Fadhili ninarudia kukueleza kuwa sina chama cha siasa ninachofungamana nacho. Niko upande wa mamilioni ya Watanzania wanaoteseka kwa umaskini ili hali watawala wachache wa wakiwa matajiri wa kukufuru. Watanzania hao maskini hata kama baadhi yao ni wanachama wa CCM lakini siyo sehemu ya watawala wa CCM wanaonufaika na fedha na rasilimali za nchi yetu. Kama huelewi huo uchambuzi basi ishia hapo endelea kung'ang'ania msimamo wako mimi nasonga mbele kuhamasisha mabadiliko ya kubadilisha uongozi wa nchi ili mfumo uliojengwa na CCM kutajirisha watawala wachache na kuwaacha mamilioni ya wananchi wakiwa mafukara ukomeshwe kwa kura ya wananchi kuikataa CCM hapo tarehe 25 Oktoba mwaka huu 2015. Mabadiliko hayaepukiki. Subiri.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Wed, 9/9/15, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] DR SLAA KAJICHAFUA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, September 9, 2015, 4:34 AM
Mama nkya hata kama
hauna chama lkn maandiko yako yanakuweka wazi umesimamia
wapi. Usiogope kusema wewe ni chadema au ukawa kama
maandishi yako yanavyoonyesha utakuwa unajiumiza bure na
kujinyima uhuru wakati ukweli humuweka mtu huru. Hakuna
atakayekulaum kwa kua upo chama fulani isipokuwa hapa
tunashindana kwa kujenga hoja n si vinginevyo.
On Sep 8, 2015 4:24 PM,
"'ananilea nkya' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Mwalimu
wangu Prof Kitila.
Nimesoma hoja yako. Hata hivyo nikusahihishe kwamba sina
chama chochote cha siasa ninachofungamana nacho. Kama
umekuwa ukifuatilia vemakwenye hoja zangu zimekuwa zikilenda
kutetea maslahi ya mamilioni ya Watanzania ambao siasa
zetu zimekuwa zikiwafanya maskikini ili hali watawala
wachache wakitajirika kupindukia.
Nimetoa hoja kwamba hali hii inasababishwa na mfumo wa
vyama vingi nchini kutofanya kazi kwa sababu vyama vya
upinzani vilipaswa kuunganisha nguvu ili kuleta siasa zenye
ushindani mkubwa.
Ndipo nikauliza swali ni kwa nini ACT-Wazalendo hawakujiunga
na UKAWA ili vyama vya upinzani viwe na nguvu kubwa zaidi?
Wewe umenijibu kwa kebehi kwamba nikaulize UKAWA. Sijui ni
kwa nini unataka nikaulize UKAWA swali ambalo linapaswa
kujibiwa na ACT-Wazalendo. Mwalimu ni kwa nini unataka
swali linalohusu chama chako lijibiwe na UKAWA?
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Tue, 9/8/15, Kitila Mkumbo <kitilam00@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] DR SLAA KAJICHAFUA
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, September 8, 2015, 9:05 AM
Dada
Ananelia,
Waingereza
wanasema 'seek truth from facts'. Ni muhimu
sana.
Mambo mengi unayoandika yamejaa hisia zisizoshabiana hata
na
chembe ya ukweli. Ni vizuri ukatafuta ukweli wote kuhusu
ACT
na hata mazungumzo yaliyofanyika kuhusu uwezekano wa
chama
hiki kuwa sehemu ya UKAWA na kitu gani hasa
kilikwamisha-sababu za msingi na zisizo za msingi. Ongea
na
makamanda wenzako ndani ya UKAWA/CDM watakwambia ukweli.
Ni
muhimu sana.
Angalizo: kwa mnaojiunga na vyama
vya siasa vya upinzani ukubwani, kuwa mwanachama wa
chama
cha siasa sio lazima utetee kila kinachohusu chama
chako.
Kuna mengine unakaa kimya tu. Kwa maneno mengine, kuwa
mwanachama wa chama cha siasa hakukufanyi ukapoteza
uhalali
wako wa kufikiria bila kujipendekeza kwa chama. Uanachama
wa
chama cha siasa sio kama ulokole ambao unakulazimisha
kusema
Bwana Asifiwe kwa kila jambo lililopo katika Biblia.
Nalisema hili kwa sababu naona wanachama wapya katika
vyama
vya siasa vya upinzani wanatupa kwa kasi misingi ya
kusimamia ukweli waliojijengea muda mrefu. Yaani hadi
mnawazidi 'waliokoka' siku nyingi!
Kitila.
Kitila
2015-09-08 8:23 GMT+03:00
De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>:
Mama Kiwasila,
Ni kweli tupu, ukisema sana wahafidhina
watakujalia hapa wamefunga kanga nusu, na matarumbeta
ati
kukusuta.
Kumbe maskini ya Mungu hawaelewi muda, hawajui
faida ya uongozi, hawafikiri taifa la kesho,
hawafikirii
maendeleo ya wengi, wao huamini wao ndio bora! hata
hawaelewi kwa nini tunatakiwa kuendelea, hawajui kwa
nini
sie ni maskini?
Na kama wanajua hayo, si bure wameweka nafsi
yao mbele, UMIMI!!
Kinachotusumbua watu weusi ni kile kilichopo
ndani ya elimu. tunasoma kweli na kufaulu, lakini kama
hiyo
elimu haikupi akili ya kujiongeza, then still workdone
=
0!!! umesoma utawala, sheria, IT, e.t.c but still you
cant
do logic ques.. we ni msomi wa aina gani sasa? labda wa
mitihani!!
Kama tutaendelea hivi, tutaishia kuuliza na
kusifiana "umekuwa wa ngapi?" "ana GPA
ngapi" "Amepewa Honors" n.k. lakini suluhu
ya
matatizo ndani ya jamii yetu hakuna!!! tunashangilia
qualification but not quality of it in return!!!
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment