Friday 13 December 2013

[wanabidii] Re: Re: [Mabadiliko] Re: President Kikwete wows Kenyans with Pure Kiswahili

Hapa JK namba kapatia hata kama hoja ndani ya mtima wake ni kizungu nusu nusu

On 12/13/13, Juma Thomas Nyumayo <jumanyumayo@gmail.com> wrote:
> Baniani mbaya kiatu chake dawa. Lugha inayofahamika na watu katika
> eneo husika ni vyama ikatumiwa. ''Lugha ni uhuru, uwezo, uhusiano,
> diplomasia na ni uchumi'. Ulizeni kasheshe la mkalimani 'fake' huko
> South Africa
>
> On 12/13/13, Miruko <rsmiruko@gmail.com> wrote:
>> Athanas, pointi zote ulizotoa ni -ve, ila nikupongeze kwa jinsi unavyojua
>> kuziandika +vely.
>>
>> Athanas Macheyeki <asmacheyeki@yahoo.com> wrote:
>>
>> I too congratulate Ndg Kikwete. Amenifurahisha mambo :
>>
>> 1. Kutoka RSA kwa Mandela na kuja yeye mwenyewe, hongera JK,
>>
>> 2. Ameongea kwa sura ya maneno aliyokuwa akiyatamka,
>>
>> 3. Hotuba fupi, inayoeleweka na isiyokumbusha mambo ya utovu wa nidhamu
>> wa
>> baadhi ya viongozi kutaka kujitenga na shirikisho,
>>
>> 4. Ametumia Kiswahili. Kipindi fulani alinikwaza alipokuja rais wa China
>> Tanzania kwa kutumia kiingereza; ila kwa kuwa ni msikivu, amenikosha roho
>> yangu leo.
>>
>> 5. Amekiri kuwa Kenya iko juu kuliko sisi. Amekuwa mkweli. Hongera sana
>> mtoto wa Kikwete...
>>
>> Athanas
>>
>> Sent from my iPhone
>>
>> On 13 Des 2013, at 4:33, Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com> wrote:
>>
>>> Laktar Gichaba,
>>>
>>> Jakaya has always been a friend of Kenya so whatever he was saying came
>>> from the heart. it is us Kenyans who sometimes don't remember what a
>>> good
>>> friend we have to the south. Don't forget that it was Jakaya who
>>> proposed
>>> the coalition government in 2008 as a solution to the quagmire. The AU
>>> wanted us to go back to another election which would have been even
>>> bloodier.
>>>
>>> I like the fact that his was the only speech given entirely in an
>>> African
>>> language and he did not play any politics by condemning the West.
>>> Museveeni, Desalegn and Jonathan Goodluck were all speaking English and
>>> condemning the West.
>>>
>>> Courage
>>>
>>>
>>> On Thu, Dec 12, 2013 at 8:18 PM, Henry Gichaba <gichabamob@hotmail.com>
>>> wrote:
>>>>
>>>> Maurice,
>>>>
>>>> Although Kikwete lied that Kenya has been very progressive - I wonder
>>>> if
>>>> the progress was backwards!
>>>>
>>>> Gichaba.
>>>>
>>>> ________________________________
>>>> Date: Thu, 12 Dec 2013 19:07:55 -0500
>>>> Subject: President Kikwete wows Kenyans with Pure Kiswahili
>>>> From: mauricejoduor@gmail.com
>>>> To: mabadilikotanzania@googlegroups.com; wanakenya@googlegroups.com;
>>>> kenyaonline@yahoogroups.com; VuguVuguMashinani@yahoogroups.com;
>>>> Kiswahili@yahoogroups.com
>>>> CC: wanabidii@googlegroups.com; progressive-kenyans@googlegroups.com
>>>>
>>>>
>>>> Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Jakaya Mrisho Kikwete,
>>>> hapa
>>>> anawapongeza Wakenya  kwenye sherehe za kuadhimisha miaka 50 tangia
>>>> Kenya
>>>> kutimia ujamhuri wake.
>>>>
>>>> Ni hotba ya pekee kwenye sherehe nzima iliyotolewa yote kwa lugha ya
>>>> Kiafrika, Kiswahili.
>>>> Wengine wote maJuha akina Museveni na Jonathan Goodluck wanawakashifu
>>>> "wabeberu" huku wakitoa hotba zao kwa lugha ya hao hao "wabeberu",
>>>> Kiingereza.
>>>>
>>>> http://www.standardmedia.co.ke/ktn/video/watch/2000072939/-kenya-at-50-president-jakaya-kikwete-speech
>>>>
>>>>
>>>>  (5:35 min)
>>>>
>>>> --
>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>> Groups
>>>> "WANAKENYA" group.
>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>> an
>>>> email to wanakenya+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>
>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>
>>>> --
>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>> Groups
>>>> "WANAKENYA" group.
>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>> an
>>>> email to wanakenya+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>
>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>>
>>> --
>>> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
>>> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
>>> mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>>
>>> MUHIMU KWA WANACHAMA WOTE: Jukwaa hili litafungwa hivi karibuni hivyo
>>> hii
>>> ni taarifa ya Mwisho kwako kuhakikisha unajisajili www.mabadiliko.com
>>>
>>> For more options, visit this group at:
>>> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "Mabadiliko Forum" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> To post to this group, send email to
>>> mabadilikotanzania@googlegroups.com.
>>> Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>> --
>> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
>> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>
>> MUHIMU KWA WANACHAMA WOTE: Jukwaa hili litafungwa hivi karibuni hivyo hii
>> ni
>> taarifa ya Mwisho kwako kuhakikisha unajisajili www.mabadiliko.com
>>
>> For more options, visit this group at:
>> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Mabadiliko Forum" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
>> To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
>> Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>> --
>> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
>> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>
>> MUHIMU KWA WANACHAMA WOTE: Jukwaa hili litafungwa hivi karibuni hivyo hii
>> ni
>> taarifa ya Mwisho kwako kuhakikisha unajisajili www.mabadiliko.com
>>
>> For more options, visit this group at:
>> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Mabadiliko Forum" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
>> To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
>> Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>
> --
> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
> MUHIMU KWA WANACHAMA WOTE: Jukwaa hili litafungwa hivi karibuni hivyo hii ni
> taarifa ya Mwisho kwako kuhakikisha unajisajili www.mabadiliko.com
>
> For more options, visit this group at:
> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Mabadiliko Forum" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
> To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
> Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>


--
mission without implementation is hallucination

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment