Thursday 12 December 2013

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] Re: President Kikwete wows Kenyans with Pure Kiswahili

I too congratulate Ndg Kikwete. Amenifurahisha mambo :

1. Kutoka RSA kwa Mandela na kuja yeye mwenyewe, hongera JK,

2. Ameongea kwa sura ya maneno aliyokuwa akiyatamka,

3. Hotuba fupi, inayoeleweka na isiyokumbusha mambo ya utovu wa nidhamu wa baadhi ya viongozi kutaka kujitenga na shirikisho,

4. Ametumia Kiswahili. Kipindi fulani alinikwaza alipokuja rais wa China Tanzania kwa kutumia kiingereza; ila kwa kuwa ni msikivu, amenikosha roho yangu leo. 

5. Amekiri kuwa Kenya iko juu kuliko sisi. Amekuwa mkweli. Hongera sana mtoto wa Kikwete...

Athanas

Sent from my iPhone

On 13 Des 2013, at 4:33, Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com> wrote:

Laktar Gichaba,

Jakaya has always been a friend of Kenya so whatever he was saying came from the heart. it is us Kenyans who sometimes don't remember what a good friend we have to the south. Don't forget that it was Jakaya who proposed the coalition government in 2008 as a solution to the quagmire. The AU wanted us to go back to another election which would have been even bloodier.

I like the fact that his was the only speech given entirely in an African language and he did not play any politics by condemning the West. Museveeni, Desalegn and Jonathan Goodluck were all speaking English and condemning the West.

Courage


On Thu, Dec 12, 2013 at 8:18 PM, Henry Gichaba <gichabamob@hotmail.com> wrote:
Maurice,

Although Kikwete lied that Kenya has been very progressive - I wonder if the progress was backwards!

Gichaba. 


Date: Thu, 12 Dec 2013 19:07:55 -0500
Subject: President Kikwete wows Kenyans with Pure Kiswahili
From: mauricejoduor@gmail.com
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com; wanakenya@googlegroups.com; kenyaonline@yahoogroups.com; VuguVuguMashinani@yahoogroups.com; Kiswahili@yahoogroups.com
CC: wanabidii@googlegroups.com; progressive-kenyans@googlegroups.com


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Jakaya Mrisho Kikwete,  hapa anawapongeza Wakenya  kwenye sherehe za kuadhimisha miaka 50 tangia Kenya kutimia ujamhuri wake.

Ni hotba ya pekee kwenye sherehe nzima iliyotolewa yote kwa lugha ya Kiafrika, Kiswahili.
Wengine wote maJuha akina Museveni na Jonathan Goodluck wanawakashifu "wabeberu" huku wakitoa hotba zao kwa lugha ya hao hao "wabeberu", Kiingereza.

--
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "WANAKENYA" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanakenya+unsubscribe@googlegroups.com.

--
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "WANAKENYA" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanakenya+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
MUHIMU KWA WANACHAMA WOTE: Jukwaa hili litafungwa hivi karibuni hivyo hii ni taarifa ya Mwisho kwako kuhakikisha unajisajili www.mabadiliko.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment