Sunday 1 December 2013

Re: [wanabidii] HAWA NDIO MAJANGILI?

Taarifa haijajitosheleza! Cpati muunganiko wa picha na matukio ya ujangili na kuchomewa nyumba watu unaowaonesha katika picha.


On Wednesday, November 27, 2013 7:10 PM, Josephat Isango <joseisango@yahoo.com> wrote:

Wakaazi wa Singida waliochomewa nyumba zao kwa amri ya mkuu wa wilaya, kutekeleza operesheni tokomeza ujangili. Hii ni mojawapo ya zawadi tunayopokea wananchi wa Singida kwa kuchagua serikali ya CCM kwa kura nyingi, kuchomewa makazi tuliyokaa vizazi na vizazi hadi mama huyu anayeonekana kuwa na umri wa miaka zaidi ya 80 anavyoonekana.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.


0 comments:

Post a Comment