Ndaki,
Ndio maana wengi tulitaka CCM itoke madarakani, kilichoinusuru ni huyu ndugu rais Magufuli. CCM kama ina akili itumie nafasi hii kuijisahihisha sana. Magufuli anaaminika ingawa si malaika/Roho Mtakatifu ila CCM haiaminiki hata sasa. Aliyeshinda ni Rais Magufuli siyo CCM ila kwa kuwa rais Magufuli ni mwanachama wa CCM basi chama hiki kimebaki madarakani. CCM haikuchukua hatua madhubuti kuiongoza nchi kwa maana ya kushughulikia maslahi ya walio wengi. Yako matatizo mengi sana kwa wakulima na wafanyakazi wote. Rais Magufuli amesababisha CCM irudi madarakani. Kama CCM ni sikivu kweli imuunge mkono Rais Magufuli kwa nguvu zote katika utendaji wake wa kazi wa siku kwa siku imani ya wananchi irejee. CCM lazima ikatae unyonyaji. Raia wananyonywa kwa visingizio vya ovyo sana kisa fulani ni mwekezaji. CCM kupitia Rais Magufuli ijipime upya na izaliwe upya.
Dominick
On Friday, November 13, 2015 10:14 PM, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:
Napata tabu kujua ni jamna gani kifaa muhimu kama hivo kinaharibika na hakuna namna nyingine ya kuhudumia watu. Pia nimeshangazwa na uharaka wa hayo matengenezo, kumbe tatizo halikuwa kubwa kivile.
On Nov 13, 2015 4:41 PM, "fadhil fadhil" <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:
Magufuli nenda mbaga sekta binafsi huko nako watanzania wako wanateseja sana haswa wafanyakazi wa viwandani wanahujumiwa na vyama vya wafanyakazi pamoja na mifuki ya hifadhi ya jamii haswa ppf na nssf.On Nov 12, 2015 5:59 AM, "'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:--
Punda haendi mpaka kwa nyenzo. Na ikiangaliwa, watakuta kuna hela za matengenezo kibao zilizoidhinishwa na kutolewa lakini mashine haikutengeneza. Isipokuwa-wachache waligawana fedha wakala. Bajeti ya matumizi kubwa lakini repair husika hazifanywi. Huyo ndio mtanzania. Anajitafuna mwenyewe. Kisha kulalama tu wakati sote tunawajibika kuzingatia ethics za kazi tuipende nchi yetu. Haya sasa na ujambazi unaanza kupanmba moto kuipa kazi serikali iliyo madarakani.
Nidhamu ya woga tuiache. Yaani hufanyi kazi husika inavyotakiwa mpaka usimamiwe? Hao wafao ni ndugu zako na watanzania wenzako. Sote tubadilike ili juhudi za Rais wetu zifanikiwe. Bado tunataka sio wafanyakazi tu wabadilike, na wale waliojiajiri wenyewe kuzingatia sheria na misingi ya maisha bora, wakulima na wafugaji, wavuvi na wakwezi. Pia Madiwani na Wabunge pale walipo katika kuhamasisha maendeleo ya wananchi wao na kuwaelimisha majukumu yao ili kuwe na maendeleo. Sio yeye anaranda na mgari kujionyesha kuongeza wake na watoto kwa kutumia cheo na nafasi zake au kushinda bar na vilabuni. Mijengo ya vilabu katika kijiji watu wanywapo pombe kutwa eti vinamilikiwa na DIWANI?!!!!!
Bado kazi ipo. Tunasubiri Baraza lake la Mawaziri, viongozi atakaochagua Kiwilaya, Kimkoa na awape semina ya mambo atakayo na mkakati wa uwajibikaji atakauotumia kuwashughulikia ili wawajibike. Mbio zake hizi wao nawe wawe wanazifanya katika maeneo yao. MTU NI KAZI NA KAZI YA UWAJIBIKAJI NA YA UFANISI MZURI NDIO UHAI.
--------------------------------------------
On Thu, 12/11/15, 'Dominick Rukokelwa' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Machine ya MRI ya Muhimbili yaanza kufanya kazi leo Novemba 11, 2015 saa tisa mchana
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, 12 November, 2015, 5:38
Kila mtu mwenye
mapenzi mema asiache kumuombea rais
Magufuli.Dominick
On Wednesday,
November 11, 2015 11:08 PM, Henry Oppi
<henryoppi@gmail.com> wrote:
Ni jambo jema sana
but watanzania tujifunze kuwa wazalendo wa nchi yetu na tuwe
proactive badala ya kuwa reactive.
On 11 Nov 2015 11:04 pm,
"'mpombe mtalika' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Tayari agizo la Magufuli limetekelezeka kwa kasi na kiwango,
ile machine
ya muhimbili yenye utata ilimfukuzisha mkurugenzi
muhimbili, imeanza
kufanya kazi baada ya mafundi kutoka kampuni ya philips
kuifanyia
matengenezo.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment