Tuesday 29 October 2013

Re: [wanabidii] Samsoni mwigamba

Mwanakatwe umenena ukweli, hawa jamaa wanakuja kulalamika huku mitaani lakini hata sisi tulio nje kwa kuangalia taarifa chache tu zinazoripotiwa utagundua wasaliti wapo na wako active kwenye vyama. Pia wanasiasa vijana wamekua na moto wa kutaka kutoka bila hekima na kutafakari matokeo yake wakiminywa wanapiga kelele eti nabaguliwa kwa kuwa mm ni dini fulani, mara kuna hili mara kuna lile. wanatafuta umaarufu kwa njia ambazo wakati mwingine zinaumiza vyama vyao ni shida tu.

Kwa chama kama chadema jinsi wanavyokimbizwa na kuwindwa na mahasimu wao then ghafla wanagundua kuna mchwa ndani ya chama lazima wamuondoe tu. tena mimi napenda style hii wakiona msaliti wanadeal naye straight.

Kimsingi viongozi na wanasiasa wote ni wanadamu hakuna malaika, mambo ambayo wanakurupuka kutuandikia kwenye mitandao sisis tulio nje tunajuaje kama ni kweli?? si wakaelezane kwenye vikao!!

On Monday, October 28, 2013 7:05 PM, Thobiass Mwanakatwe <mwanakatwe2005@yahoo.com> wrote:
Usaliti haufai kwenye vyama vya siasa ukibainika ujue lzm cha moto utakipata. Suala la kuwachukulia hatua wasaliti kimsingi halipo Chadema tu hata vyama vingine, mfano hivi karibuni Mbunge wa Kiembe Samaki kupitia CCM alipigwa chini kutokana na madai ya kusaliti chama chake, kimsingi wanachama na viongozi wa vyama vya siasa muwe makini mtekeleze majukumu yenu ipasavyo na kama kazi huwezi ni bora ukakaa pembeni.

By. Thobias

From: mchangehabibu <mchangehabibu@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, October 28, 2013 6:45 PM
Subject: [wanabidii] Samsoni mwigamba

Wakubwa.
Natanguliza pole dhati kabisa kwako mpiganaji mwigamba.

Nakupa pole kwa kuwa nawe umeingizwa kwenye kundi la wasaliti.
Kwenye chadema msaliti ni yule anayeweza kusimamia kweli na haki bila kujali reaction ya slaa Na mbowe,
CHACHA ZAKAYO WANGWE kabla hajafariki aliitwa msaliti na kwmba anatumiwa na ccm sisi tulipewa mpaka pesa tutoe tamko kumlaani(tamko alilotoa marehemu Kikoti aliyekuwa mwenyekiti wa chadema temeke kipindi cha uhai wake) japo matamko yote hayo yaliandaliwa Na mnyika na slaa.

Alipokufa hakuitwa tena msaliti, akageuka gafla na kuitwa kamanda, hata Tanzania daima nalo liliandika makala za kumsifia.

Akaja zitto kabwe naye akaitwa msaliti, na kwamba anatumika na ccm. Ni bahati tu zitto amejiwekea mizizi mikubwa sana kwa wananchi ndio maana mpaka Leo anaendelea kuwa mwanasiasa mwenye nguvu na mwenye kuaminiwa sana.

Marehemu Philip magadula shelembi aliyekuwa mwenyekiti was chadema mkoa w shinyanga naye aliitwa msaliti mpaka umauti unamkuta.

Mimi niliyekuwa nikiitwa  kamanda kipindi hicho nikaja kugeuzwa kuwa msaliti namba moja baada ya wangwe Na zitto.

Mwampamba akawa msaliti Na shonza naye akawa msaliti.

Leo umeongezeka mwigamba kwenye kundi la wasaliti.

Pole sana naamini hautakuwa wa mwisho. Bado watatokea wengine wasaliti zaidi na zaidi.

Habib Mchange
Futian District,
Shenzen, GuangDong
China.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment