Thursday, 3 September 2015

Re: [wanabidii] GWAJIMA 'MSHENGA' NI MTUMISHI WA MUNGU KWELI?

Ni kweli Reuben ndg yangu nakuelewa

'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Flano;
Bila shaka hapa tunaelimishana ili tuwe sahihi.
Nionavyo mimi ni kwamba, hazuiwi kushiriki shughuli za Kijamii lakini zisiwe na makundi.
Kwa maana hiyo wafuasi wake sio wote CDM,hivyo lazima mtafaruku utahamia kanisani.
Na akijaribu kuwa influence waingie aliko yeye haitakuwa rahisi labda kama wote ni mbulula anaweza kuwaburuza apendavyo.
 
Reuben




On Wednesday, September 2, 2015 11:05 PM, 'Flano' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Hapana Reuben simtetei. nilikua najaribu kutoa mawazo yangukuwa Gwajima ni raia wa Tz ambaye anahaki zote za kushiriki shuguli za kiraia.

Na mm sijaona mahala kwenye biblia inamzuia mtu kushiriki shughuli za kiraia za nchi yake maadam ni halali hakiuki sheria na si dhambi. labda mweye kujua angalizo na katazo hilo kwenye neno la Mungu nami nitajifunza.

Hapa kwani shida iko kwenye tendo gani hasa alilofanya/kushiriki Gwajima? je ni kuwa mtu wa kati kati ya CDM na EL? au ni kusema maaskofu wamehongwa au kufanyaje?



'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Flano;
Hapo hujajibu hoja,unamtenganishaje Gwajima na uchungaji katika vipindi tofauti?
Kwa mana hiyo anakuwa mchungaji akiwa Kanisani tu?Baada ya hapo anaweza kuwa Jambazi au mhuni tu?Kama nimekuelewa vizuri Flano.
Tumwachie Kaizari yaliyo yake, hivi vitu havichanganyiki.
Usimtetee amekosea yeye pamoja na wengine wanaojihusisha na siasa ilhali maadili ya utume wao hayawaruhusu.
 
Reuben



On Wednesday, September 2, 2015 9:50 PM, Neatness Msemo <nmuzeh@gmail.com> wrote:


Wewe je

0 comments:

Post a Comment