Tuesday 5 September 2017

[wanabidii] Makamu wa Rais, Bi Samia Azinduwa Tamasha la Jinsia 2017

[caption id="attachment_81351" align="aligncenter" width="500"]<img class="size-medium wp-image-81351" src="http://s3-us-west-2.amazonaws.com/thehabari.com/wp-content/uploads/2017/09/05131138/IMG_8361-500x295.jpg" alt="" width="500" height="295" /> Makamu wa Rais Tanzania, Bi. Samia Suluhu (mwenye mtandio) akikata utepe pamoja na wageni meza kuu kuashiria uzinduzi rasmi wa Tamasha la Jinsia Tanzania la mwaka 2017.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_81352" align="aligncenter" width="500"]<img class="size-medium wp-image-81352" src="http://s3-us-west-2.amazonaws.com/thehabari.com/wp-content/uploads/2017/09/05131147/IMG_8362-500x360.jpg" alt="" width="500" height="360" /> Makamu wa Rais Tanzania, Bi. Samia Suluhu (mwenye mtandio) akikata utepe pamoja na wageni meza kuu kuashiria uzinduzi rasmi wa Tamasha la Jinsia Tanzania la mwaka 2017.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_81346" align="aligncenter" width="500"]<img class="size-medium wp-image-81346" src="http://s3-us-west-2.amazonaws.com/thehabari.com/wp-content/uploads/2017/09/05131055/IMG_8288-500x330.jpg" alt="" width="500" height="330" /> Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP, Bi. Lilian Liundi (kushoto) akimpongeza Spika mstaafu mwanamke wa Bunge la Tanzania, Anna Makinda (kulia) mara baada ya kupokea tuzo yake.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_81347" align="aligncenter" width="500"]<img class="size-medium wp-image-81347" src="http://s3-us-west-2.amazonaws.com/thehabari.com/wp-content/uploads/2017/09/05131105/IMG_8302-500x335.jpg" alt="" width="500" height="335" /> Makamu wa Rais Tanzania, Bi. Samia Suluhu (kushoto) akikabidhi tuzo Mama Getrude Mongela (kulia)[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_81333" align="aligncenter" width="500"]<img class="size-medium wp-image-81333" src="http://s3-us-west-2.amazonaws.com/thehabari.com/wp-content/uploads/2017/09/05130918/IMG_7871-500x304.jpg" alt="" width="500" height="304" /> Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP, Bi. Lilian Liundi akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa Tamasha la Jinsia Tanzania Mwaka 2017.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_81334" align="aligncenter" width="500"]<img class="size-medium wp-image-81334" src="http://s3-us-west-2.amazonaws.com/thehabari.com/wp-content/uploads/2017/09/05130923/IMG_7896-500x321.jpg" alt="" width="500" height="321" /> Mwenyekiti wa Bodi ya TGNP, Vicensia Shule akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa Tamasha la Jinsia Tanzania Mwaka 2017.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_81335" align="aligncenter" width="500"]<img class="size-medium wp-image-81335" src="http://s3-us-west-2.amazonaws.com/thehabari.com/wp-content/uploads/2017/09/05130929/IMG_7906-500x333.jpg" alt="" width="500" height="333" /> Washiriki mbalimbali katika tamasha hilo.[/caption]

[caption id="attachment_81336" align="aligncenter" width="500"]<img class="size-medium wp-image-81336" src="http://s3-us-west-2.amazonaws.com/thehabari.com/wp-content/uploads/2017/09/05130934/IMG_7985-500x417.jpg" alt="" width="500" height="417" /> Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto, Bi. Siaba Mkinga akizungumza katika uzinduzi wa Tamasha hilo.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_81337" align="aligncenter" width="500"]<img class="size-medium wp-image-81337" src="http://s3-us-west-2.amazonaws.com/thehabari.com/wp-content/uploads/2017/09/05130939/IMG_8052-500x349.jpg" alt="" width="500" height="349" /> Makamu wa Rais Tanzania, Bi. Samia Suluhu akizungumza leo wakati akizinduwa rasmi Tamasha la Jinsia Tanzania la mwaka 2017. Uzinduzi huo umefanyika katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_81338" align="aligncenter" width="500"]<img class="size-medium wp-image-81338" src="http://s3-us-west-2.amazonaws.com/thehabari.com/wp-content/uploads/2017/09/05130949/IMG_8105-500x361.jpg" alt="" width="500" height="361" /> Makamu wa Rais Tanzania, Bi. Samia Suluhu akizungumza leo wakati akizinduwa rasmi Tamasha la Jinsia Tanzania la mwaka 2017. Uzinduzi huo umefanyika katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam.[/caption]

[caption id="attachment_81339" align="aligncenter" width="500"] <img class="size-medium wp-image-81339" src="http://s3-us-west-2.amazonaws.com/thehabari.com/wp-content/uploads/2017/09/05130957/IMG_8132-500x268.jpg" alt="" width="500" height="268" /> Makamu wa Rais Tanzania, Bi. Samia Suluhu akizungumza leo wakati akizinduwa rasmi Tamasha la Jinsia Tanzania la mwaka 2017. Uzinduzi huo umefanyika katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni wageni waalikwa meza kuu.[/caption]

&nbsp;

<strong>MAKAMU</strong> wa Rais Tanzania, Bi. Samia Suluhu leo amezinduwa rasmi Tamasha la
Jinsia Tanzania mwaka 2017. Uzinduzi huo umefanyika katika viwanja vya TGNP
Mabibo jijini Dar es Salaam, ambapo mbali na uzinduzi huo ameongoza zoezi la
kutoa tuzo kwa baadhi ya akinamama waliofanya vizuri na kutoa mchango katika
maendeleo ya wanawake.

Akizungumza kabla ya uzinduziwa tamasha hilo, Makamu wa Rais, Bi. Samia Suluhu
aliipongeza TGNP kwa harakati zake za kuiunga mkono na kuikosoa serikali pale
wanapoona imekwenda tofauti. Alisema kitendo cha kukemea na kutoa
mapendekezo na suluhisho sehemu ambayo wanaamini serikali haijafanya vizuri ni
kitendo cha kiungwana na kinachochea maendeleo ya taifa kwa ujumla.

Alisema hatua tuliofikia sasa si ya kulaumiana bali kushirikiana katika kuliletea taifa
maendeleo. Alisema Serikali ya Jamhuri ya Tanzania inatambua umuhimu wa
kuzingatia usawa wa jinsia katika kuchangia na kuendeleza maendeleo ya taifa kwa
ujumla. Alisema Serikali tangua uhuru hatua kwa hatua imekuwa ikizingatia
utungwaji wa sheria na kanuni rafiki zinazosimamia usawa wa jinsia.

Aliongeza Tanzania kama mwanachama wa UN na AU imekuwa imeridhia mikataba
na itifaki na makubaliano mbalimbali ya kimataifa na kikanda kuhusiana na usawa
wa jinsia na uwezeshaji wanawake, utekelezaji wa makubaliano ya uringo wa
Beingin, Malengo ya Maendeleo Endelevu pamoja na mkataba wa kupinga aina zote
za ubaguzi.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Bodi ya TGNP, Vicensia Shule aliwataja na
kuwapongeza wanawake waliofanya vizuri maeneo mbalimbali ambapo Makamu wa
Rais alikabidhi tuzo kwa wakinamama hao. Miongoni waliopokea tuzo ni pamoja na
Makamu wa Rais wa Tanzania, Bi. Suluhu, aliyekabidhiwa tuzo yake na Mwenyekiti
wa bodi.

Wengine ni pamoja na Spika mstaafu wa Bunge la Tanzania, Anna Makinda, Mbunge
wa Bunda Mjini, Estar Bulaya, Mama Getrude Mongela, Dk. Ester Mwaikambo, na
Msanii Fatma Baraka (Bi. Kidude) kwa jitihada walizozionesha katika uongozi na
wote walipewa tuzo.

[caption id="attachment_81340" align="aligncenter" width="500"] <img class="size-medium wp-image-81340" src="http://s3-us-west-2.amazonaws.com/thehabari.com/wp-content/uploads/2017/09/05131004/IMG_8200-500x333.jpg" alt="" width="500" height="333" /> Makamu wa Rais Tanzania, Bi. Samia Suluhu akicheza na wasanii na wageni waalikwa.[/caption]

[caption id="attachment_81341" align="aligncenter" width="500"] <img class="size-medium wp-image-81341" src="http://s3-us-west-2.amazonaws.com/thehabari.com/wp-content/uploads/2017/09/05131014/IMG_8244-500x359.jpg" alt="" width="500" height="359" /> Makamu wa Rais Tanzania, Bi. Samia Suluhu (kushoto) akikabidhi tuzo mmoja wa wanachama waanzilishi wa TGNP, Bi. Marjorie Mbilinyi (kulia)[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_81342" align="aligncenter" width="500"]<img class="size-medium wp-image-81342" src="http://s3-us-west-2.amazonaws.com/thehabari.com/wp-content/uploads/2017/09/05131029/IMG_8254-500x334.jpg" alt="" width="500" height="334" /> Makamu wa Rais Tanzania, Bi. Samia Suluhu (kushoto) akikabidhi tuzo kwa Zipora Shekilango (kulia) kwenye uzinduzi rasmi wa Tamasha la Jinsia Tanzania la mwaka 2017.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_81343" align="aligncenter" width="500"]<img class="size-medium wp-image-81343" src="http://s3-us-west-2.amazonaws.com/thehabari.com/wp-content/uploads/2017/09/05131035/IMG_8265-500x352.jpg" alt="" width="500" height="352" /> Makamu wa Rais Tanzania, Bi. Samia Suluhu (kushoto) akikabidhi tuzo mmoja wa wanachama waanzilishi wa TGNP, Bi. Marry Lusimbi (kulia) kwenye uzinduzi rasmi wa Tamasha la Jinsia Tanzania la mwaka 2017.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_81344" align="aligncenter" width="500"]<img class="size-medium wp-image-81344" src="http://s3-us-west-2.amazonaws.com/thehabari.com/wp-content/uploads/2017/09/05131041/IMG_8271-500x333.jpg" alt="" width="500" height="333" /> Makamu wa Rais Tanzania, Bi. Samia Suluhu (kushoto) akikabidhi tuzo mwakilishi wa halmashauri ya Kishapu kwa kufanikiwa kuwawezesha akinamama.[/caption]

&nbsp;

[caption id="attachment_81345" align="aligncenter" width="500"]<img class="size-medium wp-image-81345" src="http://s3-us-west-2.amazonaws.com/thehabari.com/wp-content/uploads/2017/09/05131048/IMG_8277-500x333.jpg" alt="" width="500" height="333" /> Makamu wa Rais Tanzania, Bi. Samia Suluhu (kushoto) akikabidhi tuzo mwakilishi wa halmashauri Kisarawe.[/caption]

&nbsp;

<img class="size-medium wp-image-81348 aligncenter" src="http://s3-us-west-2.amazonaws.com/thehabari.com/wp-content/uploads/2017/09/05131112/IMG_8312-500x366.jpg" alt="" width="500" height="366" />

&nbsp;

[caption id="attachment_81349" align="aligncenter" width="500"]<img class="size-medium wp-image-81349" src="http://s3-us-west-2.amazonaws.com/thehabari.com/wp-content/uploads/2017/09/05131120/IMG_8324-500x378.jpg" alt="" width="500" height="378" /> Makamu wa Rais Tanzania, Bi. Samia Suluhu (kushoto) akikabidhi daktari wa kwanza mwanamke Tanzania, Dk. Ester Mwaikambo (kulia).[/caption]

&nbsp;

<img class="size-medium wp-image-81350 aligncenter" src="http://s3-us-west-2.amazonaws.com/thehabari.com/wp-content/uploads/2017/09/05131128/IMG_8335-500x371.jpg" alt="" width="500" height="371" />

&nbsp;

[caption id="attachment_81353" align="aligncenter" width="500"]<img class="size-medium wp-image-81353" src="http://s3-us-west-2.amazonaws.com/thehabari.com/wp-content/uploads/2017/09/05131158/IMG_8377-500x333.jpg" alt="" width="500" height="333" /> Makamu wa Rais Tanzania, Bi. Samia Suluhu akitembelea miradi mbalimbali na shughuli za akinamama wanaharakati ngazi ya jamii za kujikwamua.[/caption]

-- 


KAWAIDA:-

Makamu wa Rais, Bi Samia Azinduwa Tamasha la Jinsia 2017

MAKAMU wa Rais Tanzania, Bi. Samia Suluhu leo amezinduwa rasmi Tamasha la 

Jinsia Tanzania mwaka 2017. Uzinduzi huo umefanyika katika viwanja vya TGNP 

Mabibo jijini Dar es Salaam, ambapo mbali na uzinduzi huo ameongoza zoezi la 

kutoa tuzo kwa baadhi ya akinamama waliofanya vizuri na kutoa mchango katika 

maendeleo ya wanawake.

Akizungumza kabla ya uzinduziwa tamasha hilo, Makamu wa Rais, Bi. Samia Suluhu 

aliipongeza TGNP kwa harakati zake za kuiunga mkono na kuikosoa serikali pale 

wanapoona imekwenda tofauti. Alisema kitendo cha kukemea na kutoa 

mapendekezo na suluhisho sehemu ambayo wanaamini serikali haijafanya vizuri ni 

kitendo cha kiungwana na kinachochea maendeleo ya taifa kwa ujumla.

Alisema hatua tuliofikia sasa si ya kulaumiana bali kushirikiana katika kuliletea taifa 

maendeleo. Alisema Serikali ya Jamhuri ya Tanzania inatambua umuhimu wa 

kuzingatia usawa wa jinsia katika kuchangia na kuendeleza maendeleo ya taifa kwa 

ujumla. Alisema Serikali tangua uhuru hatua kwa hatua imekuwa ikizingatia 

utungwaji wa sheria na kanuni rafiki zinazosimamia usawa wa jinsia.

Aliongeza Tanzania kama mwanachama wa UN na AU imekuwa imeridhia mikataba 

na itifaki na makubaliano mbalimbali ya kimataifa na kikanda kuhusiana na usawa 

wa jinsia na uwezeshaji wanawake, utekelezaji wa makubaliano ya uringo wa 

Beingin, Malengo ya Maendeleo Endelevu pamoja na mkataba wa kupinga aina zote 

za ubaguzi.

Kwa upande wake  Mwenyekiti wa Bodi ya TGNP, Vicensia Shule aliwataja na 

kuwapongeza wanawake waliofanya vizuri maeneo mbalimbali ambapo Makamu wa 

Rais alikabidhi tuzo kwa wakinamama hao. Miongoni waliopokea tuzo ni pamoja na 

Makamu wa Rais wa Tanzania, Bi. Suluhu, aliyekabidhiwa tuzo yake na Mwenyekiti 

wa bodi.

Wengine ni pamoja na Spika mstaafu wa Bunge la Tanzania, Anna Makinda, Mbunge 

wa Bunda Mjini, Estar Bulaya, Mama Getrude Mongela, Dk. Ester Mwaikambo, na 

Msanii Fatma Baraka (Bi. Kidude) kwa jitihada walizozionesha katika uongozi na 

wote walipewa tuzo.
___________________________________________________________________________________
Joachim Mushi, Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na Mhariri Mkuu wa Thehabari.com.
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470
Web:- www.thehabari.com  
          http://joemushi.blogspot.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment