Thursday, 10 September 2015

Re: [wanabidii] DR SLAA KAJICHAFUA

Reuben,
Wewe na wengine mnaodhani kwamba ni watu waliojiunga na vyama vya siasa peke yao ndio wenye haki ya kujadili na kuonyesha misimamo yao kuhusu uongozi mbovu wa nchi yetu ulivyochangia kuzalisha mamilioni ya wananchi maskini (nguvu ya umma) ambao sasa wanataka mabadiliko na wamejiandaa kufanya mabadiliko hayo tarehe 25 Oktoba mwaka huu 2015, mnapaswa kubadilika. Mnapaswa kutambua kuwa siyo watu waliojiunga kwenye vyama vya siasa ndio Mungu aliowapa akili, upeo na ujasiri wa kutetea maslahi ya walio wengi.

Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Thu, 9/10/15, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] DR SLAA KAJICHAFUA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, September 10, 2015, 5:49 AM

Dada
Nkya;Hayo
maneno mingi mingi inatoka wapi?Mi
sikutishi, ninachokuambia ni kwamba utakuwa na maelezo mengi
ya kushawishi nikuamini kwamba ni yuleyule Nkya
niliyemfahamu siku zote,sio kwamba nakutisha umeelewa
tofauti.Sorry for
that kama nilikuwa nimeandika kwa kumaanisha
ulichoelewa. Reuben

On Wednesday,
September 9, 2015 10:53 PM, Jovias Mwesiga
<ngonzy@gmail.com> wrote:

WATANZANIA wengi hata
humu hawana uanachama wa kadi toka chama chochote ,nilizani
hiyo ni sifa tosha kusema hawafungamani na chama
chochote.
KUSHABIKIA chama fulani ooh yeah mtu anaweza
kukunwa na mambo ya chama fulani na pengine mtu wa chama
fulani na ndo hivyo msimlazimishe bi mkubwa kisa hoja zake
haziendani na matakwa yenu.
On Sep 9, 2015 2:40 PM,
"'ananilea nkya' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Reuben,

This is the same Ananilea Nkya you think to   know but you
do not know her very well.  This is  Ananilea  Nkya , 
one of few  Tanzanians with courage to  talk and produce
literature   about  political  issues  which  elite
and their cronies  are not ready to  pay attention to--the
literature   which  shows  why  political elite and
their cronies are stinking rich while  majority citizens 
are languishing in  poverty.    You like it or not-- you
will continue to see my posts in this forum.   By the way
for me writing is my hobby and profession.  It costs me
nothing.   I feel so happy to share my knowledge because I
am not a selfish person. So you better keep quiet or stop
reading my posts rather than blaming me why I am writing
because you are not forced to read my writings.  By the way
Tanzania does not belong to you alone; it belongs to all
Tanzanians including me.  Hence, as a citizen of our
beautiful country,  I have the right and obligation to

 contribute as much as I can to the political debates
during this year's election whether I belong to a
political party or not.

Therefore,  if  you think  you can stop me writing in
here—you are just cheating yourself  because I am very
focused.

Muhimu  watishe wanaotishika  kwa kuwapakazia  kuwa wana
wagombea  wanawashabikia  au vyovyote vile  lakini kwa
Ananilea Nkya—umekwaa jiwe gumu— maana siyumbishwi 
na  SIDANGANYIKI.

Ananilea Nkya

 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------

On Wed, 9/9/15, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] DR SLAA KAJICHAFUA

 To: wanabidii@googlegroups.com

 Date: Wednesday, September 9, 2015, 7:24 PM

 Madam Nkya;

 I told you recently that,this kengeuko will

 cost you a lot of literature to free you out of the
position

 you are now keeping yourself.

 It's not

 easy to prove beyond us that,you are the same

 Ananilea!!??

 Sent from my

 Huawei Mobile

 fadhil fadhil

 <fadhil.fadhil96@gmail.com>
wrote:

 Kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiii mama nkya

 unqnifurahisha sana unanikumbusha hadithi ya mbuni ya

 kufunikia kichwa kwenye mchanga na kuuacha mwili wote
wote

 huru.

 Kitendo cha kuhuburi mabadiliko na huku unaogopa kuweka

 hisia zako wazi ingawa tunakufahamu tangu ukiwa Tamwa

 unatuonyesha kuwa huna uhakika na mgombea wako kushinda

 uchaguzi ndio maana unataradadi. Pole sana lkn ukweli

 humuweka  mtu huru.

 On Sep 9, 2015 6:43 PM,

 "'ananilea nkya' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>

 wrote:

 Asante 

 Mahfudh kwa kusoma hoja zangu.

 Ninarudia kusema sina chama cha siasa ninachofungamana
nacho

 na hakuna mtu yeyote mwenye haki ya kunilazimisha
kujiunga

 na chama cha siasa.

 Sihitaji kuwa mwanachama wa chama cha siasa ndipo
niweze

 kutimiza wajibu wangu wa kutetea  maslahi ya  mamilioni
ya

 Watanzania wakiwepo wana CCM  wanaoteseka kwa umaskini
huku

 watu wachache  wanaonufaika na mfumo wa utawala

 uliotengenezwa na serikali ya CCM wakiwa matajiri wa
kutupa

 kwa kujigawia fedha na rasilimali za nchi yetu.

 Raia  makini wa Tanzania si lazima awe mwanachama wa 

 chama  siasa ndipo aweze  kuitumikia nchi yake kwa 

 kufanya uchambuzi wa masuala ya maendeleo yanayogusa

 mamilioni ya wananchi w ataifa lake.

 Mtanzania ambaye haijamuingia akilini kwamba mamilioni
ya

 Watanzania wamechoka na umaskini na hivyo wanataka

 mabadiliko ya uongozi wa nchi yao, huyo atakuwa

 anajidanganya na asubiri tarehe 25 Oktoba mwaka huu
2025,

 kama  uchaguzi utakuwa huru na wa haki watasikia sauti
ya

 mamilioni ya watu maskini inasema nini.

 Zaidi baadhi ya mamilioni ya Watanzania  wanaotaka

 mabadiliko wengi wao hawana vyama vya siasa
wanavyofungamana

 navyo maana hata  fedha za kununua kadi ya chama cha
siasa

 hawana na  hata hao baadhi waliobahatika kuwa wanachama
wa

 vyama vya siasa wamebaki kuwa mafukara wa kutupa pia
maana

 wanaonufaika na nchi ni watawala wachache.

 Ananilea Nkya

  E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

 --------------------------------------------

 On Wed, 9/9/15, Mahfudh Mbeshezi <mnassor@live.com>

 wrote:

  Subject: Re: [wanabidii] DR SLAA KAJICHAFUA

  To: "wanabidii@googlegroups.com"

 <wanabidii@googlegroups.com>

  Date: Wednesday, September 9, 2015, 2:44 PM

  Dada Ananilea, punguza

  hasira kidogo, swala la kusema huna chama ni la kutia

 shaka.

  Sababu ni human nature kukiwa na pande mbili basi
roho

 yako

  itapenda upande mmoja, nasi dhambi kufanya hivyo. Na

 jinsi

  unavyojibu hoja unaonyesha kabisa upande ulipo, hii
si

  vibaya hata kidogo.

  Vilevile kusema

  mabadiliko hayaepukiki uhakika huu wewe unautoa wapi?

 Au

  mwenzetu kuna research umefanya yenye uhakika wa

 mabadiliko?

  Au ndo by the ballot or the bullet changes must come?

 (Mungu

  pishia mbali haya) Punguza jazba dada

  > On Sep 9, 2015, at 12:36

  PM, 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>

  wrote:

  >

  > Fadhili

  ninarudia kukueleza kuwa sina chama cha siasa

  ninachofungamana nacho. Niko upande wa mamilioni ya

  Watanzania wanaoteseka kwa umaskini ili hali watawala

  wachache wa wakiwa matajiri wa kukufuru.  Watanzania

 hao

  maskini hata kama baadhi yao ni wanachama wa CCM
lakini

 siyo

  sehemu ya watawala wa CCM  wanaonufaika na fedha na

  rasilimali za nchi yetu.  Kama huelewi huo uchambuzi

 basi

  ishia hapo endelea kung'ang'ania msimamo wako

 mimi

  nasonga mbele kuhamasisha mabadiliko ya kubadilisha

 uongozi

  wa nchi ili mfumo uliojengwa na CCM kutajirisha

 watawala

  wachache  na kuwaacha mamilioni ya wananchi wakiwa

 mafukara

  ukomeshwe kwa kura ya wananchi kuikataa CCM hapo
tarehe

 25

  Oktoba mwaka huu 2015. Mabadiliko hayaepukiki.
Subiri.

  >

  > Ananilea Nkya

  >  E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

  >

  >

  --------------------------------------------

  > On Wed, 9/9/15, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>

  wrote:

  >

  > Subject:

  Re: [wanabidii] DR SLAA KAJICHAFUA

  > To:

  wanabidii@googlegroups.com

  > Date: Wednesday, September 9, 2015, 4:34

  AM

  >

  > Mama nkya hata

  kama

  > hauna chama lkn maandiko yako

  yanakuweka wazi umesimamia

  > wapi.

  Usiogope kusema wewe ni chadema au ukawa kama

  > maandishi yako yanavyoonyesha utakuwa

  unajiumiza bure na

  > kujinyima uhuru

  wakati ukweli humuweka mtu huru. Hakuna

  >

  atakayekulaum kwa kua upo chama fulani isipokuwa hapa

  > tunashindana kwa kujenga hoja n si

  vinginevyo.

  > On Sep 8, 2015 4:24 PM,

  > "'ananilea nkya' via

  Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>

  > wrote:

  > Mwalimu

  > wangu Prof Kitila.

  >

  > Nimesoma hoja yako. Hata hivyo

  nikusahihishe kwamba sina

  > chama

  chochote cha siasa  ninachofungamana nacho. Kama

  > umekuwa ukifuatilia vemakwenye hoja zangu

  zimekuwa zikilenda

  > kutetea maslahi ya 

  mamilioni ya Watanzania ambao siasa

  >

  zetu zimekuwa zikiwafanya maskikini ili hali watawala

  > wachache wakitajirika kupindukia.

  >

  >

  >

  > Nimetoa hoja

  kwamba  hali hii inasababishwa na mfumo wa

  > vyama vingi nchini kutofanya kazi kwa

  sababu vyama vya

  > upinzani vilipaswa

  kuunganisha nguvu ili kuleta siasa zenye

  > ushindani  mkubwa.

  >

  >

  >

  > Ndipo nikauliza swali ni kwa nini

  ACT-Wazalendo hawakujiunga

  > na UKAWA 

  ili vyama vya upinzani viwe na nguvu kubwa zaidi?

  > Wewe umenijibu kwa kebehi kwamba nikaulize

  UKAWA. Sijui ni

  > kwa nini unataka

  nikaulize UKAWA  swali ambalo linapaswa

  > kujibiwa na ACT-Wazalendo. Mwalimu ni

  kwa  nini unataka

  > swali linalohusu

  chama chako lijibiwe na UKAWA?

  >

  >

  >

  >

  >

  > Ananilea Nkya

  >

  >  E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

  >

  >

  >

  >

  --------------------------------------------

  >

  > On Tue, 9/8/15,

  Kitila Mkumbo <kitilam00@gmail.com>

  > wrote:

  >

  >

  >

  >  Subject: Re: [wanabidii] DR SLAA

  KAJICHAFUA

  >

  >  To:

  "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>

  >

  >  Date: Tuesday,

  September 8, 2015, 9:05 AM

  >

  >

  >

  >  Dada

  >

  >  Ananelia,

  >

  >  Waingereza

  >

  >  wanasema 'seek truth from

  facts'.  Ni muhimu

  > sana.

  >

  >  Mambo mengi

  unayoandika yamejaa hisia zisizoshabiana hata

  > na

  >

  >  chembe ya ukweli. Ni vizuri ukatafuta

  ukweli wote kuhusu

  > ACT

  >

  >  na hata mazungumzo

  yaliyofanyika kuhusu uwezekano wa

  >

  chama

  >

  >  hiki kuwa

  sehemu ya UKAWA na kitu gani hasa

  >

  >  kilikwamisha-sababu za msingi na zisizo

  za msingi. Ongea

  > na

  >

  >  makamanda wenzako

  ndani ya UKAWA/CDM watakwambia ukweli.

  >

  Ni

  >

  >  muhimu sana.

  >

  >  Angalizo: kwa

  mnaojiunga na vyama

  >

  >  vya siasa vya upinzani ukubwani, kuwa

  mwanachama wa

  > chama

  >

  >  cha siasa sio

  lazima utetee kila kinachohusu chama

  >

  chako.

  >

  >  Kuna

  mengine unakaa kimya tu. Kwa maneno mengine, kuwa

  >

  >  mwanachama wa

  chama cha siasa hakukufanyi ukapoteza

  >

  uhalali

  >

  >  wako wa

  kufikiria bila kujipendekeza kwa chama. Uanachama

  > wa

  >

  >  chama cha siasa sio kama ulokole ambao

  unakulazimisha

  > kusema

  >

  >  Bwana Asifiwe kwa

  kila jambo lililopo katika Biblia.

  >

  >  Nalisema hili kwa sababu naona wanachama

  wapya katika

  > vyama

  >

  >  vya siasa vya upinzani wanatupa kwa

  kasi misingi ya

  >

  > 

  kusimamia ukweli waliojijengea muda mrefu. Yaani hadi

  >

  >  mnawazidi

  'waliokoka' siku nyingi!

  >

  >  Kitila.

  >

  >  Kitila

  >

  >

  >

  >  2015-09-08 8:23 GMT+03:00

  >

  >  De kleinson kim

  <dekleinson@gmail.com>:

  >

  >  Mama Kiwasila,

  >

  >  Ni kweli tupu,

  ukisema sana wahafidhina

  >

  >  watakujalia hapa wamefunga kanga nusu,

  na matarumbeta

  > ati

  >

  >  kukusuta.

  >

  >  Kumbe maskini ya Mungu hawaelewi muda,

  hawajui

  >

  >  faida

  ya uongozi, hawafikiri taifa la kesho,

  >

  hawafikirii

  >

  > 

  maendeleo ya wengi, wao huamini wao ndio bora! hata

  >

  >  hawaelewi kwa nini

  tunatakiwa kuendelea, hawajui kwa

  >

  nini

  >

  >  sie ni

  maskini?

  >

  >  Na

  kama wanajua hayo, si bure wameweka nafsi

  >

  >  yao mbele,

  UMIMI!!

  >

  > 

  Kinachotusumbua watu weusi ni kile kilichopo

  >

  >  ndani ya elimu.

  tunasoma kweli na kufaulu, lakini kama

  >

  hiyo

  >

  >  elimu

  haikupi akili ya kujiongeza, then still workdone

  > =

  >

  >  0!!! umesoma utawala, sheria, IT, e.t.c

  but still you

  > cant

  >

  >  do logic ques.. we ni msomi wa aina

  gani sasa? labda wa

  >

  >  mitihani!!

  >

  >  Kama tutaendelea hivi, tutaishia kuuliza

  na

  >

  >  kusifiana

  "umekuwa wa ngapi?" "ana GPA

  >

  >  ngapi"

  "Amepewa Honors" n.k. lakini suluhu

  > ya

  >

  >  matatizo ndani ya jamii yetu hakuna!!!

  tunashangilia

  >

  > 

  qualification but not quality of it in return!!!

  >

  >

  >

  >

  >

  >

  >

  >  --

  >

  >

  >

  >  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  >

  >

  >

  >   

  >

  >

  >

  >  Kujiondoa Tuma

  Email kwenda

  >

  >

  >

  >  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

  >

  >   Utapata

  Email ya kudhibitisha ukishatuma

  >

  >

  >

  >   

  >

  >

  >

  >  Disclaimer:

  >

  >

  >

  >  Everyone posting to this Forum bears the

  sole

  > responsibility

  >

  >  for any legal

  consequences of his or her postings, and

  > hence

  >

  >  statements and facts must be presented

  responsibly.

  > Your

  >

  >  continued membership signifies that

  you agree to this

  >

  >  disclaimer and pledge to abide by our

  Rules and

  >

  > 

  Guidelines.

  >

  >

  >

  >  ---

  >

  >

  >

  >  You received this

  message because you are subscribed to

  >

  the

  >

  >  Google

  Groups "Wanabidii" group.

  >

  >

  >

  >  To unsubscribe from this group and stop

  receiving

  > emails

  >

  >  from it, send an email to

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  >

  >

  >

  >  For more options,

  visit https://groups.google.com/d/optout.

  >

  >

  >

  >

  >

  >

  >

  >

  >

  >

  >

  >

  >

  >  --

  >

  >

  >

  >  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  >

  >

  >

  >   

  >

  >

  >

  >  Kujiondoa Tuma

  Email kwenda

  >

  >

  >

  >  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

  > Utapata Email ya

  >

  >  kudhibitisha ukishatuma

  >

  >

  >

  >   

  >

  >

  >

  >  Disclaimer:

  >

  >

  >

  >  Everyone posting

  to this Forum bears the sole

  >

  responsibility

  >

  > 

  for any legal consequences of his or her postings,
and

  > hence

  >

  >  statements and facts must be presented

  responsibly.

  > Your

  >

  >  continued membership signifies that

  you agree to this

  >

  >  disclaimer and pledge to abide by our

  Rules and

  >

  > 

  Guidelines.

  >

  >

  >

  >  ---

  >

  >

  >

  >  You received this

  message because you are subscribed to

  >

  the

  >

  >  Google

  Groups "Wanabidii" group.

  >

  >

  >

  >  To unsubscribe from this group and stop

  receiving

  > emails

  >

  >  from it, send an email to

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  >

  >

  >

  >  For more options,

  visit https://groups.google.com/d/optout.

  >

  >

  >

  >

  >

  > --

  >

  > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  >

  >

  >

  > Kujiondoa Tuma Email

  kwenda

  >

  >

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

  > Utapata Email ya kudhibitisha

  ukishatuma

  >

  >

  >

  > Disclaimer:

  >

  > Everyone posting to

  this Forum bears the sole responsibility

  > for any legal consequences of his or her

  postings, and hence

  > statements and

  facts must be presented responsibly. Your

  > continued membership signifies that you

  agree to this

  > disclaimer and pledge to

  abide by our Rules and

  > Guidelines.

  >

  > ---

  >

  > You received this

  message because you are subscribed to the

  > Google Groups "Wanabidii"

  group.

  >

  > To

  unsubscribe from this group and stop receiving emails

  > from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  >

  > For more options,

  visit https://groups.google.com/d/optout.

  >

  >

  >

  >

  >

  > --

  >

  > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  >

  > 

  >

  > Kujiondoa Tuma Email

  kwenda

  >

  >

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

  Utapata Email ya

  > kudhibitisha

  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

  >

  > Disclaimer:

  > Everyone posting to this Forum bears the

  sole responsibility for any legal consequences of his
or

 her

  postings, and hence statements and facts must be

 presented

  responsibly. Your continued membership signifies that

 you

  agree to this disclaimer and pledge to abide by our

 Rules

  and Guidelines.

  > ---

  > You received this message because you are

  subscribed to the Google Groups "Wanabidii"

  group.

  > To unsubscribe from this group

  and stop receiving emails from it, send an email to

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  > For more options, visit

  https://groups.google.com/d/optout.

  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

  Disclaimer:

  Everyone posting to

  this Forum bears the sole responsibility for any
legal

  consequences of his or her postings, and hence

 statements

  and facts must be presented responsibly. Your
continued

  membership signifies that you agree to this
disclaimer

 and

  pledge to abide by our Rules and Guidelines.

  ---

  You received this message

  because you are subscribed to the Google Groups

  "Wanabidii" group.

  To unsubscribe

  from this group and stop receiving emails from it,
send

 an

  email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  For more options, visit

  https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment