Monday 2 December 2013

Re: [wanabidii] Dk Kitila Mkumbo asimamishwa uongozi UDSM-DUCE

Zote hizo ni zuga tu, katika mambo yaliyo kuwa yanatufanya baadhi yetu kumshutukia Kitila kwamba alikuwa CDM kama pandikizi ni hili ambalo DUCE wameliweka wazi sasa hivi. Huko nyuma huyo bwana alikuwa CCM ghafla akaamia CDM na kujipatia nafasi ya juu na kuanza kuidhiaki serikali huku akiwa na madaraka ndani ya chuo kinachomilikiwa na seriaki hiyo hiyo, tunavyowajua hao jamaa wa magamba huyo Mkumbo ni kitu gani kiliwafanya kumuogopa kiasi hicho na kushindwa kumfanyia mizengwe? Zilipotoka tetesi za kumhusisha na usaliti ndo wengi tukajaribu kupata jibu la kitendawili hicho cha siku nyingi.
 
DUCE waache kutuzuga bila shaka walijua siku nyingi lakini kulikuwa kitu kingine nyuma ya pazia
Na sasa wameona hicho alichokuwa akifanya Mkumbo kinaweza kuwaletea shida baadaye kwa waadhiri wengine ambao pengine watakuwa hawajatumwa na mtu wakiamua kujikita kwenye politique za uwazi na ukweli
2013/12/2 denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
Hao DUCE sio wajinga. Wanataka kujifunza from other people's mistakes. Inawezekana mkali alikuwa na waraka mwingine wa kubadilisha uongozi wa chuo kwa njia za kidemokrasia!!!!!!

2013/12/2 Johale Magere <johale14@gmail.com>

Thae grain of wheat

On Dec 2, 2013 1:28 PM, "Monica Malle" <moninaike@hotmail.com> wrote:
Nao chuo waache uzushi kwani muda wote hawakujua kwamba Dr. alikuwa na wadhifa kwenye chama cha CHADEMA?
Mbona muda wote walikaa kimya mpaka ametimuliwa huko kwenye chama na wao ndio wanajifanya eti anavuliwa madaraka ya uongozi DUCE kwa vile alikuwa anajishughulisha na siasa. Uongozi wa UDM uache unafiki na nidhamu ya woga yote hayo waliyajua tokea kitambo mbona hawakuchukua hatua muda wote huo??  Wamesubiri mpaka mtu akapata majanga na wao wakamwongezea yakwao. Pole Dr. K. Mkumbo.

Date: Mon, 2 Dec 2013 11:04:34 +0300
Subject: [wanabidii] Dk Kitila Mkumbo asimamishwa uongozi UDSM-DUCE
From: hamisznz@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Taarifa zinasema kuwa uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam umemvua kwa muda Mhadhiwa Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk Kitila Mkumbo madaraka ya kuongoza Kitivo cha Elimu cha Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Dar es Salaam (DUCE).

Hatua hiyo inatajwa kuchukuliwa baada ya uongozi wa UDSM kupata taarifa kwenye vyombo vya habari kuwa Dk Kitila Mkumbo alikuwa kiongozi wa chama cha siasa, CHADEMA wakati angali ni mtumishi wa umma, jambo ambalo Uongozi wa chuo hicho umekariri kuwa ni kinyume cha sheria ya nchi na Serikali kwa mfanyakazi wa umma kushika wadhifa katika chama cha siasa.

Kutokana na uamuzi wa chuo hicho, Dk Kitila aliandikiwa na kukabidhiwa barua ya kusimamishwa kwake wadhifa huo.

Dk Kitila bado ataendelea kuwa Mhadhiri Mwandamizi kwenye kitivo hicho. 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Wasalaam,
 
Denis Matanda,
Mine Planning Supt,
Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"

0 comments:

Post a Comment