Pole zaidi wewe Leonard ambaye bado uko gizani.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Thu, 9/10/15, 'leonard magwayega' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] 2015: NI KURA YA MAAMUZI MAGUMU
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, September 10, 2015, 4:46 PM
Ananilea Nkya dear mama
mwanaharakati wa enzi hizo naona umeshapoteza mwelekeo. Pole
mama.Leonard Elias Magwayega (Adv).
On Thursday,
September 10, 2015 6:40 PM, 'ananilea nkya' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Ndugu Kim,
Neno mabadiliko katika muktadha wa uchaguzi
Tanzania mwaka huu 2015 linatumika kumaanisha wananchi
kuchagua serikali mpya tofauti na serikali ya CCM
iliyoko madarakani ambayo ilikataa kuandika Katiba Mpya
inayotokana na maoni ya wananchi.
Katiba Mpya itaweka misingi ya kuzuia serikali
kuwa chanzo ufisadi wa fedha za umma, watawala
kujitajirisha na kuwatajirisha wawekezaji kutoka nje kwa
kutumia rasilimali za nchi yetu huku mamilioni ya wananchi
wakibaki masikini wa kutupa.
Mfano ufisadi wa mwaka jana 2014 wa Tegeta
escrow bilioni 306, ufisadi wa Richmond bilioni 172
mwaka 2008 na ufisadi wa EPA bilioni 133 mwaka 2005 na
hakuna aliyefikishwa mahakamani.
Mabadiliko ya kupata serikali inayoongoza
na vyama vingine tofauti na CCM ikiandika Katiba Mpya
inayotokana na maoni ya wananchi ---Katiba hiyo itaweka
misingi ambayo pamoja na mambomengine madaraka ya Rais
yatapunguzwa—kuzuia Rais kuwa Mungu mtu.
Kadhalika madadiliko
yataweka mihimili isiyoingiliana ya
utawala—serikali—bunge na mahakama HIvyo serikali
ikifanya ufisadi kama ule wa Tegeta escrow na EPA watawala
hawatakwepa mkono wa sheria kama walivyokwepa.
Kadhalika mabadiliko
yatazuia watawala wachache wakijitajirisha kwa kutumia
fedha za wananchi kujilipa mishahara mikubwa, mafao na
marupurupu wakati watumishi wengine wa umma madaktari,
wauguzi, walimu, polisi na wananchi wengi wakibaki
maskikini.
Pia Katiba
Mpya itaweka misingi mizuri ya kuwepo usawa wa kijinsia
katika uongozi hasa 50 kwa 50 wabunge wanawake na wanaume
majimboni badala ya hili changa la macho ambalo baadhi ya
vyama vinajidai eti kwa kuweka wagombea wanawake ni usawa wa
jinsia.
Je inawezekana
kuwa na usawa wa jinsia endelevu kama haijaandikwa kwenye
Katiba ya nchi? Kama kweli serikali CCM walikuwa wanataka
nchi iwe na usawa wa jinsia katika uongozi ni kwa nini
waliikataa Katiba Mpya inayotokana na maoni ya wananchi
ambayo ilikuwa imependekeza utaratibu mzuri kabisa wa kupata
asilimia 50 kwa 50 ya wanawake na wanaume bungeni kutoka
majimboni?
Hivyo
mabadiliko wanayoyataka wananchi wanaosumbuliwa na
umaskini hapa nchini wao wenyewe wananchi wamejipanga
kuweka msingi wake hapo hapo tarehe 25 Oktoba 2015 kwa
kuiondoa CCM madarakani na kuweka serikali ya vyama
vinavyounda UKAWA (CUF, NCCR Mageuzi, CHADEMA na NLD)
ambavyo vilipigania Katiba Mpya inayotokana na maoni
ya wananchi na vimeahidi kwamba wakichaguliwa Katiba
Mpya ya wananchi itaandikwa.
Hivyo yeyote anatumia neno mabadiliko kwenye
kampeni zake ajuwe akichaguliwa atatimiza yaliyobebwa
katika tafsiri hii. Kinyume chake hayo siyo mabadiliko
wanayoyataka wananchi. Mungu ibariki Tanzania.
Ananilea
Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Thu, 9/10/15, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] 2015: NI KURA YA MAAMUZI MAGUMU
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, September 10, 2015, 2:45 PM
Kwanza
MABADILIKO ni nini?
Tukisema TUNATAKA
MABADILIKO, maana yake ni
nini? ya wapi?
kwenye nini? yatamgusa nani? yatatuchukua
muda gani? yatatokea tokeaje?
Mabadiliko
yaweza kuwa baya kwenda zuri au zuri
kwenda
baya, dogo kuwa kubwa au kubwa kuwa dogo, nyembamba
kuwa pana au....
Its all about "different"
"utofauti wa hiki
kilichopo".
nikikosea nisahihishwe. mie sio mtaalam wa
lugha!!
Mnazi awaye yeyote iwe wa Chama au
mtu, aandike
akituelezea vizuuri na kwa
ufasaha jinsi watakavyoleta
MABADILIKO
nchini. i mean ameshawishikaje kuwa mnazi wa
flani/chama flani kuamini watafanya MABADILIKO
ndani ya kila
mmoja wetu ili tukuamini na
kukufuata popote ulipo!! Wanazi
wote hapa
mkae mkijua nyie ni mawakala wa HAO mnaowasemea!!
kwa sababu sie hatumjui yule/wale vizur zaidi
yako, umeamua
kuwa agent wake/wao ina maana
unayajua ya kwake/kwao! Latin
proverb
"if you host a guest, host his dog"
Tukibaki kuainisha MAHITAJI YA NCHI na
MTU/CHAMA chenye SULUHU yake bila kuijadili,
kuchambua na
kuitafakari SULUHU yenyewe kwa
kina, hatuna tofauti na mtu
anaeajiri bila
vyeti na interview. Akiulizwa kwa nini? ati
" ameahidi ataongezea kampuni faida ndani ya miaka
5" ****!!! Its the question of HOW not
WHO!!! WHO will
come later to filter HOW!!
Watanzania tumelogewa wapi??? tunashindwa
na
hesabu ndogo ambazo tunazifanya kwenye
maisha ya kila
siku!!!!!????? Mpaka
inakera.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment