Waliotajirika na hicho unachoita sera za Ccm ndio hao wamehamia Chadema baada ya kushtukiwa Ccm na ku fyekwa!!! sasa kama baada ya kuhamia Cdm sakakafu ya moyo wako inakuelekeza kua wamegeuka malaika. do!!! Mama unahitaji kuombewa!!!
ernest
Sent from Samsung mobile
'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Mike nakubali hoja yako. Tukirudi nyuma na kuangalia historia --jinsi ACT-Wazalendo ilivyoanzishwa--na nini kilikuwa kimetokea nchini ndipo chama hiki kikaanzishwa--utaona kuna maswali mwengi yanayohitaji majibu kwa watu makini ambao wanaweka mbele maslahi ya mamilioni ya Watanzania wanaoteseka kwa umaskini . Nilimuuliza maswali kibao humu jukwaani mwalimu Prof Kitila hadi leo hajanijibu.
Bila kumumunya maneno, ingawa uhuru wa demokrasia ni haki, ninaona ni kosa kubwa tena la kusaliti wananchi kama yupo mwanasiasa anayejinasibu kuwa ni mpinzani lakini hakubali kuwa bilMike nakubali hoja yako. Tukirudi nyuma na kuangalia historia --jinsi ACT-Wazalendo ilivyoanzishwa--na nini kilikuwa kimetokea nchini ndipo chama hiki kikaanzishwa--utaona kuna maswali mwengi yanayohitaji majibu kwa watu makini ambao wanaweka mbele maslahi ya mamilioni ya Watanzania wanaoteseka kwa umaskini . Nilimuuliza maswali kibao humu jukwaani mwalimu Prof Kitila hadi leo hajanijibu.
Bila kumumunya maneno, ingawa uhuru wa demokrasia ni haki, ninaona ni kosa kubwa tena la kusaliti wananchi kama yupo mwanasiasa anayejinasibu kuwa ni mpinzani lakini hakubali kuwa bila nguvu kubwa ya pamoja ya vyama vya upinzani, CCM itaendelea kubaki madarakani kuendelea na sera zake za kutajirisha watawala wachache huku mamilioni ya Watanzania wakibaki masikini wa kutupa.
Binafsi kwa ukweli kutoka uvungu wa moyo wangu, ninaona ACT-Wazalendo kwa kukataa kuungana na UKAWA, kama alivyosema Mwalimu Lwaitama, ni kwamba wamekubali kuiunga mkono CCM--wananchi wateseke watawala waendelee kuwa matajiri wa kutisha kwa kutumia mali za umma.
a nguvu kubwa ya pamoja ya vyama vya upinzani, CCM itaendelea kubaki madarakani kuendelea na sera zake za kutajirisha watawala wachache huku mamilioni ya Watanzania wakibaki masikini wa kutupa.

Aidha matendo ya wanaojitambulisha kuwa ni wanachama wa ACT -Wazalendo mfano Ludo yanatia mashaka makubwa maana CCM ikiguswa kidogo tu utadhani Ludo ni nani sijui huko CCM anakuwa kama vile kaumwa na siafu vile.
Wenye akili zao wanaona mkakati wa kuzuia wananchi wasifanye mabadiliko ya uongozi hapo tarehe 25 Oktoba 2015 siyo tu unatumia watu kama Dr Slaa bali pia vyama ambavyo viko nje ya UKAWA. Tusubiri hadi siku ya uchaguzi tutaona na kusikia mengi.
Lakini la msingi ni kwamba mabadiliko ni lazima. Hayazuiliki tena.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Mon, 9/7/15, 'Mike Zunzu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] DR SLAA KAJICHAFUA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, September 7, 2015, 12:20 PM
Hatua ya
kuunda ukawa iko sahihi , na itakuwa sahihi daima, kadiuri
muda unavyokwenda watu watazidi kuingiwa na ufahamu kuwa
kwenye vyama vingi vidogo vidogo havina manufaa, bali ni
kuwatengenezea njia waliopo madarakini, maana, mara hata
kupata mubunge mmoja wakati mwingine inatokea. Hebu ona
uchaguzi uliopota kuna vya vilipata 0.0x%, maana yake nini,
si afadhali hata hivyo vyama vidogo vingeliungana na kupata
chama cha size ya kati.Ni hivyo hivyo hata vyama kama ACT, ni
muujiza gani utaotokea washinde urais, heri hata nao
wangelifanya juhudi kuvutia vyama vingine ili japo wasogee
mbele, yaani kuwe angalau na vyama vitatu vinavyo
sound.
Natambua
uhuru wako wa kutoa maoni yako, lakini vipi mbona jicho
latizama CHADEMA na wenzao walioungana tu? Niliuliza suali,
je vyama vilivyo jiunga vikifa, kwai tatizo? Tena ukiwa
msomi kama wew hilo wala siyo la kuambiwa na mtu ni
lakuliona wewe mwenyewe.
On Monday, 7
September 2015, 11:12, Magora Hassan
<magorah15@gmail.com> wrote:
Hakika huu ni ulofa
mbaya sana kuwahi kutokea katika historia ya demokrasia ya
vyama vingiTanzania
2015-09-07 12:25 GMT+03:00
Kitila Mkumbo <kitilam00@gmail.com>:
Mike: Namchonganisha nani na nani? Mie natoa maoni
yangu na wala silazimisha wewe ukubaliane nayo kama ambavyo
mie sitaki unilazimishe nikubaliane nawe. Ninachopinga kwa
nguvu zangu zote ni ulofa ulioibuka hivi karibuni kwamba eti
ili uonekana unapigania mabadiliko na mkombozi wa taifa
lazima uwe UKAWA. Eti ukiwa chama A ni shetani, lakini
ghafla ukihamia UKAWA unakuwa malaika. Kwenye huu ulofa mie
simo!
Ninapinga watu
kujivisha ngozi ya upambanaji ghafla wakati tunajua miaka
yote wamekuwa wakipinga na kukebehi juhudi za mageuzi.
Ninapinga ulofa wa kuwatoa wapambanaji waliojipambanua miaka
na miaka kuwapisha wasaka vyeo ambao tunajua kwamba mara
watakapokosa hivyo vyeo watarudi walikotoka. Siwezi
kuudandia huu ujinga wa kimantiki na tafadhali
tusilazimishane kuwa malofa!!
Kitila
2015-09-07 11:18 GMT+03:00
'Mike Zunzu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Wewe tembeza tu hizo chuki
za uchonganishaji, naamini zitagonga mwamba, mpango waliofya
UKAWA ulitakiwa uwe umeshafanyika miaka mingi. Kama
unakumbuka hata Baba Taifa aliwashauri wapinzani waungane na
angeliwasaidia kuwapigia kampeni wabunge wao ili wawe na
wabunge wengi bungeni. Unamuona mpuuzi?
Sasa hivi kilichotokea, viongozi wa vyama
hivyo wamerudiwa na ufahamu wa hekima. Kwanza nikuulize,
hata kama vyama hivyo vimekufa kwa mtizamo wako wa kuona
mwisho tu wa pua kipi lichopungua? Unashabikia utitiri
wa vyama, ili wakati wa upigaji kura kura nyingi zisiwe na
thamani, na za CCM zibaki kuwa nyingi? Pengine
usingelipoteza muda wako mwingi kujadili
UKAWA wanafanya nini, ungelielekeza akili zakmsikiliza
mwakilishi wa CCM anakuahidi nini ili moyo wako
ukosheke. Hebu waone hao akina ACT na akina
Labour Pary, unaamini wapo pale kwa maslhi ya wananchi au
kwa masilahi yao wenyewe lakini jicho na masikio yako ni
CHADEMA, kama unaona hawafanyi unavyotaka si ujiunge ili
ukabadilishe wanachokifanya?.
Kitendo cha UKAWA
kuunganisha nguvu ni kitu kisichokaribihwa na uongozi wa
CCM, wametumia kila njama umoja huo ufe, lakini, hebu wakae
na kuwaza tena, kuwa suala hilo halitafanyika, na usishangae
hapo baadaye chama kipya kabisa kiweza kikazaliwa, ikawa si
CHDEMA, CUF, NCR Mageuzi na wala si NDL tena, bali
chama chenye jina tofauti, na chenye viongozi
wapambanaji, wapigania haatanzania kwa
dhata.
On Monday, 7
September 2015, 7:52, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:
Kaka kitilya
Kama sikosei Mpombe alishaletaga hoja humu ndani kabla
hata lowasa hajajiunga na UKAWA na ukwa kuwa chadema
wanafanya ujanja licha ya kuwa UKawa kuiachia asilimia 70 ya
majimbo yote nchini lkn wa wanagombea wengine asilimia ktk
zile 30 za Cuf nccr na nld leo yanaonekana. Naitabiria Act
kuwa kimbilio la wanyonge baada ya uchaguzi huu na itafanya
vizuri zaidi mwaka 2020 ingawa wengi humu hawapendi kusikia
hivyo.
On Sep 7, 2015 8:00 AM, "De kleinson kim"
<dekleinson@gmail.com> wrote:
Dr Kitila,
Nimependa hii " Ni uzembe wa kifikra
kudhani kwamba 'wakombozi' wote wa nchi watajiunga
na UKAWA."
Hapo tu.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment