Thursday, 10 September 2015

Re: [wanabidii] 2015: NI KURA YA MAAMUZI MAGUMU

Mmhhhh, kaka Mkumbo hapa umeingia kiutulivu sana. Navutika kutafuta kadi ya ACT-Wazalendo, lakini??????

2015-09-11 8:15 GMT+03:00 Kitila Mkumbo <kitilam00@gmail.com>:
Mama Nkya, upo sahihi kabisa katika andishi lako kuhusu umuhimu wa kuiweka pembeni CCM. Kuendelea kudhani kwamba tunaweza kupata mabadiliko ya maana kupitia CCM ni kujilaghai tu. Lakini sasa hao unaotuambia tuwape jukumu la kuongoza mabadiliko wameonyesha kwamba wamebobea zaidi katika ulaghai kuliko hata hao waliodumu miaka 50. Tena hawa wanaonekana ni hatari hata kwa ujenzi wa demokrasia baada ya kuonekana kwamba wanaabudu mno tabia za kikomunisti.Kuhusu ilani, sina uhakika kama umesoma ilani yao sawasawa. Hili linahitaji mjadala mwingine lakini niseme tu kwamba ilani ya CHADEMA na UKAWA nadhani ndiyo dhaifu kuliko zote. Hili tunaweza kujadili huko mbele kama tutaona umuhimu. 

Katika mukatadha huo ndio maana sisi tukaje na chama mbadala. Kinaitwa ACT-Wazalendo kikiwa na lengo la kuirudisha nchi katika misingi. Sasa ushauri wangu kwako ungana nasi tupambane na hizi CCM mbili za Magufuli na Lowassa. Tena jahazi letu linaongozwa na mwana mama mwanaharakati mwenzako wa miaka mingi. 

Kitila

2015-09-11 7:45 GMT+03:00 De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>:

Lesian,
Sina upande, sijawahi kuitetea CCM humu ndani, nimewahi kutetea ma kuhubiri UKAWA ila sio hii ya leo!! Msimamo wangu wa kutetea UKAWA ulipobadilika, bado haukunifanya niitetee CCM, nimebaki neutral! Tafadhali sana, simchukii EDO na naomba tusilaumiane katika kushindwa kwenu.

Kama unaona tunaandika yasiyofaa, basi andika yanayofaa!! ndio kazi yako hiyo!!!!

Usitunyime uhuru wa kujieleza, pingana na yale tutakayoyasema.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment