Thursday, 10 September 2015

Re: [wanabidii] Lowassa, Dk. Slaa, tusipotoshe ukweli

Akina Karugendo ni waandishi ambao wamebaki wakifikiri wakati huu... hongera

On Sep 10, 2015 5:03 PM, "De kleinson kim" <dekleinson@gmail.com> wrote:

Ukifikiria hali ambayo TANZANIA ipo kwa sasa, ukafikiri na kuitazama kwa kina, usipotoa machozi huna uzalendo.

Kama unadai kweli unaipenda TANZANIA, jaribu kufikiria TANZANIA kwako ni nini? nchi maana yake nini? hivi leo nisipokuwa na nchi naishije duniani? naweza kufananisha nchi na nyumbani kwangu? ni haki zipi nazikosa ninapotoka nje ya nchi yangu? napenda TANZANIA ya namna gani, ilikuwaje, nataka mbeleni iweje. ichukulie kama kiumbe hai, ukishindwa kabisa hebu ifanye kama ndugu yako wa karibu unaemtegemea saana na hali yake ni taabani, umepoteza pesa na muda kumtibu lakini hakuna kitu unatapeliwa tu. Leo wamekuja waganga na waganguzi wanaleta proposal za kumtibu TANZANIA kwa mara nyingine.

Unafanyaje????

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment