Sunday 15 December 2013

Re: [wanabidii] JWTZ INUNUE HISA KWENYE MIRADI MIKUBWA

Yona, yalikuwepo makampuni kama meremeta kule geita na mzinga kule ngerengere sijui kama bado yapo, lengo la mwalimu kuanzisha jkt pia ilikuwa kujenga mahusiano kati ya jeshi na shughuli za uchumi ndo maana kule ruvu jkt kulikuwa na shamba la kuku na kiwanda cha nguo za kijeshi, mashamba makubwa kule aljoro etc, lipo shirika la suma jkt ni suala la kuliboresha tu, shida ni ufisadi ukipitia jeshini ni ngumu kidogo kuufanyia kazi.

Hili la kagame nadhani ni janja ya kuwa karibu na kaburu baada ya kutolewa balu kule vilima vya mbuzi na runyunyu.

----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: Yona Fares Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, December 15, 2013 1:50:09 AM GMT-0800
Subject: [wanabidii] JWTZ INUNUE HISA KWENYE MIRADI MIKUBWA

Ndugu zangu ,

Jeshi la nchi jirani ya Rwanda yaani RPF limenunua Hisa kwenye kampuni
kubwa ya mawasiliano nchini Afrika Kusini ya MTN pia imenunua kampuni
kadhaa katika nchi nyingine kama sehemu ya kuboresha kipato cha jeshi hilo
la Rwanda .

Hapa kwetu sijawahi kusikia Jeshi likijishugulisha na shuguli za uwekezaji
mkubwa au kwenye biashara za ushindani kama wa simu za mikononi , migodi ya
dhahabu na Kilimo .Niliwahi kusikia moja ya mchuchuma ambayo ilileta kelele
kidogo .

Ni vizuri Jeshi letu kuachwa liwekeze kwenye maeneo mengine yenye faida kwa
Jeshi hilo kwa kununua hisa kama kwenye kampuni za simu , migodi ya dhahabu
, kwenye vitalu vya gesi na hata kwenye utafiti .

Tunasikia kwa mfano uwekezaji katika gesi ni gharama sana , hivi jeshi
linashindwa kuwekeza huko mpaka tuombe mikopo mikubwa mikubwa ? Jeshi
linashindwa kuuziwa vifanda na mashamba makubwa kwa ajili ya kuwekeza kweli
?

Hawa vijana wanaoajiriwa kwenye majeshi yetu kila siku wanaenda huko
kufanya nini kama hawatumiki kwenye shuguli nyeti na muhimu kwa taifa kama
hizi ?

Jeshi lianze kutafuta fedha lenyewe za kujiendesha na kidogo litapewa toka
serikali kuu .

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment