The problem is
when we become indifferent. Even the life of the wild in the
jungle seems to be better than what is going on in TZ today.
Ngumu!





On Friday, November 6, 2015 at 8:27:37 AM UTC-5, fadhil
fadhil wrote:

> Urais wa Dr Magufuli, ni funzo
tosha kwa watu wengine

>

> Miezi kama minne iliyopita ni watu wachache sana
waliokuwa wakiamini

> kwamba Dr Magufuli atakuja kuwa Rais wa nchi yetu, Hii
ilitokana na

> mfumo uliokuwepo huko nyuma wa kuchagua mgombea ku-base
zaidi kwenye

> makundi ndani ya Chama na umaarufu wa mgombea.

>      Kilichomwibua

> Dr Magufuli ni record yake ya uchapakazi, uadilifu,
kutoyumbishwa hovyo

> hovyo kwa sababu ya kusimamia kile anachokiamini kwa
manufaa ya wananchi

>  na taifa kwa ujumla, Hiyo

> imejidhihirisha zaidi katika wizara zote alizowahi
kuziongoza mfano

> Ujenzi na Miundombinu pamoja na Kilimo na ufugaji.

>

>      Fundisho tunalopata hapa ni kwamba usingoje
mpaka upewe nafasi

> kubwa ya utumishi ndio uanze kuonyesha namna ya
kuwatumikia wananchi.

> Piga kazi tu hata kama huna cheo chochote, usingoje
mpaka uwe Waziri,

> Mbunge, M /"kiti serikali ya mtaa, nk*   
 WASIPOKUONA BINADAMU MUNGU ATAKUONA NA KUKUINUA TU



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment