Thursday, 10 September 2015

Re: [wanabidii] 2015: NI KURA YA MAAMUZI MAGUMU

Kamala swala la ugonjwa so hoja ya kujadili hapa. Naona umeishiwa michango kwa wanabidiii. Jaribu kutumia maneno yenye hekima, hasa pale unapoandika Mazda kwa watu waliokuzidi uelewa ili uthaminike. Tukiongelea kuhusu ugonjwa wa kiongozi unapotoka. Ningekuomba basis, kama una uwezo. Tuthibitishie afya za viongozi wote wa awamu zote kuhusu afya zao. Usiingie uvunguni, utafumua mengi na ya aibu kubwa. Unaweza kufa wewe unayejifanya mzima kwa wasiokuelewa ukamwa cha mgonjwa unaye mdhania. Hatuhitaji rubani au mwanajeshi hapa. Viongozi wangekua wanapimwa afya ukiwamo na wewe mwenyewe, hata ujumbe wa nyumba kumi na huo ukanjanja wako wasinge/usinge upataga. Watu wana fahamu siri nyingi za afya za watu. Lakini hakuna ruhusa kuzitangaza, ukizingatia ni kosa kisheria. Kwa wanaojua she ria hii ya usiri binafsi hawawezi kuandika utumbo kama uliouandika. Kwani wanna ueledi na wanajua hatua kali zilizopo.

AM

'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>Kamala,
>Mgonjwa zaidi ni pengine ni wewe kuliko unayempakazia maana hata kama ungelikuwa Daktari wake ni kinyume na maadili ya udaktari kutoa siri za mteja wako.
>
>Kama wewe si Daktari wake pengine wote wawili huwa mnakutana kwa daktari mmoja ambaye hana maadili ya kazi yake na anakudanganya kuwa wewe hali yako ya ugonjwa ni afadhali kuliko ya huyo unayempakazia.
>
>Tueleze hapa jukwaani ni kwa Daktari gani huwa mnakutana?
>
>Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
>
>--------------------------------------------
>On Thu, 9/10/15, J L Kamala <jlkamala@gmail.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] 2015: NI KURA YA MAAMUZI MAGUMU
> To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Thursday, September 10, 2015, 7:31 PM
>
> Nkya na
> katiba. nani alete katiba ya wananchi, mgombea huyu mgonjwa
> au??? fuatilia maoni yake akiwa CCM juu ya katiba mpya
> kwanza uje kusema hapa
> 2015-09-10 21:17 GMT+03:00
> 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
>
>
> Reuben,
>
> This is how I have decided to contribute to my beautiful
> country for the time being as an ordinary citizen.  Are you
> incurring any cost in the process of producing my
> writings?  Are you forced to read what I write?  Do I use
> abusive language? If no, why are you bothered then?
>
>
>
> Ananilea Nkya
>
>  E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
>
>
>
> --------------------------------------------
>
> On Thu, 9/10/15,
> 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>
>
>  Subject: Re: [wanabidii] 2015: NI KURA YA MAAMUZI
> MAGUMU
>
>  To: wanabidii@googlegroups.com
>
>  Date: Thursday, September 10, 2015, 7:00 PM
>
>
>
>  Nkya;
>
>  You
>
>  are writing too much nowdays,that is the hangover of
> your
>
>  'kengeuko'.
>
>  You need to present a
>
>  lot of literature to justify yourself.
>
>  Itakutafuna sana
>
>
>
>  Sent from my Huawei Mobile
>
>
>
>  'leonard magwayega' via Wanabidii
>
>  <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>
>
>  Ananilea Nkya dear mama
>
>  mwanaharakati wa enzi hizo naona umeshapoteza mwelekeo.
> Pole
>
>  mama.Leonard Elias Magwayega (Adv).
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>      On Thursday,
>
>  September 10, 2015 6:40 PM, 'ananilea nkya' via
>
>  Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>
>
>
>
>
>
>  Ndugu Kim,
>
>
>
>  Neno mabadiliko  katika muktadha wa uchaguzi 
>
>  Tanzania mwaka  huu 2015 linatumika kumaanisha
> wananchi
>
>  kuchagua  serikali mpya  tofauti na serikali ya CCM
>
>  iliyoko madarakani ambayo ilikataa kuandika Katiba Mpya
>
>  inayotokana na maoni ya wananchi.
>
>   
>
>  Katiba Mpya itaweka misingi ya kuzuia serikali
>
>  kuwa chanzo  ufisadi wa  fedha za umma, watawala
>
>  kujitajirisha na kuwatajirisha  wawekezaji kutoka nje 
> kwa
>
>  kutumia rasilimali za nchi yetu  huku mamilioni ya
> wananchi
>
>  wakibaki masikini wa kutupa.
>
>
>
>  Mfano ufisadi wa   mwaka jana 2014 wa Tegeta
>
>  escrow bilioni 306, ufisadi wa  Richmond bilioni 172
>
>  mwaka  2008 na ufisadi wa EPA bilioni 133 mwaka 2005
> na
>
>  hakuna aliyefikishwa mahakamani.
>
>
>
>  Mabadiliko ya  kupata serikali  inayoongoza
>
>  na  vyama vingine tofauti na CCM  ikiandika Katiba
> Mpya
>
>  inayotokana na maoni ya wananchi ---Katiba hiyo 
> itaweka
>
>  misingi  ambayo pamoja na mambomengine madaraka ya
> Rais
>
>  yatapunguzwa—kuzuia Rais kuwa Mungu mtu.
>
>
>
>  Kadhalika madadiliko 
>
>  yataweka mihimili  isiyoingiliana  ya
>
>  utawala—serikali—bunge na mahakama HIvyo 
> serikali 
>
>  ikifanya ufisadi kama ule wa Tegeta escrow na EPA 
> watawala
>
>  hawatakwepa mkono wa sheria  kama walivyokwepa.
>
>
>
>  Kadhalika mabadiliko 
>
>  yatazuia   watawala wachache  wakijitajirisha kwa
> kutumia
>
>  fedha za wananchi  kujilipa mishahara mikubwa, mafao
> na
>
>  marupurupu wakati  watumishi wengine wa umma
> madaktari,
>
>  wauguzi, walimu, polisi na wananchi wengi wakibaki
>
>  maskikini.
>
>
>
>  Pia Katiba
>
>  Mpya  itaweka misingi mizuri  ya kuwepo usawa wa
> kijinsia
>
>  katika uongozi hasa 50 kwa 50 wabunge wanawake na
> wanaume 
>
>  majimboni badala ya hili changa la macho ambalo baadhi
> ya
>
>  vyama vinajidai eti kwa kuweka wagombea wanawake ni usawa
> wa
>
>  jinsia.
>
>   
>
>  Je inawezekana
>
>  kuwa�

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment