Thursday, 10 September 2015

Re: [wanabidii] 2015: NI KURA YA MAAMUZI MAGUMU

Mabadiliko ndio lkn chadema wamepoteza muelekeo kwa kuwaachia mafisadi kuongoza na hayo mabadiliko.

Hivi inakuwa unapoacha chui katika kundi mbuzi

On Sep 10, 2015 7:05 PM, "'ananilea nkya' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Pole zaidi wewe Leonard ambaye bado uko gizani.
Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Thu, 9/10/15, 'leonard magwayega' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] 2015: NI KURA YA MAAMUZI MAGUMU
 To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Thursday, September 10, 2015, 4:46 PM

 Ananilea Nkya dear mama
 mwanaharakati wa enzi hizo naona umeshapoteza mwelekeo. Pole
 mama.Leonard Elias Magwayega (Adv).




     On Thursday,
 September 10, 2015 6:40 PM, 'ananilea nkya' via
 Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:



 Ndugu Kim,

 Neno mabadiliko  katika muktadha wa uchaguzi 
 Tanzania mwaka  huu 2015 linatumika kumaanisha wananchi
 kuchagua  serikali mpya  tofauti na serikali ya CCM
 iliyoko madarakani ambayo ilikataa kuandika Katiba Mpya
 inayotokana na maoni ya wananchi.
  
 Katiba Mpya itaweka misingi ya kuzuia serikali
 kuwa chanzo  ufisadi wa  fedha za umma, watawala
 kujitajirisha na kuwatajirisha  wawekezaji kutoka nje  kwa
 kutumia rasilimali za nchi yetu  huku mamilioni ya wananchi
 wakibaki masikini wa kutupa.

 Mfano ufisadi wa   mwaka jana 2014 wa Tegeta
 escrow bilioni 306, ufisadi wa  Richmond bilioni 172
 mwaka  2008 na ufisadi wa EPA bilioni 133 mwaka 2005 na
 hakuna aliyefikishwa mahakamani.

 Mabadiliko ya  kupata serikali  inayoongoza
 na  vyama vingine tofauti na CCM  ikiandika Katiba Mpya
 inayotokana na maoni ya wananchi ---Katiba hiyo  itaweka
 misingi  ambayo pamoja na mambomengine madaraka ya Rais
 yatapunguzwa—kuzuia Rais kuwa Mungu mtu.

 Kadhalika madadiliko 
 yataweka mihimili  isiyoingiliana  ya
 utawala—serikali—bunge na mahakama HIvyo  serikali 
 ikifanya ufisadi kama ule wa Tegeta escrow na EPA  watawala
 hawatakwepa mkono wa sheria  kama walivyokwepa.

 Kadhalika mabadiliko 
 yatazuia   watawala wachache  wakijitajirisha kwa kutumia
 fedha za wananchi  kujilipa mishahara mikubwa, mafao na
 marupurupu wakati  watumishi wengine wa umma madaktari,
 wauguzi, walimu, polisi na wananchi wengi wakibaki
 maskikini.

 Pia Katiba
 Mpya  itaweka misingi mizuri  ya kuwepo usawa wa kijinsia
 katika uongozi hasa 50 kwa 50 wabunge wanawake na wanaume 
 majimboni badala ya hili changa la macho ambalo baadhi ya
 vyama vinajidai eti kwa kuweka wagombea wanawake ni usawa wa
 jinsia.
  
 Je inawezekana
 kuwa  na usawa wa jinsia endelevu kama haijaandikwa kwenye
 Katiba ya nchi? Kama kweli serikali CCM walikuwa wanataka
 nchi iwe na usawa wa jinsia katika uongozi ni kwa nini
 waliikataa Katiba Mpya inayotokana na maoni ya wananchi
 ambayo ilikuwa imependekeza utaratibu mzuri kabisa wa kupata
 asilimia 50 kwa 50 ya wanawake na wanaume bungeni kutoka
 majimboni?

 Hivyo
 mabadiliko  wanayoyataka wananchi wanaosumbuliwa na
 umaskini hapa nchini   wao wenyewe wananchi  wamejipanga
 kuweka msingi wake hapo hapo tarehe 25 Oktoba 2015 kwa 
 kuiondoa CCM madarakani   na kuweka  serikali ya vyama
 vinavyounda UKAWA (CUF, NCCR Mageuzi, CHADEMA  na NLD)
 ambavyo  vilipigania  Katiba Mpya inayotokana na  maoni
 ya wananchi na vimeahidi  kwamba  wakichaguliwa Katiba
 Mpya  ya wananchi itaandikwa.

 Hivyo yeyote anatumia neno mabadiliko kwenye
 kampeni zake ajuwe  akichaguliwa atatimiza yaliyobebwa
 katika tafsiri hii.  Kinyume chake hayo siyo mabadiliko
 wanayoyataka wananchi.   Mungu ibariki Tanzania.


 Ananilea
 Nkya
  E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

 --------------------------------------------
 On Thu, 9/10/15, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
 wrote:

  Subject: Re:
 [wanabidii] 2015: NI KURA YA MAAMUZI MAGUMU

 To: wanabidii@googlegroups.com
  Date: Thursday, September 10, 2015, 2:45 PM

  Kwanza

 MABADILIKO ni nini?
   Tukisema TUNATAKA
 MABADILIKO, maana yake ni
  nini? ya wapi?
 kwenye nini? yatamgusa nani? yatatuchukua

 muda gani? yatatokea tokeaje?
  Mabadiliko
 yaweza kuwa baya kwenda zuri au zuri
  kwenda
 baya, dogo kuwa kubwa au kubwa kuwa dogo, nyembamba
  kuwa pana au....

  Its all about "different"
 "utofauti wa hiki
  kilichopo".
 nikikosea nisahihishwe. mie sio mtaalam wa

 lugha!!
  Mnazi awaye yeyote iwe wa Chama au
 mtu, aandike
  akituelezea vizuuri na kwa
 ufasaha jinsi watakavyoleta
  MABADILIKO
 nchini. i mean ameshawishikaje kuwa mnazi wa
  flani/chama flani kuamini watafanya MABADILIKO
 ndani ya kila
  mmoja wetu ili tukuamini na
 kukufuata popote ulipo!! Wanazi
  wote hapa
 mkae mkijua nyie ni mawakala wa HAO mnaowasemea!!
  kwa sababu sie hatumjui yule/wale vizur zaidi
 yako, umeamua
  kuwa agent wake/wao ina maana
 unayajua ya kwake/kwao! Latin
  proverb
 "if you host a guest, host his dog"
  Tukibaki kuainisha MAHITAJI YA NCHI na
  MTU/CHAMA chenye SULUHU yake bila kuijadili,
 kuchambua na
  kuitafakari SULUHU yenyewe kwa
 kina, hatuna tofauti na mtu
  anaeajiri bila
 vyeti na interview. Akiulizwa kwa nini? ati

 " ameahidi ataongezea kampuni faida ndani ya miaka
  5" ****!!! Its the question of HOW not
 WHO!!! WHO will
  come later to filter HOW!!

  Watanzania tumelogewa wapi??? tunashindwa
 na
  hesabu ndogo ambazo tunazifanya kwenye
 maisha ya kila
  siku!!!!!????? Mpaka
 inakera.



  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

   

  Kujiondoa Tuma Email kwenda


  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya
  kudhibitisha ukishatuma

   

  Disclaimer:


 Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility
  for any legal consequences
 of his or her postings, and hence

 statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you agree
 to this
  disclaimer and pledge to abide by
 our Rules and
  Guidelines.


  ---


 You received this message because you are subscribed to
 the
  Google Groups "Wanabidii"
 group.

  To unsubscribe
 from this group and stop receiving emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  For more options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.


 --
 Send
 Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:
 Everyone posting to
 this Forum bears the sole responsibility for any legal
 consequences of his or her postings, and hence statements
 and facts must be presented responsibly. Your continued
 membership signifies that you agree to this disclaimer and
 pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 ---
 You received this message
 because you are subscribed to the Google Groups
 "Wanabidii" group.
 To unsubscribe
 from this group and stop receiving emails from it, send an
 email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 For more options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.




 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

  

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment