Wednesday 23 October 2013

Re: [wanabidii] 12 Bora za Rais Jakaya Mrisho Kikwete

Mutasingwa

UFISADI ulikuwepo tangu enzi za mwalimu, Mwinyio pamoja Mkapa,
isipokuwa hakukuwa uhuruwa kuanikwa kama ilivyo sasa, wakati huu mambo
yapo hadharani tufauti wakati ule mambo yanafichwa fichwa,

Heko JK kwa kuwafanya watanzania kuwa na uhuru wa fikra ambao huko
nyuma haukuwepo,

On 10/23/13, bertmutta@yahoo.com <bertmutta@yahoo.com> wrote:
> Jitahidi kuwa mnasoma kwa makini hoja ya mtu kwa sababu udhaifu pamoja na na
> mazuri yametajwa na rehema Kikwete. Hata hivyo kwa suala la kuongezeka kwa
> ufisadi mimi binafsi naona hatufai kwani ndicho chanzo cha matatizo mengi ya
> kimaendeleo Tanzania. Si sahihi mfano kutaja vipaumbele vya maendeleo
> Tanzania bila kuanza na Utawala bora kwani  uwekezaji katika nishati, elimu
> na kilimo umekuwa mkubwa kuliko mafanikio. Je, shida ni raslimali au
> matumizi mabaya?
>
>
>
> Gosbert Christopher Mutasingwa
> P.O.BOX 107
> BIHARAMULO
>
>
> 0784 857 775/0758 491 247
>
>
>
> On Wednesday, October 23, 2013 2:06 PM, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:
>
> Na sisi wakulima ambao ndo tulio watanzania wengi tusemeje?
>
>
>
>
> 2013/10/23 salum mkango <salumkango@yahoo.com>
>
> Watu wanafikiri kuongoza nchi ni sawa na kuongoza NGO ya watu watano eeeeh.
> Uhuru wa kuzungumza na kuandika aliowapa Kikwete ndio unaofanya mengi
> yajulikane kuliko ilivyokuwa kwa marais wengine.
>>
>>Kwa sisi wafanyakazi wa Serikali, tusipomshukuru Rais Kikwete mungu
>> atatulaani. Kwani ndiyo kipindi pekee ambacho atleast mishahara yetu
>> imetuwezesha kupata mikopo ya kuweza kujenga hata vibanda vya kujihifadhi
>> na familia zetu.
>>
>>Kama hushukuru kidogo ulichofanyiwa hata kikubwa hutoshukuru.
>>
>>Kikwete si nabii wala malaika. Na alikuwa na timu anayofanya nayo kazi.
>> HONGERA KIKWETE, HONGERA AWAMU YA NNE. Good Work.
>>
>>
>>From: mngonge <mngonge@gmail.com>
>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>Sent: Tuesday, October 22, 2013 11:38 PM
>>
>>Subject: Re: [wanabidii] 12 Bora za Rais Jakaya Mrisho Kikwete
>>
>>
>>
>>Hakuna kiongozi yeyote duniani ambaye hana zuri hata moja, iwe kwa
>> kudhamiria au kwa kutodhamiria viongozi wote duniani wanayo mazuri yao na
>> mabaya yao.
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>2013/10/22 Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com>
>>
>>Ayii Mtume !!!!!  Sasa mmeanza kumuonea Kikwete.  Maskini !!!!  Hata hoja
>> mmeibadilisha tiyari. Kwani Kikwete ni malaika jameni? Si kila binaadam
>> ana kosoro zake? Ndio kakosea mwana wa Bagamoyo lakini lazma kuna mengi
>> ametimiza yanayo endeleza hatma ya muungano wa Jamhuri na kukidhi
>> matarajio ya Watanzania. Mbona tusiyataje yale positives? Nani kati yenu
>> hajakosea maishani mwake nyie mnaorusha mawe?
>>>
>>>Courage
>>>
>>>
>>>
>>>
>>>
>>>
>>>2013/10/21 Paschal Leon <paschalleon@yahoo.com>
>>>
>>>25. Jitihada za maisha bora kwa kila mtanzania lakini watanzania
>>> wanamwangusha kwa kufikiria maisha bora bila kujituma kwa bidii.
>>>>26. Kupigania haki za wanawake usawa katika uongozi
>>>>27. Kupiga vita ufisadi, madawa ya kulevya na ugaidi
>>>>Amefanya mengi kwa kweli; tuache mzaha.
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>On Monday, October 21, 2013 7:35 PM, Mike Zunzu <mikezunzu@yahoo.co.uk>
>>>> wrote:
>>>>
>>>>21 Kuongeza hospitali za rufaa nchini bila kujali zimepata vifaa
>>>> vinavyostahili au laa
>>>>22. Ununuzi wa bajaji kuwasaidia kina mama wajawazito wawahishwe hosptali
>>>> wakati wa kujifungua.
>>>>23 Tanzania kuwa "Industrialised by 2025"
>>>>24 Mpango wa kila mwalimu kuwa na kompyuta
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>On Monday, 21 October 2013, 14:42, Gikaro Ryoba <gikaroryoba@yahoo.com>
>>>> wrote:
>>>>
>>>>16. Amewaalika Obama, Bush na Clinton kuja Tanzania.
>>>>17. Ameongeza safari za nje kwenda kutafuta "wawekezaji".
>>>>18. Amekuwa Rais wa kwanza katika historia ya Tanzania kuwaomba wezi wa
>>>> EPA wamletee fedha za umma walizoiba, yeye (Kikwete) akazipokea na
>>>> kuzitia mifukoni mwake.
>>>>19. Katika kipindi cha utawala wake polisi wameongoza kuwaua waandishi wa
>>>> habari na wakosoaji wa serikali yake, pamoja na kuvikandamiza vyama vya
>>>> upinzani.
>>>>20. Amefanikiwa kuongeza adui mmoja wa maendeleo kutoka watatu wa awali
>>>> (ujinga, maradhi na umaskini) hadi wanne wa sasa (ujinga, maradhi,
>>>> umaskini na UFISADI).
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>On Monday, October 21, 2013 2:42 PM, Emmanuel Muganda
>>>> <emuganda@gmail.com> wrote:
>>>>
>>>>Amewaacha Watanzania katika ufukara zaidi ya alivyowakuta huku
>>>> akitajirisha familia yake.
>>>>
>>>>Sent from my iPhone
>>>>
>>>>On Oct 21, 2013, at 2:32 PM, Lemburis Kivuyo <lembu.kivuyo@gmail.com>
>>>> wrote:
>>>>
>>>>
>>>>13. Amefanikiwa kuileta timu ya Brazil na kuitangaza Tanzania dunia
>>>> nzima
>>>>>14. Ameanzisha zoezi la Katiba mpya ili kuizaa Tanzania mpya baada ya
>>>>> awamu yake kuisha
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>______________________________________________Real Change for Real
>>>>> Development,
>>>>>
>>>>>Lemburis Kivuyo
>>>>>+255654650100 - Website: www.kivuyo.com,
>>>>>Unlimited Webhosting at TZS. 10,000/-/Month - www.webstar5.net
>>>>>
>>>>>
>>>>>2013/10/21 Rehema Kikwete <rehemaki@gmail.com>
>>>>>
>>>>>1. Ujenzi wa Sekondari za Kata ni maamuzi sahihi ingawa yana changamoto
>>>>> zake zinazoweza kutatuliwa na watakaomfuatia, lakini hapa JK ametumia
>>>>> madaraka yake vizuri
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>2. Ameendelea na uendelezaji wa Miradi ya Barabara, suala lililoanza
>>>>>> kujitokea wakati wa awamu ya 3, JK ameendelea nalo suala hilo kwa kasi
>>>>>> kubwa na kwa kipindi chote
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>3. Daraja Kigamboni, Malagarasi na Kilombero ni miongoni mwa mambo
>>>>>> yatakayokumbukwa forever
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>4. Ongezeko la Taasisi za Elimu ya Juu limefanyika vizuri sana katika
>>>>>> awamu ya Kikwete, mbali na UDOM lakini taasisi na vyuo vingi
>>>>>> vimeimarishwa, kupandishwa hadhi na vyuo vingi binafsi vimeanziswa.
>>>>>> Kwa sasa Taifa haliko tena na dhana ya UDII, Mzumbe na SUA. Aidha ari
>>>>>> na moyo wa watanzania kulipia huduma za elimu umeongezeka.
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>5. Kumekuwa na ongezeko kubwa la ajira ukilinganisha na awamu mbili
>>>>>> zilizomtangulia. Mkapa aliendesha Serikali nyembamba, suala ambalo ni
>>>>>> zuri lakini lina changamoto zake kwa wale waliokuwepo wameliona hata
>>>>>> akapewa sifa ya mzee wa "ukapa"
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>6. Mradi wa Bomba la Gesi kutoka Mtwara kwa lengo la kutatua kero ya
>>>>>> Umeme ni hatua nzuri ambayo haijawahi kufanywa katika awamu ya 2 na ya
>>>>>> Tatu (Vyanzo vya Nishati)
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>7. Mradi wa Ujenzi wa Kiwanda cha Chuma (Kule Liganga?) ambao
>>>>>> maandalizi ya ujenzi wake yamekamilika ni hatua nzuri ili kuvutia au
>>>>>> kuanzisha uwekezaji wa zana za Chuma pamoja na Viwanda vikubwa.
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>8. Hatua ya Kujenga Bandari mpya eneo la Bagamoyo yenye hadhi ya 4th
>>>>>> Generation ni tukio litakalokumbukwa na vizazi Dahri vijavyo.
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>9. Hatua ya Utekelezaji wa mradi wa DRT ambao ulikuwepo miaka mingi pia
>>>>>> ni miongoni mwa mazuri yaliyotendeka katika awamu ya JK
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>10. Zoezi la kutambua na kuwarudisha kwao wahamiaji haramu pia ni zoezi
>>>>>> zuri ambalo bila shaka halijawahi kufanywa katika uongozi wa awamu
>>>>>> nyinginezo kwa kiwango na utashi wa namna hiyo
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>11. Kitendo cha utekelezaji wa mradi wa vitambulisho vya Taifa ni
>>>>>> credit kubwa kwa JK ambao hakuna sababu za wazi kwanini nchi imekaa
>>>>>> miaka 50 pasipo na vitambulisho vya uraia kwa wakazi wake na raia
>>>>>> wake
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>12. Ameendelea kuiweka Tanzania kwenye mahusiano mazuri kimataifa
>>>>>> hususan SADC, UN na nyanja nyingine za Kitaifa. Ukiacha EAC ambayo
>>>>>> sababu za kuzorota kwake ziko wazi, lakini maeneo mengine ame-play
>>>>>> well.12--
>>>>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>>>
>>>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>>> ukishatuma
>>>>>>
>>>>>>Disclaimer:
>>>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>>>> facts must be presented responsibly. Your continued membership
>>>>>> signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our
>>>>>> Rules and Guidelines.
>>>>>>---
>>>>>>You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>>> Groups "Wanabidii" group.
>>>>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>>>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>>
>>>>>--
>>>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>>
>>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>> ukishatuma
>>>>>
>>>>>Disclaimer:
>>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
> facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies
> that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>>>>>---
>>>>>You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>> Groups "Wanabidii" group.
>>>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>
>>>>--
>>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>
>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>>
>>>>Disclaimer:
>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>> facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies
>>>> that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>> Guidelines.
>>>>---
>>>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>>> "Wanabidii" group.
>>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
> send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>
>>>>
>>>>--
>>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>
>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>>
>>>>Disclaimer:
>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>> facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies
>>>> that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>>---
>>>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>>> "Wanabidii" group.
>>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>
>>>>
>>>>--
>>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>
>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>>
>>>>Disclaimer:
>>>>Everyone posting to this Forum bears
> the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings,
> and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued
> membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide
> by our Rules and Guidelines.
>>>>---
>>>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>>> "Wanabidii" group.
>>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>--
>>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>
>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>>
>>>>Disclaimer:
>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>> facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies
>>>> that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>> Guidelines.
>>>>---
>>>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>>> "Wanabidii" group.
>>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>
>>>--
>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>>Disclaimer:
>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.
>>>---
>>>You received this
> message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>--
>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>---
>>You
> received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>>--
>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>---
>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment