Wednesday 23 October 2013

Re: [wanabidii] MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE KUWA MARAISI TZ

Matinyi, point!

Sent from my iPhone

On Oct 23, 2013, at 3:23 PM, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:

Kikwete kawa rais mwaka 2000?

2013/10/23 Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
Mkapa hakuwa rais wa Tanzania kwa sababu eti aliwahi kuwa waziri wa mambo ya nje, tena zamani kabisa enzi tunapigana na Idi Amin. Mkapa alikuwa rais wetu kwa sababu Nyerere alitaka iwe hivyo.
 
Kikwete hakuwa rais wetu kwa sababu alikuwa waziri wa mambo ya nje bali kwa sababu alijiandaa vema kwenye kampeni za ndani ya chama tawala na akafanikiwa kuwashinda wenzake kwa mbio.
 
Kama Membe atakuja kuwa rais wa Tanzania, sidhani uwaziri wa mambo ya nje ndio itakuwa sababu. Kwa maana nyingine, je tunaweza kuthibitisha hoja kwamba kama asingekuwa waziri wa mambo ya nje ina maana asingekuwepo kwenye kufikiriwa ama yeye mwenyewe kujifikiria kuwa rais?
 
Je, tutasemaje kwa wengine waliowahi kuwa mawaziri wa mambo ya nje na kisha wakashindwa kuwa marais wa Tanzania, mfano mzuri ukianza na Oscar Kambona na mwisho kabisa Salim Ahmed Salim?
 
Nafikiri kujenga hoja hii - kama ambavyo Raila Odinga alivyosema kwa utani siku ya sherehe ya kumuaga Prof. Anna Tibaijuka pale Nairobi, kwamba uwaziri wa mambo ya nje wa Tanzania huzaa urais - ni kujenga hoja nyepesi na kuunyima ubongo fursa ya kufikiri. Hii inaweza kuwa ni bahati iliyotokea lakini hakuna uhusiano wa moja kwa moja.
 
Matinyi.
 
Date: Wed, 23 Oct 2013 14:35:28 +0300
Subject: [wanabidii] MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE KUWA MARAISI TZ
From: hamisznz@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Mkapa alikuwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa akaja kuwa rais wa Tanzania mwaka 1995 

Kikwete alikuwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa akaja kuwa rais mwaka 2000

Benard membe ni waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa . Je anaweza kuja kuwa rais wetu ifikapo 2015 ?

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment