Tuesday 3 December 2013

Re: [wanabidii] Fwd: UKWELI WANGU KUHUSU UTATA RAMBIRAMBI ZA MJANE WA MWANGOSI...

HAPANA Magiri.alichofanya ni sawa.amehusishwa na tuhuma na uchuro.ni kule jamiiforums.ulitaka aache wabaya wake waendelee kutamba wakati anaweza kutoa taarifa sahihi? hata wewe kusema akili zake zinamtosha yeye mwenyewe ilikuwa kauli tata na yenye kushabikia ujinga ama utoto huo

2013/12/3 Magiri paul <kiganyi@gmail.com>

Mkuu Ludovick,
Ndio maana mwanzo nilisema Mjengwa akili yake inamtosha yeye mwenyewe. Amefanya makusudi kabisa kuandika alichoandika.

Sijui inamfaidia kitu gani, mwandishi anayeheshimika kujiingiza kwenye propaganda za kitoto kabisa, tena kupitia msiba.

Aibu sana.

Magiri.

Dau dogo huambaa mwambao, kubwa huenda kwenye kilindi.

On Dec 3, 2013 7:28 PM, "Joseph Ludovick" <josephludovick@gmail.com> wrote:
Ndugu Mbegu mjane hana tatizo na wala hakuna tuhuma za fedha yoyote kutomfikia.bali kuna mtu alikuwa chadema kwa jina la lukosi kisha alikuwa na mahusiano ya kikazi na mjengwa.baadaye akahama chadema kuelekea ccm na mahusiano yake na mjengwa yakaharibika.ni huyu aliyezusha tuhuma feki kwa ajili ya kuchafua watu tu,yaani amelenga kuwachafua chadema kwa kusema fedha hazikufika wakati anajua kuwa msigwa alizifikisha na hapohapo kumchafua mjengwa ambaye alikataa political pomposity za lukosi wakati huo

2013/12/3 embegu <embegu@hotmail.com>
Jamani wa Tz tunavyopenda malumbano yasiyo na tija! Mjane wa Mwangosi anasemaje juu ya hili?

Sent from Samsung tablet

-------- Original message --------
From: Joseph Ludovick
Date:03/12/2013 22:29 (GMT+07:00)
To: wanabidii
Cc: mabadilikotanzania
Subject: Re: [wanabidii] Fwd: UKWELI WANGU KUHUSU UTATA RAMBIRAMBI ZA MJANE WA MWANGOSI...

bandugu,habari hii ya fedha za mchango wa lukosi kwa mjane wa mwangosi ilikuwa kama mjengwa alivyoisema hapo juu.wakati huo nilikuwapo mjengwablog na malumbano hayo ninayajua. lukosi akitaka mchango ule utambuliwe na kutambulishwa kuwa ulitoka chadema UK.Mjengwa alikataa akitaka utambulishwe kuwa umetoka kwa jumuiya ya watanzania UK.kwa kweli lukosi aliwithdraw fedha zile tena kwa usumbufu mkubwa.nijuavyo,fedha hizo alipewa mchungaji Msigwa ili iwe rahisi kwake kuzitambulisha kuwa zimetoka chadema.
  haya nimeyafahamu vizuri na kwa hakika kwa sababu nilikuwa bado nikimsaidia mjengwa wakati huo.

2013/12/3 Mbunge Iringa <mbungeiringamjini@gmail.com>

MJENGWA ulipaswa useme ni hili kwani mjane wa marehemu ni jirani yangu na unajua kuwa nilishatoa hizo rambirambi , ningekushauri Kama MJENGWA ni mkweli, hoja hii ameanzisha rafiki yako Chris likosi, kwa nia ya kunichafua tu. Ebu tuwe wa kweli wa nafsi zutu

Mh. Msigwa akabidhi rambi rambi kwa mjane wa mwangosi. ikiwa ni pamoja na ule mchango walio utuma wanachama wa chadema awaliopo uingereza na mchango wa wakazi wa iringa mjini walio uchanga katika mkutano wa jumatano wiki hii alio ufanya Msigwa soko kuu iringa mjini namchango wake wa shilingi laki tano (500,000/=) nahivyo kupata jumla ya rambi rambi shilingi (1868000/=) alioitoa jana nyumbani kwa mjane huyo maeneo ya kihesa kilolo. Ndugu zangu tuache siasa nyepesi fedha hizi zilikabidhiwa siku nyingi wakati wa msiba . Ukitaka kuthibitisha unaweza kuwasiliana na mjane wa marehemu.

On Tuesday, December 3, 2013, Maggid Mjengwa wrote:

Ndugu zangu,

Cris Lukosi ameandika haya kwenye Jamii Forums jana...

"Nndugu zanguni

Naona kila kukicha makamanda wa chadema wamekuwa wakiendeleza ile singo yao ya rambi rambi dhidi yangu.

Huu wimbo umenikera sana na nadhani sasa ni wakati muafaka kwa Mchungaji Msigwa kujitokeza hapa na kutoa ufafanuzi ziliko hizo hela ambazo mimi nilizifikisha kwake kupitia Maggid Mjengwa

Sio vyema kwa kiongozi wa dini tena mbunge kukaa kimya kwenye suala kama hili.

Watu walitoa kwa moyo, hivyo ni vyema wajue hela zao kama zilifika au zilitumika kwenye mikutano ya pale mwembetogwa

JITAMBUE!"-

Mwingine amechangia...

"JF Senior Expert Member Array

Default Re: Namuomba Mchungaji Msigwa aje hapa kutueleza ziliko rambirambi za Mwangosi nilizompa.

Hapa kuna watu watatu wanaoujua ukweli wa nani ametafuna pesa za rambi rambi. Chris Lukosi, Maggid Mjengwa, au Mchungaji Msigwa. Lukosi anasema amekabidhi pesa kwa Mjengwa, sasa kama Msigwa anakanusha hakupewa pesa, basi pesa aidha zimeliwa na Lukosi au Mjengwa. Tunataka Maggid Mjengwa aje hapa athibitishe kama ni kweli alikabidhiwa pesa na Lukosi? Na yeye jee alizikabidhi kwa Msigwa?
Embu mwenye namba ya simu ya Mjengwa aiweke hapa tafadhali. " ( Chanzo JF)

Ukweli wangu:

Kwa kufuatilia mjadala kwenye mada hii mtandaoni nimeona dhahiri, kuwa wasionitakia mema wameanza hila za kuliingiza na kulichafua jina langu na rekodi yangu ya kujitahidi kuishi na kutenda yalo mema na kwa uadilifu. Na mengine si ya kuyapuuzia, maana kuna wenye kuamini upuuzi pia. Ndio sababu nimeamua kuweka ukweli wangu hapa...

Baada ya kuawa kinyama kwa rafiki na mwanafamilia mwenzetu katika tasnia ya habari, Daud Mwangosi, niliitisha harambee kupitia Mjengwablog ili kumsaidia mjane wa marehemu na watoto wake.

Yafuatayo yawe wazi;
1. Ni kweli kuwa Cris Lukosi kupitia nduguye Augustino Lukosi aliniingizia shilingi milioni moja kwenye akaunti yangu ya MPESA kama mchango wa rambirambi uliokusanywa UK kutoka kwa wanachadema Lukosi akiwa mwenyekiti wao.( Angalia siku, tarehe na muda kwenye kiambatanishi)
2. Kwenye orodha ya wachangiaji niliorodhesha mchango huo kama kutoka kwa Jumuiya ya Watanzania UK. Ni kwa vile kama mratibu, niliweka wazi kuwa suala hili la msiba na rambirambi halihusiani na itikadi za vyama.
3. Cris Lukosi hakukubaliana na utaratibu huo na kunitaka niwakilishe mchango wao kwa Mh. Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini na uwakilishwe kwa mjane wa marehemu Mwangosi kama mchango kutoka kwa WanaChadema UK. Nilifanya kama alivyotaka Lukosi ( Ushahidi ni kiambatanisho hapo chini).

Hitimisho: Ukweli wangu ndio huo. Hakuna hata senti moja ya rambirambi kwa mjane wa marehemu Mwangosi iliyopotea mikononi mwangu. Na chini hapo ni risiti ya CRDB ikionyesha fedha zote zilizochangwa na nilizoziingiza kwenye akaunti ya Itika Mwangosi, mjane wa marehemu Mwangosi. Ushahidi wa majina ya waliochangia na kiasi walichochanga pia upo.

Nimeyaweka haya hadharani kwa nia njema ili kuzuia upotoshaji na hali ya kuchafuana majina kama ningeamua kubaki kimya.

Nawashukuru nyote mnaoendelea kuniamini hata mnaposikia yenye kuzushwa juu yangu.

Wenu Katika Ujenzi wa Nchi Yetu.

Maggid Mjengwa.
Iringa.
0754 678 252

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment