Wednesday 25 December 2013

Re: [wanabidii] Kurudi kwa Edward Lowassa

Lington, kauli yako sio sahihi, wabunge wenye uwezo ni wachache mno, david matayo ana phd ya kilimo na ameishi na kufanyakazi SA lakini kashindwa kabisa kudeliver. Tulitegemea aje na model zitakazotutoa umasikini.

Prof tiba pamoja na uzoefu wa un kapwaya, huwezi mlinganisha na magufuli alipokuwa pale wizarani.

Tunaweza sema tatizo mfumo, mbona magufuli mwakyembe muhongo wanafanikisha malengo?

Lowasa matunda yake tunayajua shule za kata zipo, maji yamefika shinyanga na kahama, ngombe wametoka mtera. Majenerata ya umeme yapo. Kwa utumishi wake miaka miwili anachakujivunia.

----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, December 25, 2013 12:16:42 PM GMT+0300
Subject: Re: [wanabidii] Kurudi kwa Edward Lowassa

Lingson

Hiki ndicho wengi hawataki kulijadili badala yake tunajikita kwenye maeneo
yasiyo na tija
On Dec 25, 2013 11:18 AM, "lingson adam" <lingsadam@yahoo.co.uk> wrote:

> Stereotypes pembeni,
> Tanzania haijawahi kuishiwa vipaji, uzoefu na uwezo! Wengi wamekosa
> nafasi tu. Mbunge yoyote wa CCM anaweza kufanya vizuri zaidi ya Pinda na
> Lowassa- katika mfumo bora zaidi. Lakini katika huu mfumo tulionao ambapo
> tunaviongozi watendaji wawili (executives) yaani Rais na PM, hata akishuka
> Shetani mwenyewe awe PM, sitarajii makubwa!
>
>
> ------------------------------
> *From:* ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
> *To:* "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> *Sent:* Friday, December 20, 2013 11:40 PM
> *Subject:* Re: [wanabidii] Kurudi kwa Edward Lowassa
>
> Anaweza kurudi kweli. Linaweza kuwa janga lingine. Atawadanganya
> wasioelewa hadi 2015 ili apate urais na baada ya hapo sura yake halisi
> ionekane.
> Wapo wabunge wengi wanaoweza kuwa wanafaa. Tuanze na Anna Tibaijuka,
> Harison Mwakyembe, Benard Membe. nikomee hapo/. Orodha ya wanaoweza ni
> kubwa.
>
> *From:* Pauline Mengi <paulinemengi@gmail.com>
> *To:* wanabidii@googlegroups.com
> *Sent:* Friday, December 20, 2013 8:01 PM
> *Subject:* [wanabidii] Kurudi kwa Edward Lowassa
>
> Na MM Mwanakijiji
>
> Dalili zote zinaoonesha kuwa kilio cha wabunge kutaka Pinda ajiuzulu na
> hivyo Baraza la Mawaziri livunjike lina dalili moja kubwa; Lowassa's
> comeback. Sidhani kama kuna mwanasiasa mwingine yeyote ambaye anaweza
> kupata kuungwa mkono na wabunge wa CCM kama Lowassa. Kurudi kwake itakuwa
> ni kupata second chance na kujipanga vilivyo kwa ajili ya 2015. Kama siyo
> Lowassa ni mbunge gani mwingine wa CCM kutoka majimbo ya kuchaguliwa
> anayeweza kupata support na heshima ya kuwa Waziri Mkuu? Haitakuwa mara ya
> kwanza kwa Waziri Mkuu kurudia kiti chake mara ya pili.
>
> Yetu macho.
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment