Monday 2 December 2013

Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Fwd: UKWELI WANGU KUHUSU UTATA RAMBIRAMBI ZA MJANE WA MWANGOSI...

Akili ya Mjengwa huwa inamtosha yeye mwenyewe.

Magiri.

Dau dogo huambaa mwambao, kubwa huenda kwenye kilindi.

On Dec 3, 2013 7:50 AM, "Augustine Rukoma" <rukomapekee@gmail.com> wrote:
Habari haijakaa sawa tungeweza kujua mtafuna hela hizo kama
tungejituma au ndio kuendeleza vita hewa ndani ya chadema. Hata hela
angekula Msigwa bado tusingesema chadema au makamanda

On 12/3/13, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:
> Ndugu zangu,
>
> Cris Lukosi ameandika haya kwenye Jamii Forums jana...
>
> "Nndugu zanguni
>
> Naona kila kukicha makamanda wa chadema wamekuwa wakiendeleza ile singo yao
> ya rambi rambi dhidi yangu.
>
> Huu wimbo umenikera sana na nadhani sasa ni wakati muafaka kwa Mchungaji
> Msigwa kujitokeza hapa na kutoa ufafanuzi ziliko hizo hela ambazo mimi
> nilizifikisha kwake kupitia Maggid Mjengwa
>
> Sio vyema kwa kiongozi wa dini tena mbunge kukaa kimya kwenye suala kama
> hili.
>
> Watu walitoa kwa moyo, hivyo ni vyema wajue hela zao kama zilifika au
> zilitumika kwenye mikutano ya pale mwembetogwa
>
> JITAMBUE!"-
>
> Mwingine amechangia...
>
> "JF Senior Expert Member Array
>
> Default Re: Namuomba Mchungaji Msigwa aje hapa kutueleza ziliko rambirambi
> za Mwangosi nilizompa.
>
> Hapa kuna watu watatu wanaoujua ukweli wa nani ametafuna pesa za rambi
> rambi. Chris Lukosi, Maggid Mjengwa, au Mchungaji Msigwa. Lukosi anasema
> amekabidhi pesa kwa Mjengwa, sasa kama Msigwa anakanusha hakupewa pesa,
> basi pesa aidha zimeliwa na Lukosi au Mjengwa. Tunataka Maggid Mjengwa aje
> hapa athibitishe kama ni kweli alikabidhiwa pesa na Lukosi? Na yeye jee
> alizikabidhi kwa Msigwa?
> Embu mwenye namba ya simu ya Mjengwa aiweke hapa tafadhali. " ( Chanzo JF)
>
> Ukweli wangu:
>
> Kwa kufuatilia mjadala kwenye mada hii mtandaoni nimeona dhahiri, kuwa
> wasionitakia mema wameanza hila za kuliingiza na kulichafua jina langu na
> rekodi yangu ya kujitahidi kuishi na kutenda yalo mema na kwa uadilifu. Na
> mengine si ya kuyapuuzia, maana kuna wenye kuamini upuuzi pia. Ndio sababu
> nimeamua kuweka ukweli wangu hapa...
>
> Baada ya kuawa kinyama kwa rafiki na mwanafamilia mwenzetu katika tasnia ya
> habari, Daud Mwangosi, niliitisha harambee kupitia Mjengwablog ili
> kumsaidia mjane wa marehemu na watoto wake.
>
> Yafuatayo yawe wazi;
> 1. Ni kweli kuwa Cris Lukosi kupitia nduguye Augustino Lukosi aliniingizia
> shilingi milioni moja kwenye akaunti yangu ya MPESA kama mchango wa
> rambirambi uliokusanywa UK kutoka kwa wanachadema Lukosi akiwa mwenyekiti
> wao.( Angalia siku, tarehe na muda kwenye kiambatanishi)
> 2. Kwenye orodha ya wachangiaji niliorodhesha mchango huo kama kutoka kwa
> Jumuiya ya Watanzania UK. Ni kwa vile kama mratibu, niliweka wazi kuwa
> suala hili la msiba na rambirambi halihusiani na itikadi za vyama.
> 3. Cris Lukosi hakukubaliana na utaratibu huo na kunitaka niwakilishe
> mchango wao kwa Mh. Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini na uwakilishwe kwa
> mjane wa marehemu Mwangosi kama mchango kutoka kwa WanaChadema UK.
> Nilifanya kama alivyotaka Lukosi ( Ushahidi ni kiambatanisho hapo chini).
>
> Hitimisho: Ukweli wangu ndio huo. Hakuna hata senti moja ya rambirambi kwa
> mjane wa marehemu Mwangosi iliyopotea mikononi mwangu. Na chini hapo ni
> risiti ya CRDB ikionyesha fedha zote zilizochangwa na nilizoziingiza kwenye
> akaunti ya Itika Mwangosi, mjane wa marehemu Mwangosi. Ushahidi wa majina
> ya waliochangia na kiasi walichochanga pia upo.
>
> Nimeyaweka haya hadharani kwa nia njema ili kuzuia upotoshaji na hali ya
> kuchafuana majina kama ningeamua kubaki kimya.
>
> Nawashukuru nyote mnaoendelea kuniamini hata mnaposikia yenye kuzushwa juu
> yangu.
>
> Wenu Katika Ujenzi wa Nchi Yetu.
>
> Maggid Mjengwa.
> Iringa.
> 0754 678 252
>
> --
> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
> MUHIMU KWA WANACHAMA WOTE: Jukwaa hili litafungwa hivi karibuni hivyo hii ni
> taarifa ya Mwisho kwako kuhakikisha unajisajili www.mabadiliko.com
>
> For more options, visit this group at:
> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Mabadiliko Forum" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
> To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
> Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>


--
mission without implementation is hallucination

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment