Wednesday 25 December 2013

Re: [wanabidii] MARUFUKU YA KUPIGA PICHA KWENYE MAJENGO

Yona

Nafikiri tatizo siyo kuwa na current updates za Google kwasababu tunajua hatupo digital kiasi hicho nawe kama mdau unalijua hilo. Yona unajua vyema matumizi ya spy camera sijui udhibiti wake ukoje hapa kwetu. India hata pen huruhusiwi kuingia nayo ukumbi wa Bunge lao. Sasa kama hapa kwetu ukiacha simu ama laptop hakuna vitu vingine vinavyokatazwa. Sasa kama mtu anataka kufanya ugaidi kama anatumia dot gadgets atazuiwa vipi. Jambo la msingi la kufahamu ni kwamba walinzi wetu wengi wako so manual na hawatumii akili zao ipasavyo. Suala kama hili la ubungo ni la kujitwalia sifa za kijinga.

On Dec 25, 2013 1:44 PM, "Yona Maro" <oldmoshi@gmail.com> wrote:
Naomba Picha ya Google Map ambayo ina ramani hata za barabara ya morogoro inayojengwa sasa hivi tu ndugu bariki kama unayo .

Programu inayoweza kufanya hivyo inluding majengo ni Google Earth Pro lakini na yenyewe haina majengo na updates nyingine zinazotokea mara kwa mara maeneo mengi na pia kuna maeneo kwa taratibu za nchi nyingi hawaruhusiwi kuonyesha kama wakionyesha basi inakuwa sio clear , kwahili kama una picha za google earth na maps ambazo zina maeneo nyeti na picha ziko clear tuonyeshe tena za wakati huu mpya .

Mengine huu sio uwanja wake lakini unahusu kampuni fulani ya afrika kusini iliyotengeneza programu yenye ramani ya tanzania yenye viwanja vyenye madini vilivyopimwa na wamiliki wake , hii inafanyiwa kazi bado lakini iko online .

On Wed, Dec 25, 2013 at 1:26 PM, Yona Fares Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
Kama hilo jengo linaingiliwa na kila mtu nenda kajaribu kupanda ghorofa 4 za mwisho kwenda juu , kama utaingia 

On Wednesday, December 25, 2013 12:19:22 PM UTC+3, Bariki Mwasaga wrote:

Yes sir

On Dec 25, 2013 2:37 AM, "Mwema Felix" <mwema...@gmail.com> wrote:
Hatari! Unazungumzia lile jengo refu mbele ya Ikulu?

On Wed, Dec 25, 2013 at 3:45 AM, Bariki Mwasaga <bmwa...@gmail.com> wrote:
Mwema kumbuka hata Obama alipokuja ndiyo ikagundulika Ikulu iko uchi

--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Kenya

0 comments:

Post a Comment