Kanala, Kapime kwanza ugonjwa mmoja tu, walau, puna Virusi vya UKIMWI, kisha mtuletee hapa jukwaani majibu yako, ndipo tuendelee kujadili ugonjwa wa wengine.Mie nakuona wewe ni mpumbavu tu. Hapa tunataka hoja za kutujenga. Ugpnjwa wa mtu wewe una kuhusu nini.Basi na wewe ni mgonjwa, usichangie kitu hapa.
On Sep 10, 2015 9:31 PM, J L Kamala <jlkamala@gmail.com> wrote:
Nkya na katiba. nani alete katiba ya wananchi, mgombea huyu mgonjwa au??? fuatilia maoni yake akiwa CCM juu ya katiba mpya kwanza uje kusema hapa2015-09-10 21:17 GMT+03:00 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Reuben,
This is how I have decided to contribute to my beautiful country for the time being as an ordinary citizen. Are you incurring any cost in the process of producing my writings? Are you forced to read what I write? Do I use abusive language? If no, why are you bothered then?
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Thu, 9/10/15, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] 2015: NI KURA YA MAAMUZI MAGUMU
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, September 10, 2015, 7:00 PM
Nkya;
You
are writing too much nowdays,that is the hangover of your
'kengeuko'.
You need to present a
lot of literature to justify yourself.
Itakutafuna sana
Sent from my Huawei Mobile
'leonard magwayega' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Ananilea Nkya dear mama
mwanaharakati wa enzi hizo naona umeshapoteza mwelekeo. Pole
mama.Leonard Elias Magwayega (Adv).
--
On Thursday,
September 10, 2015 6:40 PM, 'ananilea nkya' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Ndugu Kim,
Neno mabadiliko katika muktadha wa uchaguzi
Tanzania mwaka huu 2015 linatumika kumaanisha wananchi
kuchagua serikali mpya tofauti na serikali ya CCM
iliyoko madarakani ambayo ilikataa kuandika Katiba Mpya
inayotokana na maoni ya wananchi.
Katiba Mpya itaweka misingi ya kuzuia serikali
kuwa chanzo ufisadi wa fedha za umma, watawala
kujitajirisha na kuwatajirisha wawekezaji kutoka nje kwa
kutumia rasilimali za nchi yetu huku mamilioni ya wananchi
wakibaki masikini wa kutupa.
Mfano ufisadi wa mwaka jana 2014 wa Tegeta
escrow bilioni 306, ufisadi wa Richmond bilioni 172
mwaka 2008 na ufisadi wa EPA bilioni 133 mwaka 2005 na
hakuna aliyefikishwa mahakamani.
Mabadiliko ya kupata serikali inayoongoza
na vyama vingine tofauti na CCM ikiandika Katiba Mpya
inayotokana na maoni ya wananchi ---Katiba hiyo itaweka
misingi ambayo pamoja na mambomengine madaraka ya Rais
yatapunguzwa—kuzuia Rais kuwa Mungu mtu.
Kadhalika madadiliko
yataweka mihimili isiyoingiliana ya
utawala—serikali—bunge na mahakama HIvyo serikali
ikifanya ufisadi kama ule wa Tegeta escrow na EPA watawala
hawatakwepa mkono wa sheria kama walivyokwepa.
Kadhalika mabadiliko
yatazuia watawala wachache wakijitajirisha kwa kutumia
fedha za wananchi kujilipa mishahara mikubwa, mafao na
marupurupu wakati watumishi wengine wa umma madaktari,
wauguzi, walimu, polisi na wananchi wengi wakibaki
maskikini.
Pia Katiba
Mpya itaweka misingi mizuri ya kuwepo usawa wa kijinsia
katika uongozi hasa 50 kwa 50 wabunge wanawake na wanaume
majimboni badala ya hili changa la macho ambalo baadhi ya
vyama vinajidai eti kwa kuweka wagombea wanawake ni usawa wa
jinsia.
Je inawezekana
kuwa na usawa wa jinsia endelevu kama haijaandikwa kwenye
Katiba ya nchi? Kama kweli serikali CCM walikuwa wanataka
nchi iwe na usawa wa jinsia katika uongozi ni kwa nini
waliikataa Katiba Mpya inayotokana na maoni ya wananchi
ambayo ilik
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment