Friday 27 December 2013

Re: [wanabidii] Nawahurumia wake zao ambao wana UKIMWI uliotoka kwangu

Habari hii inazunguka kwenye mtandao tangu 2009. Ilishasemwa hadi bungeni. Huyu mhuni anarusha watu roho
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

-----Original Message-----
From: Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Fri, 27 Dec 2013 14:55:59
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Nawahurumia wake zao ambao wana UKIMWI uliotoka kwangu

Salaale.jane ni muongo na mzandiki.hii habari ya kubuni haina
logic,coherence wala consistence. Kama alivyohoji mtu hapo achana na
hekaya za abunuwasi sema tu unataka watu waokoke.
kuleta habari Za kulaani pombe,disco nk ni ujuha.fahamu
unachokiongelea.kuokoka kupo na wote tumeokolewa na yesu.then
tunapaswa kuongoka kwa kubadili maisha yetu,ili hatimaye tupate
ukamilifu wa wokovu.

On 12/27/13, Francis Kasili <Francis.Kasili@nmbtz.com> wrote:
> Tazameni kidogo hapa. Yohana 1:12 inasema wote waliompokea aliwapa uwezo
> kuwa wana wa Mungu, Inaendelea kusema ndio wale walio liamini Jina la Mwana
> wa Mungu. Marko sura ya 28 inasema na ishara zitaambatana na hao waaminio,
> kwa Jina la Lake{Yesu} Watatoa pepo, watasema kwa lugha mpya na hata wakila
> kitu cha kufisha hakitawadhuru kabisa. Hapa inaashiria kwa waliookoka ambao
> wanapokea uwezo toka kwa Mungu mwenyewe. Pia yapasa mtu atambue wokovu ni
> neema ambayo mtu hipewa na Mungu maana Biblia inasema si wengi wenye hekima,
> si wengi wenye elimu, bali Mungu aliamua kuwaokoa waamio kwa upuuzi wa hilo
> neno ili kuwaabisha wenye akili. Pia 1korinrtho 1:18 inesema neno la msalaba
> kwa wanaookolewa ni nguvu ya Mungu bali kwa wanaopotea ni upuuzi. Jamani
> swala la wokovu halihitaji akili nyingi sana za kibinadamu kwani huko ni
> kulichakachua Neno la Mungu, Anguko la Adamu limerejeshwa na Yesu na ni kwa
> hiari ya mtu pasipo shuruti ndipo unapata wokovu. Mwenye sikio na asikie na
> mwenye macho atazame.
>
>
>
> Always darkness will never comprehend light
>
> ________________________________
> From: wanabidii@googlegroups.com [wanabidii@googlegroups.com] on behalf of
> Reuben Mwandumbya [ipyana75@yahoo.com]
> Sent: Friday, December 27, 2013 9:18 AM
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Nawahurumia wake zao ambao wana UKIMWI uliotoka
> kwangu
>
> Bariki;
> ''aaminie na kubatizwa ataokoka'' this is future continuous tense, haisemi
> ameokoka hivyo siku ya mwisho ya kuwasilisha hesabu mbele za Mungu ndo
> utajua,hii ni safari ndefu otherwise ingekuwa baada ya ubatizo tunafunga
> ukurasa kwamba tumemaliza kazi tunasubiri kwenda peponi.
>
> By then naomba tuishie hapa mana mambo ya imani hayaitaji kuyajadili,ni
> mambo binafsi.
>
> Mwaka mpya njema.
>
>
> On Thursday, December 26, 2013 10:25 PM, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
> wrote:
> Mwl MM
> Ubarikiwe. Binafsi sikutaka kuingia ndani kutokana na kwamba uzi uliopo
> haukulenga hiki lakini yote ni mema. Mwenye sikio na asikie na atende
> sawasawa na Neno la Mungu.
> On Dec 26, 2013 10:17 PM, "Mathew Mndeme"
> <mathewmndeme@gmail.com<mailto:mathewmndeme@gmail.com>> wrote:
> Well put Bariki,
>
> Bila kujiingiza kwenye presentation ya Jane, naomba niseme neno na wale
> ambao wamejitambulisha huku kuwa ni wakristo na bado wanakuwa na ujasiri wa
> kupinga dhana ya WOKOVU na wanaoukiri wokovu.
>
> The facts kuwa wewe huamini katika wokovu au una mefundisho tofauti kuhusu
> concept ya wokovu, haiondoi ukweli kuwa hakuna wokovu au haimfanyi mtu
> anayesema kaokoka kuwa mkosaji au mpotoshaji. Kama wanadamu au vikundi vyao
> vya kiimani wanaosema kuwa wameokoka na wakashindwa kuishi maisha ya wokovu,
> hiyo pia aiondoi ukweli na uhakika wa wokovu na ukweli kwamba wale
> wanaoamini katika Kristo Yesu imewapasa kuokoka. Kama kuna wachungaji,
> maaskofu, manabii na mwingine yeyote mwenye cheo cha kidini anashindwa
> kutembea katika wokovu, hilo ni tatizo lake mwenyewe kama alivyokua Yuda
> Iskariote, na haiondoi ukweli kwamba tumeitiwa ufuasi unaotuelekeza katika
> maisha ya wokovu.
>
> Sina hakika kama ni sahihi watu kujitengenezea tafisiri ya wokovu
> wanayoitaka wao na kuanza kuichambua kuwa sio ya kweli na wokovu haupo au
> hauwezekani kwa kutumia tafisri hiyo kama reference point.
>
> Wokovu sio utimilifu wa utakatifu bali ni kukubali ufuasi unaokuelekeza
> huko. Wokovu ni safari ya maisha ya kumpeleka mtu katika utakatifu na
> utimilifu. Kudahiliwa chuo kikuu sio kupata degree lakini ni njia ya kupata
> degree na kuna maisha tofuati sana unatakiwa kuishi katika kuelekea kuipata
> degree tofauti na wasio kwenye mpango huo. Kuoa au kuolewa sio utimilifu wa
> maisha ya kifamilia yenye amani, mshikamano, furaha, na mafanikio lakini ni
> njia sahihi ya kuelekea huko na hakuna alternative. Wokovu ni kukubali
> kuwa kwenye kundi la wautafutao utimilifu na usafi katika kumpendeza Mungu
> kupitia Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wa maisha yao. Ni ukiri unaoendana
> na imani katika kile unachokikiri.
>
> Hakuna mahali Biblia inasema mtu akiokoka hawezi kutenda dhambi tena. Hata
> Petro aliyeaminiwa na Yesu na kukabidhiwa kanisa bado alikosea wakati wa
> Yesu kwa kumkana na baada ya Yesu kwa kuwa mnafiki akiwaogopa Wayahudi mbele
> ya mataifa. Ila kuna tofauti kubwa ya kutenda dhambi ndani ya wokovu na mtu
> ambaye kutenda dhambi ni sehemu ya maisha yake ya kila siku. Wa kwanza
> dhambi ni ajali na sio utamaduni kwake maana maisha anayoishi hayana wenyeji
> wa dhambi...na kwa minajili hiyo huishi katika toba inayoendana na jitihada
> ya kutoishi katika makosa/dhambi anazojikuta amefanya. Dhambi ni majuto na
> huzuni katika maisha yake na mara zote anajitahidi kutafuta kuyafanya
> mapenzi ya Mungu. Huyu wa pili dhambi sio ajali na haina majuto ndani
> mwake. Hajisumbui kutafuta mapenzi ya Mungu na kinyume chake hujisumbua
> kufanya mengi yaliyo kinyume na Mungu huku akiyatetea. Kuna tofauti ya
> kutenda dhambi na kuishi katika dhambi..kuna tofauti ya kukosea na kuishi
> maisha ya ukosaji. Ndio mana Paulo akasema katika 2Wakorintho 5:17, "Hata
> imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita
> tazama! Yamekuwa mapya."
>
> Maisha ya wokovu, utakatifu na uzima wa milele yanaanzia hapa duniani. Wati
> wa Yesu akina Petro walikua na maswali kama sisi: Petro akasema, Tazama,
> sisi tumeviacha vitu vyetu vyote na kukufuata. Akawaambia, Hakika nawaambia,
> hakuna mtu aliyeacha nyumba, au mke, au ndugu, au wazazi, au wana, kwa ajili
> ya ufalme wa Mungu, asiyepokea zaidi mara nyingi katika zamani hizi, na
> katika ulimwengu ujao uzima wa milele.(Luka 18:30)
>
> Biblia inasema, "Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa
> Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa
> milele. Maana Mungu hakumtuma Mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali
> ulimwengu uokolewe katika yeye. Amwaminiye yeye hahukumiwi; asiyeamini
> amekwisha kuhukumiwa; kwa sababu hakuliamini jina la Mwana pekee wa Mungu.
> Na hii ndiyo hukumu; ya kuwa nuru imekuja ulimwenguni, na watu wakapenda
> giza kuliko nuru; kwa maana matendo yao yalikuwa maovu (Yahana 3:16-19). Huu
> uzima huanzi tutakapokufa. Unaanza sasa kwa sisi kuamini na kufuata kile
> tunachoamini.
>
> Biblia imejaa maandiko mengi tu yanayoelezea wokovu bila utata wala
> kigugumizi. Nikupe baadhi ya reference ambazo hata hazihitaji tafisiri:
> 1) Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea. Bali wote waliompokea
> aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake;
> waliozaliwa, si kwa damu, wala si kwa mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi
> ya mtu, bali kwa Mungu (Yohana 1:11-13).
>
> 2) Tazameni, ni pendo la namna gani alilotupa Baba, kwamba tuitwe wana wa
> Mungu; na ndivyo tulivyo. Kwa sababu hii ulimwengu haututambui, kwa kuwa
> haukumtambua yeye. Wapenzi, sasa tu wana wa Mungu, wala haijadhihirika bado
> tutakavyokuwa; lakini twajua ya kuwa atakapodhihirishwa, tutafanana naye;
> kwa maana tutamwona kama alivyo. Na kila mwenye matumaini haya katika yeye
> hujitakasa, kama yeye alivyo mtakatifu. (1Yohana 3:1-3)
> 3) Yeye ndiye jiwe lile lililodharauliwa na ninyi waashi, nalo limewekwa
> kuwa jiwe kuu la pembeni. Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa
> maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo
> sisi kuokolewa kwalo (Matendo 4:12)
> 4) Wote anipao Baba watakuja kwangu; wala ye yote ajaye kwangu sitamtupa
> nje kamwe. Kwa kuwa mimi sikushuka kutoka mbinguni ili niyafanye mapenzi
> yangu, bali mapenzi yake aliyenipeleka. Na mapenzi yake aliyenipeleka ni
> haya, ya kwamba katika wote alionipa nisimpoteze hata mmoja, bali nimfufue
> siku ya mwisho. Kwa kuwa mapenzi yake Baba yangu ni haya, ya kwamba kila
> amtazamaye Mwana na kumwamini yeye, awe na uzima wa milele; nami nitamfufua
> siku ya mwisho (Yohana 6:37-40)
> 5) Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na
> kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka. Kwa
> maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata
> kupata wokovu. Kwa maana andiko lanena, Kila amwaminiye hatatahayarika
> (Warumi 10:9-11).
> 6) Basi, ndugu zangu, nawasihi, kwa huruma zake Mungu, itoeni miili yenu
> iwe dhabihu iliyo hai, takatifu, ya kumpendeza Mungu, ndiyo ibada yenu yenye
> maana. Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya
> nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na
> ukamilifu (Warumi 12:1-2).
> 7) Naye alituokoa katika nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika
> ufalme wa Mwana wa pendo lake; ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani,
> msamaha wa dhambi; (Wakolosai 1:13-14)
> 8) Bali ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu wa
> milki ya Mungu, mpate kuzitangaza fadhili zake yeye aliyewaita mtoke gizani
> mkaingie katika nuru yake ya ajabu; ninyi mliokuwa kwanza si taifa, bali
> sasa ni taifa la Mungu; mliokuwa hamkupata rehema, bali sasa mmepata
> rehema.(1Petro 29-10)
> Mwisho wa yote wokovu sio human creation. Ni mpango wa Mungu mwenywe wa
> kumuokoa mwanadamu. Na kwa vile vile ni mpango wa Mungu, chenye nguvu ni
> imani. Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya
> mambo yasiyoonekana. Maana kwa hiyo wazee wetu walishuhudiwa. Kwa imani
> twafahamu ya kuwa ulimwengu uliumbwa kwa neno la Mungu, hata vitu
> vinavyoonekana havikufanywa kwa vitu vilivyo dhahiri. (Waebrania 11:1)
>
> Na kama vile haitoshi Biblia inasema, " Lakini pasipo imani haiwezekani
> kumpendeza; kwa maana mtu amwendeaye Mungu lazima aamini kwamba yeye yuko,
> na kwamba huwapa thawabu wale wamtafutao."(Waebrania 11:6)
>
> Wasalaam
>
> MM
>
>
> _____________________________________________________
> Mathew Mndeme, PgD, MSc, BSc (Hons)
> Assistant Lecturer and Information Systems Analyst
> Department of Computer Science and Engineering
> College of Information and Communication Technologies
> University of Dar es Salaam
> P.O. Box 35062, Dar es Salaam
> Mobile: +255 (0) 782 581941<https://192.168.114.74/owa/UrlBlockedError.aspx>
> / 713 581941 / 756 581941
> Alternative E-mail: mathewmndeme@udsm.ac.tz<mailto:mathewmndeme@udsm.ac.tz>
>
>
>
>
> 2013/12/26 Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com<mailto:bmwasaga@gmail.com>>
> Reuben
> Bahati nzuri Biblia niisomayo inasema aaminie na kubatizwa ataokoka. Kwa
> lugha nyingine ya kibiblia ni kwamba kila atakayempokea Mwana wa Mungu
> atafanyika naye Mwana wa Mungu ni hivi ndivyo Nicodemu alivyoelezwa
> akafanye na Kristo zamani zile. Haya yanafanyika vipi basi ndiyo unarudi kwa
> Paulo mtume kwenye Warumi 10:9-10. Huyu Paulo Mtume anasema siyo kwamba
> ameeishafika bali anakaza mwendo ili aweze kufikia ile mede ya thawabu ya
> mwito mkuu wa Kristo. Wokovu ni safari ambayo katika kitabu cha Ufunuo wa
> Yohana kuna mahali ile mlango wa 3 anauliza...je uko wapi ule upendo wa
> kwanza? Kwanini kauliza hivyo ni kwasababu mtu alimwamini Mungu (aliokoka)
> baadaye akaiacha hiyo njia na ndiyo maana malaika ametumwa kuulizia hilo
> katika Kanisa.
> Ushauri kwa wote,
> Haya masuala ya imani kila mtu ana imani yake na sidhani kama ni baraka
> kuanza kumpinga mtu mwingine kuhusu maandiko ambayo yeye anayaamini. Kama ni
> kinyume na uelewa wako basi bora ukae kimya. Maandiko kuhusu wokovu yamejaa
> tele tunaweza kugeuza jukwaa kuwa mimbari tuanze kuhubiri.
> On Dec 26, 2013 5:08 PM, "Reuben Mwandumbya"
> <ipyana75@yahoo.com<mailto:ipyana75@yahoo.com>> wrote:
>
> Misango;
> Kuongoka ndiko kupo kwa wanaojiita walokole na kuokaka ni baada ya kupitia
> mauti huko mbele ya safari utajua ulitenda uliyopasa kuyatenda kwa mujibu wa
> mafundisho ya Mwenyezi au kwa watakao bahatika siku ya parapanda ndipo
> watajua nafasi zao.
>
> Sio ajabu siku ya mwisho tukaja kushuhudia hata Maaskofu,Wachungaji,Mashehe
> n.k tupo nao motoni,ndipo hapo tutakapo ulizana mara mbili tatu kwamba hata
> wewe ndugu upo huku??
>
> Ndio kuna kusema kwamba fuata maneno yangu usifuate matendo,mana upo
> uwezekano wa watu wanaosema wameokoka kuwa wameongoka,hivyo sababu hatuwezi
> kuhakiki ukweli wao,siku ya mwisho ndipo tutajua maharage na soya.
>
>
>
>
> On Thursday, December 26, 2013 4:53 PM, Charles Misango
> <misangocharles@yahoo.com<mailto:misangocharles@yahoo.com>> wrote:
> Paschal na Reuben nisaidieni swahili hili. Nini tofauti kati ya KUONGOKA na
> KUOKOKA? maana mleta hoja ametulazimisha tujadili na mambo mengine zaidi
> kama alivyosema Mashaka kwamba njia aliyotumia kufikisha ujumbe haikuwa
> sahihi sana
>
>
>
> On Thursday, December 26, 2013 4:21 PM, Mashaka Mgeta
> <mgeta2000@yahoo.com<mailto:mgeta2000@yahoo.com>> wrote:
> Swali kwa Jane.
>
> Unajuaje kama miongoni mwa zaidi ya 1500, walikuwamo wanaoishi na VVU, hivyo
> kilichofanyika ni KUBADILISHANA virusi hivyo na si wewe kuwaambukiza?
>
> Nadhani ulilenga kuionya jamii kuhusu uovu na maovu lakini 'njia'
> uliyoitumia haitoi jawabu hata la kuonyesha kwamba UMEOKOKA.
>
>
>
>
>
>
> On Thursday, December 26, 2013 5:10 AM, Reuben Mwandumbya
> <ipyana75@yahoo.com<mailto:ipyana75@yahoo.com>> wrote:
> Pascal;
> Mkatoliki sio wewe pekee,tupo/wapo wengi,uokovu usiuchukulie rahisi dhambi
> zipo za makundi manne mawazo,maneno,matendo na kutotimiza wajibu. Hapa sio
> rahisi kuchomoka na kusema umeokoka kaka,otherwise ntakuwa sijui maana ya
> kuokoka,lakini maana yake ni kwamba hupatikani katika hizi zote sasa wewe
> utakuwa sio binadamu.
>
> Hata hivyo imani ni jambo la mtu binafsi,lets leave it.
>
> Skukuu njema.
>
>
> On Thursday, December 26, 2013 3:31 PM, Paschal Leon
> <paschalleon@yahoo.com<mailto:paschalleon@yahoo.com>> wrote:
> toa andiko, achana na sisi wakatoliki, hiyo iko kwenye biblia ipi? wokovu
> upo, ni mtazamo wako mdogo na kutotumia Roho Mtakatifu akufunulie, soma John
> 3 yote kwa kuomba ufunuo utaona hata Nicodemu hakujua maana ya wokovu
> sembuse wewe mkatoliki?
>
> From: Reuben Mwandumbya <ipyana75@yahoo.com<mailto:ipyana75@yahoo.com>>
> To: "wanabidii@googlegroups.com<mailto:wanabidii@googlegroups.com>"
> <wanabidii@googlegroups.com<mailto:wanabidii@googlegroups.com>>
> Sent: Thursday, December 26, 2013 3:21 PM
> Subject: Re: [wanabidii] Nawahurumia wake zao ambao wana UKIMWI uliotoka
> kwangu
>
> Comrade Lutinwa;
> Exactly my friend,there you are.
> Pia kwa sisi wakatoliki tunajua you can not claim 'saved' kabla hujapitia
> mauti.
> Binadamu tunaishi kwa kutenda zambi,huwezi kusema nimeokoka bado
> unaishi,shida ya walokole wanazani zambi ni pombe na kuzini tu.
> Merry boxing day Jomba.
>
>
> On Thursday, December 26, 2013 1:43 PM, Lushengo Lutinwa
> <lutinwa@gmail.com<mailto:lutinwa@gmail.com>> wrote:
> Even with this confession I still regard you as a devil; although you
> consider yourself saved.
> On 26 Dec 2013 11:55, "Jane Mwakalukwa"
> <mwakalukwa@gmail.com<https://192.168.114.74/owa/UrlBlockedError.aspx>>
> wrote:
> Mimi ni Jane naishi mwenge Dar es Salaam naomba utalifuta jina la baba yangu
> maana sitaki liwe kwenye blog watu watanijua na kuniangamiza maana
> nimeshawaangamiza wengi sana kwa UKIMWI ila mengine yote usifute hata moja
> ili dunia ijue tu japokua mimi nitakufa kwa huu ukimwi nilionao.
>
> Nilizaliwa mkoa wa Dodoma na nilishi vizuri tu tangu utotoni na hata
> sikujihusisha na ngono hadi nilipomaliza form 4 mwaka 2006 baada ya kumaliza
> nilikuja hapa Dar kuishi kwa mama mdogo aliyeolewa hapa Mwenge.
>
> Nilipata marafiki wengi tu na kuna kijana mmoja alinitongoza kwa muda mrefu
> sana na siunajua vijana wengi hutumia
> muda mrefu kutongoza ili msichana unadhani kwamba labda huyo anakupenda
> kumbe anataka tu ngono na wadada wengi sana hudhani kufuatiliwa kwa muda
> mrefu na mvulana basi huyo yuko serious kumbe hakuna lolote.
>
> Nilimkubalia tukawa wapenzi ila nilikataa kuhusu kufanya mapenzi maana
> anayekupenda kiukweli sio uongo lazima asitake ngono kabla ya ndoa.
>
> Kwa miezi kama 5 hadi 6 aliniambia kuhusu kufanya mapenzi nilikataa alitumia
> mbinu nyingi sana kwa kunibembeleza na hata kulia mbele yangu ili tufanye tu
> mara moja ila nilikataa, alisema atavumilia hadi siku ya ndoa yetu ambapo
> tulipanga kuoana mwaka sept 2009.
>
> Siku moja aliniambia twende kwenye kumbi za starehe na mimi kwa sababu ya
> upagani na kumwamini pia kwa sababu nampenda nilikubali tulienda huko na
> kulikua na bendi fulani maarufu ya mziki wa dansi ilikua inatumbuiza.
>
> Tulitafuta sehemu na kukaa na mpenzi wangu akaagiza pombe alianza kunywa
> huku akinionjesha, nilikataa kwa sababu nilikua sijawahi kunywa pombe katika
> maisha yangu yote, hata sijui alinishawishi vipi nilijikuta nakunywa kidogo
> kidogo na kwa kuwa tulikaa pale kwa muda zaidi ya masaa 5 nadhani nikunywa
> kama bia 3 au 4 japokua nilikua nakunywa kidogo kidogo tu tena kwa kunywesha
> na mpenzi wangu maana nikama nikua nanyweshwa kila baada kama ya dakika 25
> ndipo nakunywa mara moja na sikujuia kama nakunywa pombe ila niliihisi tu
> naonja ili kumlizisha mpenzi wangu.
>
> Ilipofika saa 10 alfajiri nilihisi usingizi na pia nilijiona wa tofauti
> najua nililewa hata kama sikujua kama nimelewa maana nakumbuka tulitoka pale
> huku amenishika mkono huyo mpenzi wangu. Tulikodo tax na kuondoka na siku
> hiyo aliniambia twende kwake alikokua amepanga chumba maana tulikua na
> usingizi sana nilikubali huku nikidhani hatuwezi kufanya mapenzi.
>
> Tulifika salama na kuingia ndani ukweli pombe ni kichocheo cha ngono na
> ningekua mimi ndio Raisi wa Tanzania ningefunga bar zote. Nilijikuta
> natamani kufanya mapenzi na huyu mpenzi wangu hata alikua hana nia maana
> alijua atanichukiza sana na uhusiano ungekufa siku hiyo lakini kwa sababu ya
> pombe nilimwambia siku hiyo tufanye kidogo maana mwili wangu unataka.
>
> Ni kweli siku hiyo kwa sababu ya pombe nilifanya mapenzi na huyo mpenzi
> wangu na baadae akanipeleka nyumbani baada ya wiki mbili maana tulikaa wiki
> mbili bila kuonana alikuja na kunieleza habari ambayo sikuihitaji katika
> maisha yangu maana nilikua nasikia tu kwa watu wengine lakini sio kwangu
> alisema "JANE ISHI KWA MATUMAINI KUANZIA SASA"
>
> Nilidhani utani lakini aliniambia kuwa yeye ana UKIMWI tangu miaka mitano
> iliyopita na anapenda tu ngono maana hawezi kuacha.
>
> Nililia sana na baada ya wiki moja baadae nikaenda kupima na kukutwa nina
> ugojwa ambao niliusikia tu kwa watu na chanzo cha yote ni pombe, kupenda
> starehe,disko na upagani unaotusumbua wanadamu wengi.
>
> Nilikua na UKIMWI na kwa hasira maana mpenzi wangu alihamia Arusha huku
> akisema neno moja la mwisho kwamba "shetani amemtuma kuwaambukiza wanadamu
> UKIMWI"
>
> Sikujua, sikujua, sikujua, sikujuaaaaaaaaa, basi tu ooh YESU nihurumie mimi
> leo. Nilibebeshwa mzigo ambao haukunistahili mimi. Hata leo hua najiuliza
> kwamba nilijitunza kwa miaka 23 yote lakini pombe na huyu wakala wa shetani
> wamenifanyia hivi. Baada ya kujua nina UKIMWI na hali hiyo nikaikubali na
> kulikua na kundi kubwa sana la wanaume ambao walikua wamewahi kunitongoza na
> niliwakataa sana kwa sababu hii niliwakubali ili nami nife na wengi.
>
> Nilianza kumkubali kila mmoja na kuna baba mmoja ambaye ana wake 3 niliwahi
> kumtukana sana kipindi cha nyuma kila aliponitongoza lakini wakati huu
> nilimkubali na hakuamini na tukafanya ngono tena bila kinga na akaniaachia
> pesa laki 6 kama zawadi ya kumkubali kumbe naye hakujua kuwa namwambukiza na
> hata leo hua nawahurumia tu wale wake zake ambao wana UKIMWI uliotoka
> kwangu.
>
> Kiukweli tangu Mei 2009 hadi 2012 nimeshatembea na wanaume zaidi 1500 maana
> ilifika kipindi nala na wanaume 3 kwa siku na lengo langu niwakomeshe kama
> mimi nilivyokomeshwa na nina uhakika kutokana na mimi wameambukizwa UKIMWI
> wanadamu zaidi ya 10,000 na hili tangazo la "TUKO WANGAPI" huwa linaniliza
> kila siku maana hata mimi najua kabisa nilianzisha mtandao kama huo wa ngono
> kwa idadi kubwa sana ya watu.
>
> Nimeokoka miezi 7 iliyopita na siku naombewa nilikutwa na mapepo mengi sana
> na hata waombeaji wakashangaa. Ningejua ningeokoka tangu nikiwa na miaka 5
> lakini ndio hivyo sina jinsi wala uwezo wa kubadirisha hali hiyo.
>
> Na naomba kila atakayesoma ujumbe huu ajue kuanzia leo kuwa pombe ni dhambi
> pia kwenda disko ni dhambi ,kuuza pombe ni dhambi na kila kichochoe chochote
> cha dhambi ni dhambi. Hadi sasa mtu yeyote hawezi kujua kama nina UKIMWI na
> sijui MUNGU ana mpango gani na mimi maana kwake yote yanawezekana. Nauamini
> uponyaji wake na sijawahi kutumia ARV hata siku moja na afya yangu iko sawa
> tu na huwezi hata wewe kujua kama uovu huu nimefanya mimi.
>
> Ndugu zangu kama una UKIMWI nenda kanisani ukaombewe na kama una akili mpe
> YESU maisha yako maana pia baada ya kifo ni hukumu. Yasalimishe maisha yako
> kwa YESU na usiambukize wengine tena.
>
> Mimi tangu niokoke sijawahi kufanya mapenzi tena na sitafanya hivyo wala
> sitaolewa na mtu yeyote maana yatosha kwa uovu niliofanya na hadi sasa wapo
> ninaowajua zaidi ya 15 wameshafariki na nilihudhulia misibani huku nikijua
> kabisa chanzo ni mimi.
>
> Mwisho nawashauri wababa kulidhika na wake zao na wamama pia ridhikeni na
> waume zenu, vijana ambao hamjaoa wala kuolewa subiri hadi utakapooa au
> kuolewa na kabla ya kuolewa au kuoa kapimeni kwanza kwani wenye UKIMWI ni
> wengi kuliko unavyodhani.
>
> Fuata unachofundishwa kanisani na pia soma BIBLIA na uwe mtakatifu.
>
> MUNGU akubariki
>
> Ni mimi Jane,
> Mwenge, Dar es salaam
> Tanzania
>
> --
> Send Emails to
> wanabidii@googlegroups.com<https://192.168.114.74/owa/UrlBlockedError.aspx>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<https://192.168.114.74/owa/UrlBlockedError.aspx>
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<https://192.168.114.74/owa/UrlBlockedError.aspx>.
> For more options, visit
> https://groups.google.com/groups/opt_out<https://192.168.114.74/owa/UrlBlockedError.aspx>.
> --
> Send Emails to
> wanabidii@googlegroups.com<mailto:wanabidii@googlegroups.com>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com>
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com>.

> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma

> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

> ***************************************************************************************
> ***************************************************************************************
> This e-mail and any attachments are proprietary to NMB PLC. Any unauthorized
> use or interception is illegal. The views and opinions expressed are those
> of the sender, unless clearly stated as being those of NMB PLC. This e-mail
> is only addressed to the addressee and NMB PLC shall not be responsible for
> any further publication of the contents of this e-mail. If this e-mail is
> not addressed to you, you may not copy, distribute or disclose the contents
> to anyone nor act on its contents. If you received this in error, please
> inform the sender and delete this e-mail from your computer.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment