Wednesday, 9 September 2015

Re: [wanabidii] Siyo lazima kubadilisha chama ili kuleta mabadiliko ya Maendeleo

Umesahau moja Kiwasila.
Mara baada ya kuapa ahadi zake zinatekelezwa. hahitaji kujua hazina kuna nini au hakuna nini.
Anataka tumkubali. Kama anazungumza na watoto waqdogo vile???? Baba akimwambia mwanae 'pole mwanangu, nipe fimbo nimuue simba anayekutisha. Anaamini. Si mtoto tu! Lowasa bwana we achatu
--------------------------------------------
On Sun, 9/6/15, 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Siyo lazima kubadilisha chama ili kuleta mabadiliko ya Maendeleo
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, September 6, 2015, 11:01 PM


-Nchi
ambayo UKAWA wataleta mabadiliko kwa  kuondoa kodi zote kwa
kuwa tuna gas, madini makaa ya mawe, tanzanite, gold,
almasi, mbuga za wanyama, ruby, no kodi.

-Mishahara ya walimu haitokatwa kodi.

-Mkulima ambaye mpaka achuke
madaraka Oct 25 atakuwa hajalipwa hela zake za mazao
stakabadhi gharani atalipwa mara 2. Kwa mfano wapo wakulima
mia kila kijiji Tanzania zidisha huyu milioni 20 mara mbili
yule mil 30 mara 2 kama fidia na hakuna kuwatoza kodi.

-Kuukataa masikini na nyumba
za nyasi ambapo nyumba za kaya au maboma za aina ya manyata
Monduli, manyara ni za fito zilizokandikwa kwa udongo
uliochanganywa na kinyesi cha ng'ombe na kuelekwa kwa
nyasi lakini hazijaondolewa karne. Kuukataa umasikini ambapo
gender NGOs zinapambana na elimu na ufuatiliaji kutokomeza
ndoa za utotoni kuoza mtoto wa miaka 12 kwa jibaba la miaka
60 ili wazazi wapate mifugo ya kulimbikiza. Wanafunzi kukosa
uji shule mpaka kupata misaada ya World Food Progeam unga wa
USAID ulaya ulilimwa kulishia mifugo. Leo hauondoi umasikini
uliopo ndani ya utajiri wa kulimbikiza mifugo iletayo land
degradation, kukausha mito lakini anaukataa umasikini
kimaneno sio kimatendo jimboni ambalo sio la mfano kitaifa
ktk maendeleo wakati mbunge wa miaka kenda plus anamwaga
mindoo ya hela.

-Urafiki na
mama, baba ntilie na bodaboda-kaeni popote mtakako hakuna wa
kuwasumbua na kodi msitoe nchii tajiri ni CCM ndio
wabadhirifu.
-Mkulima lima na uuze mazao
yako kokote utakako ndani na nje ya nchi hakuna masharti ya
serikali. Kukukataza na kukutoza kodi ni uonevu.

Ama kweli kuleta maendeleo kwa
sasa hakuhitaji Economists. Rais mtarajiwa ameachwa kuongea
haya ya economists wapo hata kumshauri. Public health
specialists na wanasheria wapo kusema Ruksa kila kitu kaa
popote fanya utakalo hakuna bugha wala kodi. Sio tu
kipindupindu kitamaliza watu, malori yatapata raha ya
kukanyaga miili ya wafanyabiashara barabarani. Kihamo kutoka
vijijini kuja mijini kufanya biashara kitaongezeka. Ujenzi
holela utapaa 300% plus kwani uhuru bila kuzingatia sheria
ni ukichaa. Misaada yetu toka nje ni kodi za walipakodi huko
itokako. kama hapa TZ matajiri waliopewa viwanda, mashamba
hawaendeshi; wanaziona sekta za uchumi wao wanauza soda za
rangi na kuingiza mitumba malori kwa malori na used
cars-hela ya kila kitu bure itatoka wapi iwapo local
investors wenyewe ni dhulumati katika kuendesha uchumi na
kulipa mishahara ni magumashi tu?

Kuleta mabadiliko si lazima kubadilisha chama.
Wote tunahusuka wananchi, watumishi wa umma na makampuni
binafsi y wabongo. Kufanya efficiently na effectively yale
ya wajibu wetu bila udugu, ukabila, urafiti na tamaa ya
kutajirika haraka haraka bali kuzingatia wajibu wa kazi,
sera, mikakati na sheria ya sekta husika.Tubadilike kiakili
na kimatendo tusitegemee vishuke kama mvua. Wanaoahidi vya
kusadikika-tusiwape kura. Hata kama nchi tajiri ina kila
kitu KODI lazima ikusanywe, ikatwe katika mauzo na biashara
ili huduma za bure zipatikane. Bure ilikuwa wakati ule
China, Urusi, Scandinavian countries, UK inatulipia wakitaka
aidha tuwe wajamaa (ujamaa-Socialism) au tuwe capitalists
wakipambara. Sasa ni liberal economy ili tujitegemee budi
tugharimie maendeleo yetu kwa juhudi zetu. Bure aghali!!
Budi uwe mtumwa wa mtu ndani au nje ya mnchi. Wagombea
wengine Tabula Rasa!!
--------------------------------------------
On Sun, 6/9/15, 'mpombe mtalika' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Subject:
[wanabidii] Siyo lazima kubadilisha chama ili kuleta
mabadiliko ya Maendeleo
To: "ELISA
MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, 6 September, 2015, 22:28



 Siyo
lazima kubadilisha
chama ili kuleta
mabadiliko ya Maendeleo




Dhana ya
baadhi ya sisi
Wantania ya kwamba kuondoa Mfumo wa utawala

wa nchi ni lazima
kubadilisha chama ili
kuleta mabadiliko ya Maendeleo ya
Kiuchumi
na maisha bora
kwa kila mwanachi siyo
sahihi. Dhana hii imekuwa ikitolewa
mfano
wa Kenya na
kwamba imeondoa tabaka la
uongozi wa KANU.



Kiuhalisia Kenya haijawahi
kubadilisha mfumo wa Utawala ulio
nje ya
KANU. MWAI
KIBAKI amekuwa ndani ya KANU
tangu Kenya ilipopata uhuru
mpaka mwaka
2002
alipogombea Urais kupitia National
Alliance Rainbon
Coalition NARC. Kabla
ya
hapo alikuwa Makamu wa Rais wa serikali
ya KANU ya Rais
mstaafu DANIEL ARAP MOI.
Rais mstaafu MWAI KIBAKI alidumu na NARC hadi
2005 ambapo
alipokuwa akigombea
kiti hichocha Urais 2007 alipolazimika kupitia
chama cha
PNU( Party of National
Unity).


 Pia ikumbukwe kwamba wakati MWAI
KIBAKI
akiwa
Rais UHURU KENYATTA alikuwa mmoja wa
viongozi ndani ya
serikali hiyo. Aidha
viongozi wengine tofauti tofauti ambao ni KANU
kiundakindaki
walikuwemo RAILA
ODINGA . ODINGA ambaye hajawahi kuwa KANU.



Mwaka 2013 UHURU KENYATTA alishinda uchaguzi
kupitia chama
cha The National
Alliance (TNA). Hivyo mlolongo huu wa uongozi
hauonyeshi
moja kwa moja ya
kwamba mfumo huo wa uongozi ulibadilika kutoka
ule wa KANU
kwenda kwa ambao
walikuwa hawajapitia KANU.


 Hivi sasa inaonyesha dhahiri kwamba
KANU
katika muonekano wa
Kimataifa imerejea rasmi .Soma daily
Nation
Toleo No18384
Pg la tarehe
11/08/2015.Uhuru's Political Party Catches up
with him as Uganda
army band
plays him "KANU YAJENGA NCHI".

Katika
serikali hizo za mpito
wakenya hawakuwahi kushawishika
kumpata
Rais aliye nje
ya safu ya KANU pamoja na
kubadilisha badilisha vyama na
msukumo wa
kutoka nje
ya nchi bado walishikamana na
kuwa wamoja katika kupata safu
za
viongozi.

 RAILA ODINGA
ambaye ni mpinzani wa
kweli pale
alipoona viongozi ambao asili yao ni wa KANU
wamefanya
vizuri alisimamia mazuri
hayo kama raia wa KENYA haijawahi kusikika
fununu yoyote
wala uvumi wa kwamba
alitoa fedha interms of billions ili kuupata
uongozi wa
kulazimisha,KAMA
AFANYAVYO EDWAR LOWASA HIVI SASA HAPA
TANZANIA.



Ninachojifunza ni kwa,mba
viongozi bora mpaka sasa, hivi ni
wa kutoka
chama
tawala ingawaje pia wapo kwenye vyama
vingine vya siasa
.Lakini kiongozi
yeyote
aliyeonolewa na chama husika kwa
kukiuka maadili ya chama
hicho yaliyo
wazi
alafu akakimbilia chama kingine kwa
lengo la kutaka kupata
uongozi siyo kama
mlezi wa chama hicho huyo ni MROHO WA
MADARAKA.


Nasema hivyo
kwa sababu
misingi iliyo muondoa yeye alikuwa miongoni mwa
watu walio iandaa
tena tena
akiwa kwenye nafasi ya juu na Mkongwe.



La msingi
la kujifunza kutoka kwa wenzetu KENYA ni kuchukia
RUSHWA kutumika kama
njia ya
kutupelekea kiongozi IKULU Pia atapata nini

mwendesha bodaboda
anayepewa mafuta na
token ya Tsh elfu kumi na kuendelea , Je

akipata ajali
atampa pesa za matibabu ?
Mimi nisiye kuwa na elimu ajira

ninayoambiwa kuwa
nitaipata katika
ulimwengu huu wa wasomi waliojaa hadi

kijijini kwangu kule
Mbwinde, ajira hii
nitaipataje?

 Kwa
wenzangu waliosoma ni dhahiri
kwamba
tulipofika kwa sasa ni mahali pa kudanganyana
cha msingi
tuungane pamoja kwa
nguvu zetu zote kukemea wazi wazi viongozi
wanaotumia RUSHWA
ya fedha nyingi
kama barabara ya kwenda IKULU. Pia tuwachukie
wafadhili
wanaotoa michango ya
hali na mali Mabilion ya pesa kuhakikisha
mlengwa wao
anaingia ikulu.

 Hawa ndiyo watakaotufanya
tishe maisha
ya
SURVIVAL
FOR FITEST, No Fit no Survive . Turudi tujitazame
ili tugundue wapi

tulipojikwaa tuparekebishe ili tuweze kufufua na
kuendeleza
nyayo za MWALIMU
JULIUS K NYERERE.



JOHN POMBE
MAGUFULI atatufaa kwani hakutumia RUSHWA hata
senti moja , let's
support
him ,tuachane na dhana ya vyama ambavyo sasa
vinatupotosha kuanza

kuwakumbatia hata wenye miiba kwa sababu tu ya lita 5 tu
za
mafuta ya bodaboda
na
usafiri wa kututoa mikoani kuja Dar Es Salaam
kumshangilia . Baadhi ya

mataifa ya nje yaliyo na nia njema yamegundua kuwa Kenya
ilipotea na vivyo
hivyo ndiyo
yanavyotuona sisi watanzania tunavyopotea .



DR WILLIBROD SLAA na Prof. IBRAHIMU LIPUMBA ni
wa kwanza
kugundua kwamba siasa
za vyama vya siasa ni za kinafiki " Hongera
sana kwao hawa
wazee na Mungu awape
uzima zaidi ili waendelee kuwa walezi na mfano
wa kuigwa".
Mahali penye

udanganyifu panajionyesha waziwazi toka lini mtu kama
LOWASA
akupatie fedha hivihivi
tu, kwani wewe ni mjomba wako!!!! Mtu hawezi
kununua wengine
kama yeye

hajanunuliwa kwanza!!!!! Na atakapopata anachokitaka
hatorudi tana kwako bali

atalipa fedha zake zote na faida mara 100 kwa fedha yako
wewe na mimi.

Pindi mambo
yakiharibika
hupanda ndege na kukimbilia ULAYa na kutuacha
ndugu tukiuana kwa
kisasi
ambacho mimi na wewe hatukijui wala hatuna.




Juhudi
zako binafsi ndizo zitakazoboresha maisha yako wewew
binafsi,kikundi
chenu ,
kijiji chenu , wilaya yenu , mkoa wenu, na hatimaye
Taifa letu kwa
ujumla.

Usikubali kutumiwa na
wanasiasa wasakatonge !Waanze kwanza
wao na
familia zao
kuandamana na kubeba mabango ya
wazazi wao.

TUNAHITAJI
MABADILIKO CHANYA YA KIFIKRA KWA KUWAKATAA

WANAOTAKA KUINGIA IKULU
KWA PESA,
TUSIJARIBU KUONJA SUMU, SUMU HAIONJWI

INAUA






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.


---

You received this
message because you are subscribed to the

Google Groups "Wanabidii" group.


To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.


--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment