Monday, 13 October 2014

Re: [wanabidii] Jaji Warioba: Tusidanganyane, kutaka Serikali tatu ni kuvunja Muungano

Prof. Kitila,
Tume ilikuwa na wajumbe 30 ukiwaondoa Warioba (Mwenyekiti) na Makamu wake, Jaji Ramadhani. Hawa wengine walikuwa 15 Bara; na 15 Zanzibar, wewe ulitaka mwenyekiti peke yake awaburuze, asimamie kitu anachokitaka yeye peke yake? Utakuwa ni uamuzi wa ajabu ever. Ni dhahiri angefanya hivyo, Tume ingesambaratika saa mbili asubuhi, lakini kwa umahiri wake huo, hata leo Tume nzima, pamoja na kuvunjwa kisheria, bado ipo na inasimamia kitu kimoja.

RSM

On 13 October 2014 11:31, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:
Nimempenda sana Warioba,

Haamini katika kile watu wanachokitaka ila amefikisha mzigo kama
ulivyofungwa!! Hakutaka kufanya kitu chochote ajiridhishe tu yeye kama
yeye. Kwa uaminifu nimeipenda. Hakuwa dikteta wa mawazo japo hata mimi
naamini yupo sawa!!

Natamani serikali moja tuuu. Leta fujo virungu viwe na wewe.

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment