Sunday 3 September 2017

[wanabidii] TGNP yaweka wazi malengo ya Tamasha la Jinsia 2017

TGNP yaweka wazi malengo ya Tamasha la Jinsia 2017


[caption id="attachment_81296" align="aligncenter" width="500"]<img class="size-medium wp-image-81296" src="http://s3-us-west-2.amazonaws.com/thehabari.com/wp-content/uploads/2017/09/03112409/IMG_7479-500x390.jpg" alt="" width="500" height="390" /> Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TGNP, Vicensia Shule (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari leo kuzungumzia Tamasha la Jinsia la mwaka 2017 linalotarajia kuanza rasmi Septemba 5 hadi 8 ya mwaka 2017 katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa FemAct, Abdulla Othman.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_81289" align="aligncenter" width="500"]<img class="size-medium wp-image-81289" src="http://s3-us-west-2.amazonaws.com/thehabari.com/wp-content/uploads/2017/09/03111957/IMG_7498-500x298.jpg" alt="" width="500" height="298" /> Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TGNP, Vicensia Shule (katikati) akijibu maswali anuai ya waandishi wa habari kwenye mkutano huo. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao, Bi. Lilian Liundi na Mwenyekiti wa FemAct, Abdulla Othman.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_81288" align="aligncenter" width="500"]<img class="size-medium wp-image-81288" src="http://s3-us-west-2.amazonaws.com/thehabari.com/wp-content/uploads/2017/09/03111954/IMG_7475-500x354.jpg" alt="" width="500" height="354" /> Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao, Bi. Lilian Liundi (katikati) akijibu maswali ya waandishi wa habari kwenye mkutano na vyombo vya habari kuzungumzia Tamasha la Jinsia la mwaka 2017 linalotarajia kuanza rasmi Septemba 5 hadi 8 ya mwaka 2017 katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TGNP, Vicensia Shule pamoja na wanaharakati wengine.[/caption]

&nbsp;

<strong>MTANDAO</strong> ya Jinsia Tanzania (TGNP) leo imeweka hadharani malengo makuu ya Tamasha la Jinsia la mwaka 2017 linalotarajia kuanza rasmi Septemba 5 hadi 8 ya mwaka 2017 katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na waandishi wa habari leo, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TGNP, Vicensia Shule alisema tamasha la mwaka huu litakuwa na malengo manne na lengo la kwanza ni kutafakari na kusherehekea mafanikio, changamoto zilizopo katika kuendeleza usawa wa kijinsia. Alisema hili ni kuzingatia utekelezaji wa mikataba, maazimio, sera na mikakati mbalimbali ya kimataifa.

Alisema lengo la pili ni kutathmini ushiriki wa wanawake katika michakato ya kufanya maamuzi katika uongozi, hususan uongozi wa kisiasa kwenye Serikali za mitaa. Lengo la tatu ni pamoja na kufuatilia kuhifadhi, kutambua na kusherehekea viongozi wanawake wenye michango ya kuigwa juu ya usawa wa kijinsia na uwezo wa wanawake, hususan mapambano dhidi ya mfumo dume na uliberali mamboleo.

Akifafanua kuhusiana na lengo la tatu, Bi. Vicensia Shule alisema katika lengo hili TGNP itawatambua na kuwapongeza wanawake waliofanya vizuri maeneo mbalimbali akiwemo Makamu wa Rais wa Tanzania, Bi. Samia Suluhu, Spika mstaafu wa Bunge la Tanzania, Anna Makinda, Mbunge wa Bunda Mjini, Estar Bulaya, Mama Getrude Mongela, Dk. Ester Mwaikambo, na Msanii Fatma Baraka (Bi. Kidude) kwa jitihada walizozionesha katika uongozi.

Aidha alisema lengo la nne itakuwa kuhimarisha harakati za ukombozi wa wanawake kimapinduzi kupitia ujenzi wa nguvu za pamoja. "...Tamasha la Jinsia la mwaka huu litaongozwa na mada kuu isemayo 'Mageuzi ya mifumo kandamizi kwa usawa wa kijinsia na maendeleo endelevu'" alisema Bi. Vicensia Shule.

&nbsp;

[caption id="attachment_81294" align="aligncenter" width="500"]<img class="size-medium wp-image-81294" src="http://s3-us-west-2.amazonaws.com/thehabari.com/wp-content/uploads/2017/09/03112015/IMG_7576-500x326.jpg" alt="" width="500" height="326" /> Mwenyekiti wa asasi ya WAJIKI, Janeth Mawinza (katikati) pamoja na wanaharakati wengine akifafanua jambo kwa wanahabari katika mkutano huo.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_81295" align="aligncenter" width="500"]<img class="size-medium wp-image-81295" src="http://s3-us-west-2.amazonaws.com/thehabari.com/wp-content/uploads/2017/09/03112022/IMG_7587-500x313.jpg" alt="" width="500" height="313" /> Mwanaharakati, Seleman Bishagazi (katikati) pamoja na wanaharakati wengine akifafanua jambo kwa wanahabari katika mkutano huo.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_81291" align="aligncenter" width="500"]<img class="size-medium wp-image-81291" src="http://s3-us-west-2.amazonaws.com/thehabari.com/wp-content/uploads/2017/09/03112005/IMG_7518-500x346.jpg" alt="" width="500" height="346" /> Sehemu ya wanahabari wakifuatilia mazungumzo hayo.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_81290" align="aligncenter" width="500"]<img class="size-medium wp-image-81290" src="http://s3-us-west-2.amazonaws.com/thehabari.com/wp-content/uploads/2017/09/03112002/IMG_7512-500x314.jpg" alt="" width="500" height="314" /> Sehemu ya wanahabari wakifuatilia mazungumzo hayo.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_81292" align="aligncenter" width="500"]<img class="size-medium wp-image-81292" src="http://s3-us-west-2.amazonaws.com/thehabari.com/wp-content/uploads/2017/09/03112009/IMG_7520-500x344.jpg" alt="" width="500" height="344" /> Sehemu ya wanahabari wakifuatilia mazungumzo hayo.[/caption]

--
__________

KAWAIDA:-

[caption id="attachment_81296" align="aligncenter" width="500"] Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TGNP, Vicensia Shule (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari leo kuzungumzia Tamasha la Jinsia la mwaka 2017 linalotarajia kuanza rasmi Septemba 5 hadi 8 ya mwaka 2017 katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa FemAct, Abdulla Othman.[/caption]

 

[caption id="attachment_81289" align="aligncenter" width="500"] Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TGNP, Vicensia Shule (katikati) akijibu maswali anuai ya waandishi wa habari kwenye mkutano huo. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao, Bi. Lilian Liundi na Mwenyekiti wa FemAct, Abdulla Othman.[/caption]

 

[caption id="attachment_81288" align="aligncenter" width="500"] Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao, Bi. Lilian Liundi (katikati) akijibu maswali ya waandishi wa habari kwenye mkutano na vyombo vya habari kuzungumzia Tamasha la Jinsia la mwaka 2017 linalotarajia kuanza rasmi Septemba 5 hadi 8 ya mwaka 2017 katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TGNP, Vicensia Shule pamoja na wanaharakati wengine.[/caption]

 

MTANDAO ya Jinsia Tanzania (TGNP) leo imeweka hadharani malengo makuu ya Tamasha la Jinsia la mwaka 2017 linalotarajia kuanza rasmi Septemba 5 hadi 8 ya mwaka 2017 katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na waandishi wa habari leo, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TGNP, Vicensia Shule alisema tamasha la mwaka huu litakuwa na malengo manne na lengo la kwanza ni kutafakari na kusherehekea mafanikio, changamoto zilizopo katika kuendeleza usawa wa kijinsia. Alisema hili ni kuzingatia utekelezaji wa mikataba, maazimio, sera na mikakati mbalimbali ya kimataifa.

Alisema lengo la pili ni kutathmini ushiriki wa wanawake katika michakato ya kufanya maamuzi katika uongozi, hususan uongozi wa kisiasa kwenye Serikali za mitaa. Lengo la tatu ni pamoja na kufuatilia kuhifadhi, kutambua na kusherehekea viongozi wanawake wenye michango ya kuigwa juu ya usawa wa kijinsia na uwezo wa wanawake, hususan mapambano dhidi ya mfumo dume na uliberali mamboleo.

Akifafanua kuhusiana na lengo la tatu, Bi. Vicensia Shule alisema katika lengo hili TGNP itawatambua na kuwapongeza wanawake waliofanya vizuri maeneo mbalimbali akiwemo Makamu wa Rais wa Tanzania, Bi. Samia Suluhu, Spika mstaafu wa Bunge la Tanzania, Anna Makinda, Mbunge wa Bunda Mjini, Estar Bulaya, Mama Getrude Mongela, Dk. Ester Mwaikambo, na Msanii Fatma Baraka (Bi. Kidude) kwa jitihada walizozionesha katika uongozi.

Aidha alisema lengo la nne itakuwa kuhimarisha harakati za ukombozi wa wanawake kimapinduzi kupitia ujenzi wa nguvu za pamoja. "...Tamasha la Jinsia la mwaka huu litaongozwa na mada kuu isemayo 'Mageuzi ya mifumo kandamizi kwa usawa wa kijinsia na maendeleo endelevu'" alisema Bi. Vicensia Shule.

 

[caption id="attachment_81294" align="aligncenter" width="500"] Mwenyekiti wa asasi ya WAJIKI, Janeth Mawinza (katikati) pamoja na wanaharakati wengine akifafanua jambo kwa wanahabari katika mkutano huo.[/caption]

 

[caption id="attachment_81295" align="aligncenter" width="500"] Mwanaharakati, Seleman Bishagazi (katikati) pamoja na wanaharakati wengine akifafanua jambo kwa wanahabari katika mkutano huo.[/caption]

 

[caption id="attachment_81291" align="aligncenter" width="500"] Sehemu ya wanahabari wakifuatilia mazungumzo hayo.[/caption]

 

[caption id="attachment_81290" align="aligncenter" width="500"] Sehemu ya wanahabari wakifuatilia mazungumzo hayo.[/caption]

 

[caption id="attachment_81292" align="aligncenter" width="500"] Sehemu ya wanahabari wakifuatilia mazungumzo hayo.[/caption]
_________________________________________________________________________
Joachim Mushi, Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na Mhariri Mkuu wa Thehabari.com.
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470
Web:- www.thehabari.com  
          http://joemushi.blogspot.com

Virus-free. www.avast.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment