Tuesday, 8 September 2015

Re: [wanabidii] Ushindi wa Magufuli utaletwa na UKAWA

Mollel;
Maamuzi ya kukomaa na kutumia maji ya Victoria yalikuwa ya Baraza la Mawaziri, je unajua composition ya hilo baraza?The same applies to nyumba za serikali, wote walikuwa wasimamizi wa maamuzi ya pamoja wala huwezi kumpongeza mmoja na kumlaumu mwingine,that means na Eddo alikuwemo kuuza hizo nyumba, kwanini asingewakomalia wenzie na hilo lisifanyike kama ni mkomaaji wa kweli?

Je Eddo katika nyumba hizo kachukua ngapi?Mana Mollel unaonekana unataka kila mmoja akubaliane na wewe hata ikiwa hiyo mambo haipo na pia uwe unasoma vizuri post za wengine kabla ya kujibu.

Mtu wako katika moja ya kurupuka zake aliwahi kumsimamisha Eng wa Majengo wa Manispaa ya Ilala lilipoanguka Jengo moja pale Keko,unajuwa nini kilifuata baadae?Mana yule Eng. alikuwa bado mgeni kazini.
 
Reuben

On Wednesday, September 9, 2015 2:14 AM, 'Lesian Mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Duh, hah ha ha
Huwez kuwafananisha hata kdg makufuli ana utendaji gani,kuuza nyumba za umma free ni utendaji,'kutoa oda zenyd jazba na kuisababishia serikli hasarz ya bn tatu ktk issue y meli ya samaki ya wachina,kununua boat mbovu ya bagamoyo dar, kujenga bra bara mboovu na kulamba commission
Lowasa achilia mbali richmond anayoshikishwa nayosaana japo ni ya wakuu wake yani makam wa rais au rais,hana jingine bya zaid ya illussions tu'maaamuz yake yote yanakua na impact tu, maji ya lk victoria hadi leo watu wa majangwa ya shy wanapata maji salama,ni kutokana na kukomaa kwa edo ktk uke mkutano wa watumiajiwa mto nile,akakomaa akatumia maji,city water na ubabishaji wao out, m ded vimeo walikimbia na kujitundika wenyewe,amebuni udom'shuke za kta,amebuni mambo kibao japo mda haukuweza kumruhusu afanye kaz,sasa aja kufanya kaz
Lesian

'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Makufuli kiutendaji na pia uadilifu anamuacha mbali sana Lowasa.
Lkn mahaba niuwe hili halitakubalika.
Uzuri wa Magufuli ni muwazi,anasema yeye sio mwanasiasa mzuri,kwake ni kazi tu.
Nasi ndio tunataka,sio maneno mingi mingi

Sent from my Huawei Mobile

Abby Mrisho <abbymrisho@gmail.com> wrote:

Wakubali, wakatae UKWELI NDIYO HUO! Lowassa ni DHAIFU mbele ya Magufuli! WAPIGA KURA wanalijua hilo!

2015-09-08 17:54 GMT+03:00 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>:
Mtaweweseka sana mwaka huu. Namba mtaisoma Oktoba 25. Nitashangaa kama Magufuli atapata hata asilimia 40 ya kura.
EM

2015-09-08 8:18 GMT-04:00 fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>:
Mabadiliko ndio lakini si kwa lowassa atakuja kutuuza na mabadiliko tusiyaone kama walivyouzwa walibya mpaka leo nao wanakimbilia ukimbuzini ulaya.
On Sep 8, 2015 2:01 PM, "'lang'itomoni lokomoi' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Ushindi wa Magufuli utaletwa na UKAWA

Kwa muda mrefu nimekua nikifuatilia pilika pilika za vyama vya siasa kuelekea October ambapo utafanyika uchaguzi mkuu, na kupata rais wa awamu ya tano. Kwa mtazamo wangu ukawa watashindwa vibaya na Mh. John Pombe Magufuli. Sababu kubwa ninazoziona ni hizi hapa.

1. Ukawa ikiongozwa na chama kikuu cha upinzani kimekosa sura ya kitaifa
Kwa kiasi kikubwa viongozi wa ukawa hususani chadema kilichotoa mgombea urais kimekosa sura ya kitaifa. Viongozi wengi wa chadema wanatoka kaskazini, hii ni weakness kubwa sana kisiasa,, chama cha siasa kwa mazingira ya Tanzania kama kinataka kuchukua dola ni sharti kiwe chama cha siasa chenye sura ya kitaifa ili kipate support kutoka sehemu mbalimbali ya jamhuri ya muungano.

2. Dhana mfu ya mabadiliko
Kwa mtu mwenye civic competence kubwa na anauwezo mkubwa wa kuchambua mambo atakubaliana na mimi hakuna uhusiano wowote wa maana kati ya kubadili chama ili upate mabadiliko, nakubali kabisa kua na upinzani wenye nguvu ni kitu bora katika kujenga utawala bora lakini uhusiano na mabadiliko ni mdogo au hakuna kabisa. Nitatoa mfano: Japani toka mwaka 1955 kimeongozwa na chama kimoja cha siasa LDP TOKA mwaka 1955 mpaka 1993 kikatolewa madarakani kwa mda wa miezi 11 kikarudi tena madarakani mwaka 1994 mpaka 2009 kikatoka tena madarakani, mwaka 2012 kikarudi tena mpaka leo. LPD ndio chama kilicholeta mabadiliko makubwa ya kiuchumi kutokana na sera nzuri za kujenga uchumi. Chama cha kikomunisti cha China kimekaa mda mrefu sana na CHINA ipo hapo ilipo leo.

Tatizo kubwa la UKAWA ni kudai mabadiliko kwa kuwaaminisha wananchi kwamba CCM ikitoka madarakani maisha yatakua mazuri. Kuna tofauti kubwa ya ahadi, kwa maana ya kuleta mabadiliko na kuja na mikakati mizuri ya kiuchumi na kijamiii ili waaminiwe kuongoza nchi, sera zao hazieleweki na wanatumia matatizo ya vijana kwa kuwadanganya kua maisha yatabadilika CCM ikitoka madarakani.

3. Udhaifu wa Mgombea wa UKAWA
Ukawa nawamgombea urais dhaifu, hana uwezo wa kujenga hoja na haelezi vitu vya msingi ili kujenga uchumi na taifa hili na kuleta hayo "MABADILIKO" Lowassa kwa mda mrefu jukwaani ameshindwa kujieleza vizuri na nimtu anaeonekana ana matatizo ya kiafya, amekua haelezi nini atafanya zaidi ya kuhamasisha vijana wadai mabadiliko, LOWASSA NI DHAIFU SANA KUJENGA HOJA UKILINGANISHA NA JOHN MAGUFULI, hili litawaletea matatizo makubwa mbele ya safari kampeni kadri zinavyopamba  moto magufuli anaoneka nauwezo mkubwa wa kujenga hoja na kuitetea vizuri.
tofauti na Lowassa

Naomba kuwasilisha
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Abdallah Mrisho
General Manager
Global Publishers Ltd
P. O. BOX 7534
DAR ES SALAAM TANZANIA
mobile: +255 713 839 363
Please visit me at:
www.abdallahmrisho.blogspot.com, www.globalpublishers.info

0 comments:

Post a Comment