Monday 28 October 2013

RE: [wanabidii] RAIS KIKWETE ANAWEZA KUONDOKA KABLA YA CCM 2015

Ngupula,
umejipa ukuwadi wa urais kwa el au amekuomba uwe kuwadi wake? Au nawe ni mnufaika wa michangisho yake ya makanisani? Naona unamwaga tu vifungu vya baibo. Acha hizo bro.------------------------------ On Sun, Oct 27, 2013 18:36 PDT ngupula@yahoo.co.uk wrote: >Duh,dadangu muhingo,sasa hayo mambo ya uwaziri yanatoka wapi? It seems kumbe tunapozungumzia yanayodhaniwa mabaya ya lowasa lengo lake ni kupigia debe mtu mwingine...am not in that business ma sista? My bible teaches me that 'you must not judge,if that must be,then judge rightously'...lowasa is right,ameamua kutumia vyake kwa raha zake,aachwe..je,angeamua kuongeza idadi ya wake zake na kila mmoja kumjengea magorofa 2 na bmw 2 za kutembelea mngehoji kama hizo hela ni za madawa ya kulevya?....kwa mtazamo wangu,yeyote anayempinga lowasa ktk hili ni wivu wake na hofu tu..kama kutoa ni umaarufu na mtaji kisiasa,naye atoe ktk alivyonavyo kwan kutoa ni moyo na si utajiri...ninawasih watazania wote,toeni ktk
mlivyonavyo ili kazi ya Mungu isonge mbele..ni aibu sana sisi kuishi kwenye majumba mazuri na mahari pa kuabudia ni makuti na viti vya kukalia ni matofali kana kwamba hakuna watz wenye hela..hatumtendei haki Mungu hata kidogo..mi mwenzenu nina uchungu sana ktk hili kwani mke wangu ni mchungaji,kiwanja cha kanisa kimeazimwa na kanisa letu ni la makuti tu...ndio maana nasema mitazamo mengne is just lack of understanding,mnahitaji kusamehewa bure..ngupula >-----Originalssage----- >From: ELISA MUHINGO >Sent: 27/10/2013, 11:47 pm >To: wanabidii@googlegroups.com >Subject: Re: [wanabidii] RAIS KIKWETE ANAWEZA KUONDOKA KABLA YA CCM 2015 > > >Sasa nimeelewa. katika kuhakikisha malengo ya kipuuzi yanatimia hatuhitaji kujiuliza mtu huyu anapata hela wapi iwe amepewa na wajomba watakaotaka kutuibia akiingia Ikulu au za madawa ya kulevya, ili mradi anachangia makanisa na misikiti. Unafaa kuwa waziri wake wa nidhamu > > > >________________________________ >From:
"ngupula@yahoo.co.uk" <ngupula@yahoo.co.uk> >To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com> >Sent: Sunday, October 27, 2013 11:14 PM >Subject: RE: [wanabidii] RAIS KIKWETE ANAWEZA KUONDOKA KABLA YA CCM 2015 > > >TRA nafikiri kazo yao ni kukusanya kodi ya  mapato ya mtu..hawana ruksa hata kidogo kuja kumuuliza mtu wakati anatumia pesa yake eti hela hiyo imelipiwa kodi? Ujinga mkubwa itakuwa ni kuhoji hela mtu ambayo anaitoa kwa ajili ya jamii..nafikiri ndio maana TRA ndio maana hawakuwa na majibu..maswali kama hayo busara ni kupotezea tu..ngupula >-----Original Message----- >From: ELISA MUHINGO >Sent:  27/10/2013, 11:01  pm >To: wanabidii@googlegroups.com >Subject: Re: [wanabidii] RAIS KIKWETE ANAWEZA KUONDOKA KABLA YA CCM 2015 > > >Ngulupa humu kuna vipofu wengi. >Wako wasiotofautisha kati ya kuchangia na kuchangisha. Yaani mtu kila kukicha wakati anachangisha anachangia milioni ishirini, hqmsini, kumi. Ukiuliza TRA kama zimelipiwa
kodi hukuti jibu sahihi. Watu waliotiwa upofu hawaoni hilo wanaona anachangisha tu Na hao ni vipofu ila sikujua kama ulimaanisha hao > > >________________________________ >From: "ngupula@yahoo.co.uk" <ngupula@yahoo.co.uk> >To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com> >Sent: Sunday, October 27, 2013 7:17 PM >Subject: RE: [wanabidii] RAIS KIKWETE ANAWEZA KUONDOKA KABLA YA CCM 2015 > > >Watanzania ni wepesi sana kujua unachoshindwa na wako tayari hata kupoteza miaka 5 kuzungumzia madhaifu yako..lakini kamwe hawawezi kujisumbua kuangalia unaweza nini na wafanyaje kukusaidia uwasaidie...leo hii mtu mwenye akili zake timamu analaumu waziwazi lowassa kusaidia kuchangisha fedha ili kusaidia kujenga nyumba za ibada na nk..eti anaita huko nako ni ufisadi..kimsingi mtu huyu ni mpofu wa kiroho na upeo wake kisiasa ni of single dimension..hajui dini zina sehemu gani ktk maisha ya mtanzania na mustakali wa taifa..haelewi pia changamoto za dini
nyingi ni nini na  nini kifanyike ktk taifa hili ktk changamoto hizo... Haishangazi,hata Yesu alipokuwa anahubiri ufalme wa Mungu,wengine walimuona ni mkombozi,wengine walimuona hatari..mimi kauli yangu ni hii HAKUNA YEYOTE ATAYESHINDA KITI CHA URAIS TZ 2015 KWA KUJIFICHAFICHA. Tuliyafanya makosa hayo 2005 tukamchagua tuliyedhani tunamjua kumbe hatukumjua..the coming election,watz tuko tayari kuongozwa hata >na mwizi kama ana uwezo wa kutusaidia..kuliko kumchagua tunayedhani ni mbwa kumbe ni simba au panya..ngupula >-----Original Message----- >From: ELISA MUHINGO >Sent:  27/10/2013, 12:20  pm >To: wanabidii@googlegroups.com >Subject: Re: [wanabidii] RAIS KIKWETE ANAWEZA KUONDOKA KABLA YA CCM 2015 > > >Lakini Yona >Kikwete kama unavyosema Katabiri. >Kutabiri si kulaani. Kutabiri ni kusema kesho mvua itanyesha na ikinyesha si wewe uliileta. La. Uliona dalili. hapo haitegemewi kumpiga madongo aliyetabiri ila ni mwenye akili kushika mwavuli. >Kuanguka
kwa CCM kunaelekea kufikia hatua ya kutoepukika na wala shida si Kikwete anayemaliza muda wake bali wanaotaka kuingia. Habari za wahuni kugawa rushwwa kwa Makatibu wa wilaya na mikoa hazijakanushwa na wala hakuzigawa JK. Kumshughulikia JK ni ujinga wa hali ya kuelekea upumbavu nmaana anaondoka kweli. Iwe 2015, 2014 au 1016 lakini anaondoka. Watanzania wanaweza kuvumilia madhaifu yake maana anamaliza muda na umebaki mfupi. Watanzania wanamuogopa huyo anayesambaza hela makanisani, misikitini, Jumuia za chama chake na sasa makatibu wa mikoa na wilaya. Huyo ni mmbaya zaidi na kama JK anawasaidia waTanzania kumuepuka tunamshukuru sana. Chama chetu kikimuangusha waTanzania tutamdaka na kumuweka chini asivunjike > > >________________________________ >From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> >To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>; Wanazuoni <wanazuoni@yahoogroups.com> >Sent: Saturday, October 26, 2013 10:20 AM >Subject: [wanabidii] RAIS KIKWETE ANAWEZA
KUONDOKA KABLA YA CCM 2015 > > > >Ndugu zangu  > >Nimesoma habari kadhaa asubuhi ya leo vikikariri kauli ya rais kikwete ambaye ni mwenyekiti wa ccm kwamba ccm inaweza kuongoka mwaka 2015 . > >Kauli hii nyepesi haiwezi kupita hivi hivi bila kuambiana ukweli . > >Huyu raisi kikwete anayeitabiria CCM kuanguka mwaka 2015 anaweza kuanguka yeye mwenyewe aondolewe kwa kuondolewa kwenye nafasi ya mwenyekiti wa CCM taifa na rais wa Jamhuri kwa ujumla tena na wabunge wake wenyewe maana amechangia zao la CCM la sasa yeye kama mwenyekiti hata kama ameifanyia nini CCM na TAIFA kwa ujumla . > >Tunakumbuka kuanzia mwaka 1995 alipokatazwa kugombea urais na wakubwa wa CCM alianza kutengeneza mtandao wa kumwingiza madarakani mwaka 2005 – Kwenye mbio hizi tunaona propaganda na ubaguzi uliotumika dhidi ya wana CCM wenzake haswa salim ahmed Salim aliyeitwa Majina ya kibaguzi baguzi . > >Mwaka 2005 kuelekea 2010 rafiki yake kipenzi aliachia ngazi kama waziri mkuu kesi
hiyo mpaka leo haijulikani iliishia wapi na hakuna mtu aliyefikishwa mahakamani au hata kusikia ameshinda au kushinda kesi . > >Mwaka 2010 makundi ambayo yaliasisiwa na kikwete mwenyewe yanaendelea kimpango wao , baadhi yao walienda kuanzisha chama cha CCJ lakini wakaacha baada ya kupewa uwaziri na nafasi nyingine ndani ya CCM ,ubaguzi ule ulioanza miaka hiyo unaendelea kutafuna ndani ya CCM na Taifa kwa ujumla . > >Mwalimu JK – Bila CCM imara nchi itayumba  > >Na ndio sasa tunaona CCM Si imara kama ilivyokuwepo miaka kadhaa iliyopita sasa hivi nchi inayumba kuanzia ubaguzi wa kidini , mkoa , ukabila , uchama na rangi yote haya yamekuwa ni fahari kwa baadhi ya makundi ya watanzania kuongelea na kusifiana . > >MCHAKATO WA KATIBA  > >Mara kadhaa rais kikwete amekutana na viongozi wa vyama vya upinzani ikulu kwake yeye na kwa wenzake wanaomshauri vibaya anaona Sifa na ni democrasia kitu ambacho sio kwamba amekubali kusaliti CCM yake kwa vyama vya
Upinzani huko Ukulu . > >Hivi vyama vya upinzani viliondoka vyenyewe bungeni kwa kususa na waliobaki walipiga kura kwa kukubaliana sasa iweje rais ambaye ni mweyekiti wa chama kilichopigia kura rasimu bungeni awaite na wabadilishe mambo ina maana hakubaliani na ule wingi wa wabunge wake ? > >MWISHO . >Nasema na nasisitiza kwamba kabla ya mwaka 2015 rais kikwete anaweza kungoka yeye mwenyewe kwa kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye na wabunge wake mwenyewe ndani ya bunge kama akiendelea na hizi tabia tabia zake . > >Tunashukuru kwa yale aliyoyatendea taifa hili lakini kwa hali ilivyosasa hivi yeye ashike nafasi yake la sivyo yeye ndio ataondoka ikulu kwa aibu  > >-- > >Find Jobs in Africa Jobs in Africa >International Job Opportunities International Job Opportunities >Jobs in Kenya Jobs in Kenya >-- >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com >  >Kujiondoa Tuma Email kwenda >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma >  >Disclaimer: >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. >--- >You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. >To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. >For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. > >-- >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com > >Kujiondoa Tuma Email kwenda >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma > >Disclaimer: >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly.
Your continued membership signifie

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment