Tuesday, 8 September 2015

Re: [wanabidii] DR SLAA KAJICHAFUA

Ni hivi:

i) Sisi tumesema mara nyingi kwamba tunaunga mkono juhudi za kuunganisha vyama vya upinzani katika juhudi za kuidhoofisha na hatimaye kuiangusha CCM madarakani kama jukumu la msingi la chama cha upinzani. Lakini tukaenda mbele zaidi tukasema muungano wowote wa upinzani ni vizuri ukajengwa katika misingi ya kiitikadi na kisera ili uweze kuwa endelevu.

ii) Chama chetu kiliandika barua kwenda kwa viongozi wa UKAWA kuomba mwongozo, utaratibu na misingi ya UKAWA ili tuweze kutumia katika vikao vya maamuzi kujadili haja ya kujiunga na UKAWA au la. Hiyo barua haijawahi kujibiwa hadi leo. Hata hivyo, tumesikia kauli kadhaa za viongozi wa UKAWA wakikinanga chama chetu, ikiwemo ya Ndugu Mnyika kututangaza hadharani kwamba sisi ACT ndiyo adui namba moja wa chama chao!

iii) Wakati majadiliano yanafanyika kumkaribisha Ndugu Lowassa kujiunga na CDM na hatimaye kuwa mgombea wa urais wa UKAWA, alishauri kwa bidii sana umuhimu wa kujumuishwa kwa ACT-Wazalendo katika umoja huo. Ushauri wake ulikataliwa kwa bidii kubwa na viongozi wa CDM wakiongozwa na ndugu Mbowe. 

Katika mazingira hayo, sisi tuliamua kwenda kivyetu. With hindsight benefi, tunashukuru Mungu kwamba hatukuwa sehemu ya huu mkanganyiko unaoendelea, na kwa kweli binafsi namshukuru sana Ndugu Mbowe kukataa ushauri wa mgombea wao wa urais. Kukataa kwake ushauri wa mgombea wao kwa kweli kumetuponya kama taasisi. Na watanzania wanapaswa kushukuru kwamba sio vyama vyote na hasa ACT vipo ndani ya UKAWA. kwa hali inavyokwenda ni muhimu kuwa na vyama ambavyo vitabaki kuwa a voice of reason. Kuna maisha ya siasa baada ya uchaguzi. Kwa vyovyote vile, na kama sisi hatutashinda, chama chochote kitakachoshindwa kati ya CCM na hivi vya UKAWA, hakuna kitakochokuwa na uwezo wa kuendeleza upinzani makini kwa serikali itakayokuwepo madarakani na hapa ndipo watu wengi watajua umuhimu wa sisi kutokuwa sehemu ya UKAWA. 

Kitila

On 9 September 2015 at 08:23, Samuel Wangwe <swangwe@repoa.or.tz> wrote:

Ukiwasikiliza Slaa anaongea mambo ya msingi na Gwajima anaruka yale aliyosema ka kukimbilia masuala madogo ya kifamilia ambayo hayana mashiko. Amekana kama alivyokana kuhusu kumtukana Pengo. !!!!

Samuel Wangwe

Executive Director

............................................................

REPOA, undertakes and facilitates research, conducts and coordinates training, and promotes dialogue and development of policy for pro-poor growth and poverty reduction.

Please consider the environment before printing this email.

From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com]
Sent: Wednesday, September 09, 2015 2:02 AM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] DR SLAA KAJICHAFUA

Kwa lugha ya vijana wa mjini, naweza kusema kwamba Dr Slaa ameingia choo cha wakwe...atajutia uamuzi wake wa kukubali kununuliwa. Askofu Gwajima amemkaanga vizuri sana; na bado Kubenea yupo nyuma anakuja kummaliza kabisa. Haya ndiyo matatizo ya kuendeshwa kama gari na mwanamke.

On Wednesday, September 9, 2015 12:54 AM, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:

Nashukuru Mama,

Japo sikutaka umwongelee yeye personaly, nilitaka uhusiano wa kazi yake (as he then was) na maendeleo ya nchi kwa muda huo. Hii ingetupa picha halisi ya huyu mtu kwa mtizamo wako.

Ubarikiwe....

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
This message has been scanned for viruses and
dangerous content by MailScanner, and is
believed to be clean.

0 comments:

Post a Comment