Tuesday, 22 September 2015

Re: [wanabidii] TWAWEZA UKAKASI

Inline image



From: 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Cc: WANA BIDII <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, September 22, 2015 8:10 PM
Subject: [wanabidii] TWAWEZA UKAKASI

Mwana mabadiliko mmoja kachambua utafiti wa TWAWEZA  na kuhitimisha  kwa kusema kuwa ni utafiti wa hovyo kuliko tafiti zote ambazo zimewahi kufanyika nchini kuhusiana na uchaguzi. Mingine kamalizia kwa kusema, hata TWAWEZA Nigeria walifanya utafiti wa hovyo hivi hivi kupendelea chama kilichokuwa madarakani lakini  kura za wananchi wa Nigeria  ziliabisha TWAWEZA vibaya. Nasi tusubiri maamuzi ya wapiga kura Tanzania  maana kura inapigwa kituoni, inaesabiwa kituoni  na inatangazwa kituoni kuanzia ya diwani hadi ya Rais.

Ukakasi wa twaweza
FINDINGS ZA TWAWEZA ZINA UKAKASI.
-Watu waliohojiwa ni 1,848.
- Idadi ya wapiga kura mil.24
- Wastani 1:14,000
-Yani mtu mmoja anawakilisha maoni ya wapiga kura 14,000.
KASORO: Twaweza wameonesha hawapo serious. Huwezi kutumia sample size ya watu elfu moja kuwakilisha maoni ya watu milioni 24.
WAGOMBEA WANAVYOKUBALIKA;
-Magufuli 65%
-Lowassa 25%
-Wagombea wengine 10%
-Ambao hawajaamua 07%
-JUMLA 107%.
KASORO: Asilimia za utafiti zimezidi 100.! Fabricated data.
WWAGOMBEA WANAVYOUNGWA MKONO NA MAKUNDI YA WATU;
-Lowassa - Vijana
- Magufuli - wazee
- Wagombea wengine -Vijana &wazee
- Lowassa - Wasomi
- Magufuli - Wasiosoma.
- Wengine - wasomi &wasiosoma
KASORO: Twaweza wanatuambia moja ya njia zilizotumika kuwafikia wapiga kura ni simu. Sasa jiulize kati ya vijana na wazee kundi lipi linamiliki simu zaidi. Na kati ya wasomi na wasiosoma nani anafanya mawasiliano ya simu zaidi?
Twaweza wanatuambia kwamba wazee wako "active" kwenye simu na mitandao ya kijamii kuliko vijana. Na wasiosoma wanatumia simu zaidi kuliko waliosoma. Halafu wazee nchi hii ni wengi kuliko vijana? Hiki ni kichekesho.
Nadiriki kusema huu ni utafiti wa "hovyo" zaidi kuwahi kufanyika nchini

Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment