Thursday, 10 September 2015

Re: [wanabidii] Lowassa, Dk. Slaa, tusipotoshe ukweli

De kleison,
Kama yule mlinzi wake ni wa kuaminika, aliporudi alikuta mkewe ameshamfungashia sanduku na kumwambia arudi huko huko alikotoka, baada ya kushiriki katika
ukaribishaji wa Lowassa ndani ya Chadema. Na kama ni hivyo, tuhuma anazotoa kwa Lowassa kuwa sababu kubwa ni kisingizio. Sababu kubwa ni mkewe.
Asingeweza kuendelea kuwa kiongozi ndani ya Chadema na kudumisha ndoa yake. That is my point.
em

On Thu, Sep 10, 2015 at 10:23 AM, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:

Muganda,

Kabla ya jibu la swali tuelezee picha tutakayoipata baada ya jibu? mfano, kama ni kweli alilala ina maanisha..... kama hakulala ina maanisha..... tunajadili ya kulala ndani au nje!!!! wangapi ndani ya ndoa wanalala ndani na bado anaona afadhali kulala nje?

Thats non sense!!!
Sikuelewi ujue!!??

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment