Saturday, 7 December 2013

[wanabidii] Re: TOFAUTI KUBWA KATI YA MANDELA NA NYERERE KWA ULIMWENGU ILIKUWA NINI?

Nimevutiwa na mjadala huu nami nataka niongeze jambo nyerer na mandela wanaonekana wote kua wanamapinduzi lakini inaonekana pia kua mandela amekua maarufu zaidi hata ya nyerere. sababu ninazoziona au tofauti kwao ni hizi zifuatazo;

-nyerere baada yakutafuta uhuru wa tanganyika hakukaa kutulia aliendelea kutafuta uhuru wa africa nzima na ndipo hapo unaweza ukaona hata kambi nyingi za ukombozi zilikua tanganyika na hata waafrika kusin pia wanaufahamu mchango mkubwa wa mwalimu.

-kwa maoni yangu kwanini wanamsifia sana mandela ni kwa sababu tofauti na nyerere baada ya kupata uhuru alitaifisha mali nyingi na vitega uchumi vya wazungu nakuvifanya vya umma na hata kuwatimua kabisa,

 mandela hakufanya hivyo zaidi yeye aliwasamehe na kuwafanya marafiki.kwa waliosamehewa inaonekana ni kitu kikubwa sana na ndio maana wanamsifu sana kama shujaa lakini kwa raia wa afrika kusini hilo ni kosa kubwa sana alilolifanya  ambalo linawafanya wengi wao waishi maisha magumu sana na vitega uchumi vingi kumilikiwa na makabulu

On Friday, December 6, 2013 4:06:18 PM UTC+3, kilao rajabu wrote:
Ndugu Wanabidii,

Naomba kujua tofauti kubwa kati ya Mandele lna Nyerere kwa ulimwengu wa kimataifa ilikuwa nini? Nimeona mataifa mengi duniani yakishusha bendera zao baada ya kufa Mandela na sikuona hivyo siku alipo kufa Nyerere.

Naomba nifahamishe ili nami nielewe nini kilikuwa tofauti.
 
Regard,
Rajabu Khamis
+255 718 265 427
+255 755 149 247

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment