Thursday, 3 September 2015

Re: [wanabidii] DR SLAA KAJICHAFUA

Asante Mwalimu Prof Kitila kwa kusoma hoja yandu kuhusu Dr Slaa kujichafua.

Kwenye hoja yako kwamba ACT Mzalendo kina sera nzuri, kwa maoni yangu ACT Wazalendo kama haina agenda ya kuandika Katiba Mpya inayotokana na maoni ya wananchi, hata iwe na sera nzuri kiasi gani--umaskini unaowakabili Watanzania wengi utaendelea nchini maana kutakuwa hakuna msingi wa kubomoa mifumo inayowezesha watawala wachache kuwa matajiri wa kupindukia kwa fedha za umma wakati wananchi wengi wakibaki mafukara. Naiunga mkono UKAWA kwa sababu ilani yao imeeleza kwamba wakichaguliwa wataandika Katiba Mpya inayotokana na maoni ya wananchi-- Katiba Mpya itatenganisha mihimili mitatu --serikali, bunge na mahakama visiingiliane kama ilivyo sasa kunakofifisha uwajibikaji na kuzaa ufisadi, rushwa na kutajirisha watawala. Kadhalika ilani ya UKAWA wamesema watatoa elimu bure hadi chuo kikuu (hapa utakuwa ni ukombozi wa kweli wa wanyonge hasa wasichana wa familia maskini) na wakulima wakikopwa fedha za mazao yao watalipwa na riba.
Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Thu, 9/3/15, Kitila Mkumbo <kitilam00@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] DR SLAA KAJICHAFUA
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, September 3, 2015, 3:53 PM

Mama Nkya
na wengine,
Kwa maoni yangu
hakuna kipya alichoongea Dr Slaa kuhusu Lowassa. Dr Slaa
huyuhuyu amemnanga Lowassa kwa maneno yale yale aliyoyatumia
pale Serena kwa miaka yote na wewe ni moja ya watu
waliomsifu kwa 'ujasiri' wake. Baadhi yetu ambao
tuliandika kuonyesha shaka kuhusu tuhuma za Lowassa
tulitukanwa na kuambiwa tumenunuliwa na Lowassa. Alichofanya
Dr Slaa ni kuwa consistent vile amekuwa siku zote. Kwa
maneno mengine amekataa kula matapishi yake kama ambavyo
wenzake wameyala kwa furaha! Au niseme amekataa kuwa MNAFIKI
na kuwa KIGEUGEU kama wenzake. Kwa hivyo, kwa maoni yangu,
Dk Slaa KAJISAFISHA na kamrudisha Lowassa kulekule
walipomuweka miaka na miaka!! 
Tatizo ambalo linaikumba CHADEMA ni
kutokana na ukweli kwamba viongozi wake, akiwemo Dr Slaa,
walijijengea uhalali na umaarufu kwa sababu ya kutuhumu na
kufitinisha wapinzani wao na viongozi wenzao ndani ya chama
ambao hawakuwapenda. Tulipoandika mkakati wetu wa ushindi
katika uchaguzi ndani ya chama wa mwaka 2013 tuliligusia
hili, tukasema kuna haja ya kuwa na uongozi utakaojikita
katika kuhubiri misingi na sera za chama ili tujenge taswira
ya serikali mbadala. Bahati mbaya tukaambiwa ni wahaini kwa
sababu ya kutaka kushiriki kugombea uongozi ndani ya chama
na nyie mkashangilia kwa bidii.
Sasa kama wanavyosema wazungu what
goes around comes around au kama tunavyosema waswahili mwiba
huingilia ulipotokea na kwamba ukweli hupanda polepole
lakini hatimaye fufika. Dr Slaa ametusaidia  kuanika
ulaghai wake na viongozi wenzake ndani ya CHADEMA.
Ametuambia kwamba viongozi hawa wamekuwa wakiwadanganya
watanzania na kuchafua watu kwa miaka mingi ili kujijengea
uhalali na umaarufu kisiasa. Hii hatusemi kwamba Lowassa na
CHADEMA/UKAWA hawawezi tena kuchaguliwa. Lakini tunajua
kwamba kuna uwezekano wa kweli wa kuchagua ufisadi (CCM) au
kuchagua ufisadi + Ulaghai (CHADEMA/UKAWA) au msingi/sera
(ACT). Uamuzi ni wa wapiga kura.  Kama mabadiliko ni
kung'oa CCM basi Lowassa na UKAWA wanaweza wakawa ni
mawakala wazuri sana wa mabadliko. Lakini kama mabadiliko ni
pamoja na kung'oa mizizi ya ufisadi, ulaghai, uwongo na
ubabaishaji, ni wazi kuwa Lowassa/CHADEMA/UKAWA ni mawakala
wakubwa wa mambo haya. Lakini bado uamuzi na uchaguzi ni wa
wapiga kura wenyewe. 
Kila la heri!
Kitila





2015-09-03 17:03 GMT+03:00
'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
 Ndugu
De kleinson Kim. Nashukuru kwa maswali yako. Tafadhali soma
makala yangu niliyoandika Lowassa karafa CCM kuzuia
mabadiliko. Ina majibu ya maswali yako. Baada ya kusoma kama
una swali lingine tafadhali usisite kuniuliza.



Ananilea Nkya

 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com



--------------------------------------------

On Thu, 9/3/15, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
wrote:



 Subject: RE: [wanabidii] DR SLAA KAJICHAFUA

 To: wanabidii@googlegroups.com

 Date: Thursday, September 3, 2015, 8:13 AM



 Mama

 Nkya,

 Nisaidie, kama wewe ndio ungekuwa Dr Slaa, na

 leo unapanda majukwaani kumnadi Edo. ukakutana na swali

 hili;



 "juzi tu ulimtukana siku chache kabla hajahamia
kwako,

 leo unamtetea na kusema anafaa? hebu tuelezee

 tukuelewe"

 Nipe jibu utakalompa



 1, Mtu ambaye hana elimu wala uelewa wowote ila alikuwa

 anakusikiliza wewe tu.



 2. Mtu mwenye uelewa mzuri na elimu yake ambaye anataka

 reasoning, facts e.t.c.

 Natanguliza shukrani.







 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  



 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma



  



 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment